Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,986
- 5,058
Hata aliyezaa anaweza patwa na hayo pia.Eti umeoa mke fresh unajua matatizo anayoweza kupata mwanamke anaye toa mimba Kuna kutoka kwa mimba pindi atakapo hitaji mtoto,kukosa mtoto kabisa hapo kwako ni bora inashangaza.
Kwako wewe Bora mwanaume kulea mtoto wa mwanaume mwenzie ambaye baba yake atarudi apashe kiporo?