Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwan uwezo wako ukoje? Hiyo ni mahari yake au hela za wazee?? Mahari ni ile mke huchagua apendacho saa zingine ni maridhiano baina yenu
 
Kwan uwezo wako ukoje? Hiyo ni mahari yake au hela za wazee?? Mahari ni ile mke huchagua apendacho saa zingine ni maridhiano baina yenu
uwezo ni wa kawaida sana. mke hasemi kitu, anawasikiliza wazazi tu hata kutetea ameshindwa
 
Hongera kwanza kwa kuamua kuvuta "singo maza".
Jambo la pili punguza jazba na hasira.
Tatu kalipe hiyo laki nne, kulialia kwa ajili ya mahari ya laki nne sio dalili njema.
Nne, nikutakie kila la kheri kwenye ndoa yako na baby mama.
 
Ur still a learner
 
shukrani sana!
 
Kwani wasichana wameisha hadi uchukue lililozalishwa
 
Laki nne mkuu?? Daaaa

Sehemu nayotaka kwenda kuoa dada mtu yeye alitolewa mahari ya M4...

Sijui kwangu itakua je
 
Nakushauri lipa mahari kisha oa mkuu, wake wachakarikaji ni wachache mno umeshasema ni mpambanaji na hiyo laki nne si kitu
 
ujue kila unaloenda kufanya utakua unajilinganisha na mwanaume mwenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…