KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Kuto kuilewa mada nako ni tatizo.Single mom ni tayari mali ya baba wa mtoto.Wewe kumuoa ni sawa na kumsaidia tu majukumu baba wa mtoto.Yaani wewe ni sawa na Hawa tu msaidizi wa Adam[emoji467]Unazungumzia single mothers wa aina gani? Sio kila single mother alipenda kuwa hivyo, kuna wengine ni single lakini wapo vizur kuliko hao unaotaka tuamini wako vizur.
Unamzungumzia vip single mother aliyetelekezwa na mtu mjinga bila kosa lolote, sasa huyo kwanini hastahili kuolewa?