Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndio umeandika nini hiki sasa na wewe? Hivi umesoma hilo bandiko lote ukalimaliza na ukalielewa au umekurupuka tu kujibu kwa mihemko yako ya kitoto?
 
Aisee hili bandiko lina ujumbe mzito na muhimu sana.

Binafsi mimi nilikuwa sioni tatizo la kuoa single mom lakini kwa hili bandiko limenibadilisha mitazamo.

Kuna umeviandika hapo ambavyo nimewahi kuvishuudia mimi mwenyewe kwa macho yangu tena zaidi ya mara mbili.

Asante sana mkuu kwa hii ey opening thread
 
Umenena mkuu
 
Vijana ndio huwafuata hao single mom.......but why tuwanyoonshee vidole?? mimi nawaambia vijana hata singles mama wanapaswa kuolewa, ni wao wajue maana ya ndoa,,,, hii ni taasisi isiyo na fomula.....ukitambua kwanini unataka kuoa, ukimpenda single mum, oa kijana.....maisha yako utajenga mwenyewe.
 
Mara nyingi watoto waliolelewa na single mothers wanakuwaga ni psychopath.. Watu waliojaa mihemko na stress kama mama zao, na unaweza kuliona hili kupitia reaction zao kwenye mada sensitive kama hizi, sasa wewe mpaka hapa tayari unatuonesha kuna kila dalili umelelewa kwenye singe motherhood na ndio maana huko hivi sio kosa lako.
 
Kuoa single mother kuna faida kuu mbili, ya kwanza unatambua fika kwamba si tasa na kama ikitokea ukashindwa kupata mtoto basi tatizo lipo kwako,pili ikiwa hutafanikiwa kuzaa naye huyo mwana mlee atakusetiri kwa kuwa kitanda hakizai haramu! Asante!
Hahahahha... Yaani hizi ndio sababu za kumshawishi kidume na akili zake akaoe single mother(mke wa mtu)?

Kwa maana hiyo mwanamke ambaye sio single mother(fresh commodity) kuna uwezekano mkubwa akawa ni tasa sababu hatumuoni akinyonyesha mtoto?

Unavyosema mtoto asiyekuwa wako mkimlea vizuri uzeeni naye atakuja kukutunza hivi umesoma point namba 5?

Na pia huu msemo wa kipuuzi wa kitanda hakizai haramu aliyokukaririsha mwambie ni mpumbavu wa kiwango cha SG
 
Mbona unamshambulia mwenzio kwa kutoa mawazo yake???
 
Ulishuhidia wapi!?
Acha kudanganya wenzio.
 
Hajaandika upumbavu, kuna single mama mmoja maeneo ya Dumila ananilazimisha nimuowe alafu anavyo jiamini sasa eti mahari ni kuanzia laki 9
.
Majibu aliyoyapata nadhani yuko hospital ya rufaa sasa hivi maana napigiwa sana simu na ndugu zake sipokei mshenzi yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…