Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kuto kuilewa mada nako ni tatizo.Single mom ni tayari mali ya baba wa mtoto.Wewe kumuoa ni sawa na kumsaidia tu majukumu baba wa mtoto.Yaani wewe ni sawa na Hawa tu msaidizi wa Adam[emoji467]
 
Hivi wanaume kwanini wanawake tukiongea ukweli wa kuwagusa huwa mnahamia kwenye maisha yetu?

Seriously hii tabia nimeiona kwa wanaume na siyo wanawake humu JF yaani mkishaona mmeambiwa ukweli mkakosa cha kujitetea mnaanza kuhusisha tunayoandika humu na maisha yetu hata kama hayahusiani sasa sijui ndo huwa mnataka kujifariji tu?
mzee mama vipi unamiliki kiumbe bila dingilai nini? Ebu tushow venye una status ipi?.
 
Uzembe wa hali ya juu kivipi? Nauliza wakati mnakojoa huwa hamjui kama mnapanda mbegu na kwamba inaweza ikaota au isiote?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we utamu vipi huutaki pia? Mwanamke kubeba mimba isiotarajiwa ni uzembe wa hali ya juu! Kula hata majivu basi...
 
Ndiyo kuna wanawake wanataka kuzaa na kulea wenyewe bila wanaume ila unapofeli wewe ni kudhani kuwa na mimi ni single mother eti kwa vile nimewatetea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kazi ipo wewe hapa unabishana na mimi na siyo hao wanawake

Usijichanganye utapata taabu sana inawezekana mimi naumia kuona wanawake wenzangu wanazalishwa hovyo kumbe wao wenyewe wanapenda sasa ukisema usikilize maneno yangu mimi ukadhani eti ndo mawazo yao wote utaingia choo cha kike bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya ndio madhara ya we nipe mimba ntalea mwenyewe. Mnafikiriaga kulea ni simple simple eeh
 
We wako umefikia wapi mkuu
Wewe migogoro ndo tunaitaka sisi, halafu tunaitatua vizuri then tunaleta amani, hii ni nifursa. ya umaarufu. Wote hawa Baba mtelekeza na mama tayari umewasaidia, hawatakusahau! kwanza naanza kulia na mleta mgogoro, na kumtia adabu ili akome kuzalisha hovyo kwa kusoma ramani nitamkomesha. weee mzee vipi unaogopaa migogoro? usipotatua hapa wanawake kutundikwa mimba hakutakoma, anza na huyu, singo maza wako,
Kwani watakujua vipi sasa kuwa wewe ni kichwa kinacho faa kwa jamii? wewe km wewe Haufai kwenye jamiii yetu na avatar lako la hovyo hilo.

Unakimbia kimbia sababu unataka upekee sana wewe, ndo mwanzo wa ubaguzi, kwani hako kademu ambako hakajazaa hakatombwi? tena katakuzalia ritoto la jirani yako, pumbafu nyamaza kuleee! konani.
 
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza hili swali lakini nimeona nililete kwenu labda wanawake watatusaidia kupata jibu....Ni kwann asilimia kubwa ya wanawake ambao hawapo kwenye mahusiano au ambao hawapo kwenye strong relation wanakuwa na nguvu ya kufanikiwa....Angalia katika jamii yako halafu njoo tujadil
 
Sababu wanakua na Uhuru.ndoa au mahusiano sometime yanakuwa na limits.pili mwanaume ndo umsikilize zaidi atakayosema kuliko maamuzi yako

Wewe unaishi dar umepata mwanaume anaishi arusha,umeona fursa ya kukuingizia pesa dar,lakini hutoiweza kuifanikisha sababu utaolewa na kwenda arusha.so unaamua kuiacha ikupite sababu ya ndoa.
Lakini single lady mwenye maamuzi take anakuwa tayari kujiamulia lolote na popote.ni lazima afanikiwe
 
Daah bonge la fact!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…