Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,588
- 22,752
Umeeleweka na umewatia moyo sana.
( Mimi FirstClass, pasipo kushinikizwa ama kulazimishwa na binadamu yeyote, kwa moyo wangu wote, na nikiwa na akili timamu, natangaza kuwa , NITAOA SINGLE MOTHER. MUNGU NISAIDIE ) *3
Sababu..
-Ni wapambanaji/ watafutaji. Hivyo kwa kushirikiana nae, tutaweza fikia uchumi wa kati kwa urahisi zaidi
-Wanajielewa.
-Historia yangu kwao. Kumbukumbu zinanionesha nakuwa vizuri zaidi ( nanenepa ) nikiwa nao tofaut na nikiwa na hawa watoa mimba ..
-Ni watamu sana..
Dhana potofu za kupuuzwa dhidi yao..
- Usaliti kwa Baba wa mtoto,
Ni rahisi kumdhibiti mwanamke kwa Mzazi mwenzake, tofauti na hawa ambao hauelewi hata nani aliyekuwa anam-gonga huko nyuma.
-Usaliti. Mwanamke yeyote anacheat. Itategemea tu na akili yake mwenyewe na weakness za mwanaume wake.
Kwa hiyo my future wife popote ulipo uwanyime. Maana hata mie huku nilipo nanyimwa..