Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
ha ha ha tatizo mnatutamanishaNyooo wewe ubaki njia kuu ufe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha tatizo mnatutamanishaNyooo wewe ubaki njia kuu ufe
ha ha ha tatizo mnatutamanisha
Ndo wapi huko mwanagati.nipe connectionNahitaji single mother umri 30 hadi 50,dini yoyote aje tuyajenge,mm ni single baba nina wtt 4,nimetalakiana na mwenzang kisheria.naishi kwang mwanagati dsm,ninajishughurisha na biashara.
baharia at work 🤣🤣🤣Nachojua nikiweza kumjali mtoto wake na kufurahisha mtoto wake basi nimeshampata mama mtu.
Hayo mambo ya umiliki wa viwanja mtajuana wenyewe.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sawa sawa mwenyekitiWanaumeeeeee!! kama tulivyo kubaliana kwenye kikao chetu cha mwisho single mothers wataendelea kuwa viwanja vya mafunzo tu wakati tuna jiandaa kuoa vibinti fresh na kutangaza ndoa rasmi.😛😛😛😛😛😛
Inachoma kama pasi eeh 🤣🤣🤣🤣🤣Mada za kutafutia Kiki na umaarufu kunuka jf
Wanawake stuken,potezeen this trash
Unakuta kajitu kanaishi kwenye ka chumba ka stoo huko tandale akipata buku anakimbilia kuanzisha thread upupu jf ili awe maarufu
Hahahahah lmao
Huyo ni double dragon ,🤣Vipi ambaye alishatoa mimba na pia ni singo mama
mzee mama vipi unamiliki kiumbe bila dingilai nini? Ebu tushow venye una status ipi?.Sawa Zero IQ wewe unawaponda single mothers kama nani? Je ukiwasifia kuna kitu chochote unawaongezea na ukiwaponda kuna kitu chochote unawapunguzia? Au wewe ukisema hauwaoi unadhani unakuwa umewakomoa? Kwani wao wamesema wanataka kuolewa na wewe?
Una mchango gani kwenye maisha ya single mothers hapa duniani? Una mamlaka gani hapa duniani kiasi kwamba lolote unalosema wewe linaweza likaitetemesha dunia na likawa ndo uhalisia? Hayo maswali usinijibu mimi jiulize na ujijibu mwenyewe halafu ukishajijibu endelea kuwaponda single mothers! Nimemaliza!
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo alibeti kwa baharia, basi tena kashaumia.kuna mmoja kajibebesha kitambi huku akijua mi ni mme wa mtu...ili niweze kumpa haki sawa na mrs,wakati hicho kitu kwangu hakiwezekani
🤣🤣🤣🤣🤣 we utamu vipi huutaki pia? Mwanamke kubeba mimba isiotarajiwa ni uzembe wa hali ya juu! Kula hata majivu basi...Kajibebesha? Kwani wakati unamkojolea hukujua kwamba unapanda mbegu na kwamba lolote linaweza kutokea mbegu inaweza ikaota au isiote? Utamu mnataka ila majukumu hamtaki siyo?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 haya ndio madhara ya we nipe mimba ntalea mwenyewe. Mnafikiriaga kulea ni simple simple eehVitu vya kipumbavu kama vyepi? Mungu anachukia dhambi na hapendi wote wanaume na wanawake wazae kabla ya ndoa ila basi tu kwa sababu ya rehema zake za kila siku anatusamehe dhambi zetu na anatubariki hivyo hivyo na dhambi zetu na ndo maana unakuta hao masingle mothers wengi tu wanabarikiwa
Na unakuta watoto wao wanakuja kufanikiwa maishani pengine kuliko hata wanaozaliwa ndani ya ndoa ndo maana nakwambia wewe ni nani hadi uwahukumu? Na kama kweli unachukizwa na hilo jambo basi unatakiwa kuchukizwa na jinsia zote mbili ambazo ndo zinasababisha mtoto ila siyo jinsia moja ambayo haiwezi kusababisha mtoto yenyewe ifike pahala muache unafiki
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kweli kabisa, kwanza mwanaume ukimkosea lazima yatakuja yale matamshi mbona yule wa zamani alikuwa hafanyi hayo, utalinganishwa na njemba ya zamani mpaka mzigo utaukinai...
A.k.a Mabaharia 🤣🤣🤣,,, ila sio siri wahuni sio watu kabisa, mtoto anakula mistari hadi analegea af baharia kumbe hana hata mpango, anam menyesha vitunguu tu binti wa watu na mimba juu🤣🤣🤣,,single maza wengi wanakua wameponzwa na wanaume waliowaamini,,sasa wanaume wanakimbia majukum na kumuacha single maza,,,usi judge mtu kua single maza,ebu angalia ni moyo gani alio nao hadi kukubali kulea mtoto peke ake badala ya kutoa mimba,,
Wanajiona wana thamani kubwa zaidi.Nanukuu. "Wanaake wamejaa tele" kumbuka single mother nae ni mwanamke. Tatizo la hawa ambao hawajazaa wanakuwa hawapo serious na maisha wengi mbwembwe nyingi mashauzi kibao
Sawia kabisa mkubwa, watu wanakosa ustaarabu na kuamua kuwasimanga wanawake ambao hawajui kilichopo nyuma ya pazia ya usingle mother wao.Mwanaume yeyote anaemsimanga mwanmke aliezaa na kulea mtoto peke yake ni wa kupimwa akili
Kama una akili zako timamu kweli anza kuwaongelea na waliowapachika mimba na kuzikataa,ongelea waliowabaka,na sio kila mwanamke anaelea mwanae mwenyewe ana tabia mbovu.kuna single mothers wengine wajane baba wa watoto wamefariki,wengine wamefungwa jela nk.
Ukumbuke bila ushiriki wa mwanaume mimba isingetunga.
[emoji39][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Anaetoa Mimba nitakuwa sijui kama ametoa hiyo kwangu afadhari kwa sababu ni siri yake mkuu, mimi kwangu itakuwa nimeoa mke fresh