Hany
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 432
- 257
Jamani watu mnadhambi dah kwahiyo kama nimeolewa na mtu ananinyanyasa na hana mapenzi na Mimi nikae tu kisa nitaitwa single mother..sitakua na thamani wala kuthaminiwa ..majina mabaya yote yangu Jamani mweee
Single mother's mtakuja kubisha hapa ila ukweli ndio huo Kuoa Single Mother ni kama kurisk kwa kwenda kununua Kiwanja unachojua wazi kabisa kina mgogoro,
Uhalisia ni kama unacheza betting tu, sasa kwa nini uwende ukanunue kiwanja chenye mgogoro na wakati viwanja vya wazi vipo vingi,
Single mother's wamesharisk maisha Yao kwa kuwa tayari wana watu wao Walio wapa viwanja vyao wavitumie, kijana/mwanaume mwenzangu usipoteze Muda wako kwenda kutaka kujenga kwenye kiwanja hicho kwa sababu ipo siku yule aliyepewa kiwanja mwanzo atarudi na kukaa kwenye apartment yake,
Mademu mbona wapo wengi tu wanaohitaji kuolewa na sio Masingle bi mkubwa, na siku hizi Posa sio inshu tena unamwita tu Sogea tukae baada ya wiki kashakuwa mke,
Siku hizi wasichana wanazaa zaa tu bila kuwa na future, hawaogopi tena kuwa masingle Bi mkubwa kwa kuwa wanajua kuna wanaume watatokea na kuwaoa.
Hawa ni wa kuweka kambi ya muda tu ila ukitaka kuoa nenda kaoe demu ambae utaanza nae Race.
Cc Zero IQ