Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Utaanzaje kuitwa baba kwa mbegu ya jamaa..usiwe zuzu kijana..tafuta mwezako ambaye ni fleshi kama wewe mbona wapo wengi tu..muanze kuitwa mama na baba pamoja..hao singo maza ni stress tupu..

Singo maza wanawezana na singo faza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa tena kweli Chaga Gal
 
mmh wakati nyie ndiyo mnawafanya single mama..
 
Mstari wa mwisho hapo, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Umemalizia na kauli mbiu yako[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
u have a point, lakin vp mambo ya kupasha kiporo
mmmhhhhhh...sie kina singe mother mbona tutapambana na hali zetu,ndoa tutazisikilizia kwenye nyimbo za kina will paul na alaine, acha tu nilee katoto kangu na nimuombee aje kuwa mwanaume mwenye maadili asije katika maisha yake akamsababishia mwanamke usingle mother!
 
Ukipenda kweli. Unajua jinsi ya kuishi nae.
Ukiona hauko tayari hujampata ulompenda

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Kweli kabisa .... yani kama angekuwa kampenda kweli aingeweza hata kujiuliza mara mbili mbili.
 
Mi sikushaur uoe single mother hata kidogo nachojua mimi kama mwanaume mwenzako alikimbia we ndo una unaponea hapo
Any way kama umejiandaa kwa lolote ikiwa pamoja na kuchapiwa we oa tu

Kuna single mother mi nilitaka kumuoa ila kuna tabia zilianza kunishinda siku moja nampigia cm ananiambia yupo na mzazi mwenza kwao sikujua kilichoendelea kuja kumuuliza hakunambia chochote zaidi ya kunambia alikuja kumsalimia mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sikushaur uoe single mother hata kidogo nachojua mimi kama mwanaume mwenzako alikimbia we ndo una unaponea hapo
Any way kama umejiandaa kwa lolote ikiwa pamoja na kuchapiwa we oa tu

Kuna single mother mi nilitaka kumuoa ila kuna tabia zilianza kunishinda siku moja nampigia cm ananiambia yupo na mzazi mwenza kwao sikujua kilichoendelea kuja kumuuliza hakunambia chochote zaidi ya kunambia alikuja kumsalimia mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
najua wamama wengi wenye familia zao nzuri walizo zijenga baada ya kua ma mtoto au watoto na mwanaume mwingine

huo mtazamo wako ni wako lakini sio ukweli
 
Mkuu tunakutana na mengi sana kuna wanawake wana akili za ajabu sana mpaka nashangaa.

Miss chagga kwann ww hukuwa single mother? Kwan ulikuwa hufanyi?

Kuna wanawake wanalazimisha mambo mpaka wanasahau kwamba kuna baadae.
sawa mkuu ,.. wapo wanawake vizibo
 
kuna mdada niliwahi kumpenda sana ila akawa anazingua..nilijaribu sana kumfatilia lakini ilishindikana nikampotezea...baada ya miaka kadhaa akawa amepata mtoto bila kuoleka..sasa ndio ananijia eti nimuoe manake ameteseka sana katika kumlea mwanae..japo namuonea imani sana,nafsi yangu haiwezi kuniruhusu kabisa..amenyane tu na hali yake mimi nina mke ndani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…