Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Nahitaji single mother umri 30 hadi 50,dini yoyote aje tuyajenge,mm ni single baba nina wtt 4,nimetalakiana na mwenzang kisheria.naishi kwang mwanagati dsm,ninajishughurisha na biashara.
Ndo wapi huko mwanagati.nipe connection
 
Wanaumeeeeee!! kama tulivyo kubaliana kwenye kikao chetu cha mwisho single mothers wataendelea kuwa viwanja vya mafunzo tu wakati tuna jiandaa kuoa vibinti fresh na kutangaza ndoa rasmi.😛😛😛😛😛😛
 
Mada za kutafutia Kiki na umaarufu kunuka jf
Wanawake stuken,potezeen this trash
Unakuta kajitu kanaishi kwenye ka chumba ka stoo huko tandale akipata buku anakimbilia kuanzisha thread upupu jf ili awe maarufu
Hahahahah lmao
Inachoma kama pasi eeh 🤣🤣🤣🤣🤣
 
mzee mama vipi unamiliki kiumbe bila dingilai nini? Ebu tushow venye una status ipi?.
 
Kajibebesha? Kwani wakati unamkojolea hukujua kwamba unapanda mbegu na kwamba lolote linaweza kutokea mbegu inaweza ikaota au isiote? Utamu mnataka ila majukumu hamtaki siyo?
🤣🤣🤣🤣🤣 we utamu vipi huutaki pia? Mwanamke kubeba mimba isiotarajiwa ni uzembe wa hali ya juu! Kula hata majivu basi...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haya ndio madhara ya we nipe mimba ntalea mwenyewe. Mnafikiriaga kulea ni simple simple eeh
 
Kweli kabisa, kwanza mwanaume ukimkosea lazima yatakuja yale matamshi mbona yule wa zamani alikuwa hafanyi hayo, utalinganishwa na njemba ya zamani mpaka mzigo utaukinai...
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
,,single maza wengi wanakua wameponzwa na wanaume waliowaamini,,sasa wanaume wanakimbia majukum na kumuacha single maza,,,usi judge mtu kua single maza,ebu angalia ni moyo gani alio nao hadi kukubali kulea mtoto peke ake badala ya kutoa mimba,,
A.k.a Mabaharia 🤣🤣🤣,,, ila sio siri wahuni sio watu kabisa, mtoto anakula mistari hadi analegea af baharia kumbe hana hata mpango, anam menyesha vitunguu tu binti wa watu na mimba juu🤣🤣🤣
 
Nanukuu. "Wanaake wamejaa tele" kumbuka single mother nae ni mwanamke. Tatizo la hawa ambao hawajazaa wanakuwa hawapo serious na maisha wengi mbwembwe nyingi mashauzi kibao
Wanajiona wana thamani kubwa zaidi.
 
Sawia kabisa mkubwa, watu wanakosa ustaarabu na kuamua kuwasimanga wanawake ambao hawajui kilichopo nyuma ya pazia ya usingle mother wao.

.
 
Nilitaka kucomment juu ya hoja hii ,ila niliposoma jina lako
nikaacha.Hakuna aliyeshindana na zero("nothing") akashinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…