Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Utaanzaje kuitwa baba kwa mbegu ya jamaa..usiwe zuzu kijana..tafuta mwezako ambaye ni fleshi kama wewe mbona wapo wengi tu..muanze kuitwa mama na baba pamoja..hao singo maza ni stress tupu..

Singo maza wanawezana na singo faza..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
Pesa tena kweli Chaga Gal
 
Mm ni bora kuoa hata kahaba anayejiuza kuliko kuoa single mother.

Single mother utambue ni mke Wa mtu... Ipo siku ukiwa unaishi naye kunakuwa na kukwazana hapa na pale, kunakuwa na kuzoeana mpaka kufikia kuonana kawaida sana ktk suala zma la tendo wakat huo aliozaa naye kwa wakat huo anaonekana mpya hapo lazma wakumbushie kupitia mtoto ..[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19] na mbaya zaidi[emoji25] [emoji25] [emoji25] aliomzalisha akikuzidi kipato hapo ndio utakoma[emoji86] [emoji86] [emoji86]

Itafikia hatua jamaa anajifanya anakuja kumuona mtoto huku anakuja na debe la unga mchele mafuta ya kula , vitenge kibao sasa hapo ndio ujiandae kulea watoto wa mwenzako...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji735] [emoji735] [emoji735] [emoji735] kabisa single mother
mmh wakati nyie ndiyo mnawafanya single mama..
 
utakuwa huru ukiamua kuwa huru.. pia kabla ya kuoa single mama kama unavyoita jaribu kuchunguza sababu iliyopelekea yeye kuwa single, pili mawasiliano yake na mzazi mwenzie yakoje? nimeona wadada wamezaa lakini labda kwa bahati mbaya wanakuja kugundua mwanaume aliyezaa nae siyo type yake huaza fisa na wakiangalia umri bado upo ujitengenezea mazingira ya kuwa hivyo ili tu wapate wale wanaodhani ni type yao... na wapo kweli waliotelekezwa .. na wapo waliona kwa mwenendo huu na huyu mtu hapana ni kitanzi hichi inabidi ajisepee tu sababu hata kutunza mtoto alishindwa,... na wapo waliodanganywa na kumsaliti mzazi mwenzie na kuenda huko na kukuta ndivyo sivyo na kuamua kurudi kwa mzazi mwenzie akamakatalia.... na wapo ambao waliamua tu kuzaa kwa kutaka sura nzuri... na wapo uteen ulisababisha usingle ...

sasa ukishajua sababu iliyompelekea kuwa hivyo basi hakuna haja ya kuogopa wapo single mama walioumizwa na wanahitaji mapenzi tena ya dhati, na ni wake bora na wanaojitambua muhimu ni mkubaliane namna ya kuhandle hiyo situation...
kama unapesa utapata unayemtaka
Mstari wa mwisho hapo, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] Umemalizia na kauli mbiu yako[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Umri wangu ni miaka 27 na bado sijaoa wala sijafikiria kuoa nataka nianze kutafuta mwenza nikifika 30years, lakini hapa kilichonishtua ni wimbi kubwa la kina single mothers wadada kwa wamama wengi sana mitaani wana watoto na hawakai na wazazi wenza, asilimia 75 niliokutana nao hadi sasa ni single mothers, unakuta binti mrembo kafungasha rangi nzuri sura nzuri kidini mnaendana lakini kazalishwa na hana mume.

Mbaya zaidi hata ex wangu aliyenipaga kibuti alivyofika chuo kikuu sahivi na yeye ni single mother, yaani nimechanganyikiwa sijui pa kushika yaani naogopa sana kuoa single mother nahisi sitakuwa huru.

Mnishauri jamani namna ya kuishi na single mother ikitokea nimeangukia huko.
u have a point, lakin vp mambo ya kupasha kiporo
mmmhhhhhh...sie kina singe mother mbona tutapambana na hali zetu,ndoa tutazisikilizia kwenye nyimbo za kina will paul na alaine, acha tu nilee katoto kangu na nimuombee aje kuwa mwanaume mwenye maadili asije katika maisha yake akamsababishia mwanamke usingle mother!
 
Ukipenda kweli. Unajua jinsi ya kuishi nae.
Ukiona hauko tayari hujampata ulompenda

I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Kweli kabisa .... yani kama angekuwa kampenda kweli aingeweza hata kujiuliza mara mbili mbili.
 
Mi sikushaur uoe single mother hata kidogo nachojua mimi kama mwanaume mwenzako alikimbia we ndo una unaponea hapo
Any way kama umejiandaa kwa lolote ikiwa pamoja na kuchapiwa we oa tu

Kuna single mother mi nilitaka kumuoa ila kuna tabia zilianza kunishinda siku moja nampigia cm ananiambia yupo na mzazi mwenza kwao sikujua kilichoendelea kuja kumuuliza hakunambia chochote zaidi ya kunambia alikuja kumsalimia mtoto.

najua wamama wengi wenye familia zao nzuri walizo zijenga baada ya kua ma mtoto au watoto na mwanaume mwingine

huo mtazamo wako ni wako lakini sio ukweli
 
Mkuu tunakutana na mengi sana kuna wanawake wana akili za ajabu sana mpaka nashangaa.

Miss chagga kwann ww hukuwa single mother? Kwan ulikuwa hufanyi?

Kuna wanawake wanalazimisha mambo mpaka wanasahau kwamba kuna baadae.
sawa mkuu ,.. wapo wanawake vizibo
 
kuna mdada niliwahi kumpenda sana ila akawa anazingua..nilijaribu sana kumfatilia lakini ilishindikana nikampotezea...baada ya miaka kadhaa akawa amepata mtoto bila kuoleka..sasa ndio ananijia eti nimuoe manake ameteseka sana katika kumlea mwanae..japo namuonea imani sana,nafsi yangu haiwezi kuniruhusu kabisa..amenyane tu na hali yake mimi nina mke ndani..
 
Back
Top Bottom