Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mara nyingi watoto waliolelewa na single mothers wanakuwaga ni psychopath.. Watu waliojaa mihemko na stress kama mama zao, na unaweza kuliona hili kupitia reaction zao kwenye mada sensitive kama hizi, sasa wewe mpaka hapa tayari unatuonesha kuna kila dalili umelelewa kwenye singe motherhood na ndio maana huko hivi sio kosa lako.
We nae
 
Alafu single mama kwa Sasa naona wanaongezeka Kila kukichaa yani wanawake wengi kwa sasa wanazalia nyumbani sijajua nini tatizo
Mnawashambulia single mothers eti ni wengi mtaani, kwani wanazalishwa na nani kwa nini hamuwasemi wanaume wanaofanya ngono zembe na hawataki kuoa, BTW Tatizo la wanawake kuzalia nje ya ndoa si la wao tu bali ni tatizo la jamii nzima kwa hiyo hata tunapowasema tuhakikishe tuna akiba ya maneno maana hata sisi tunao watoto wa kike/ndugu wa kike na hatujui majaliwa yao.

Kingine unapozungumzia kuoa bikra wakati watoa bikra hawataki kuoa unamaanisha wasio na bikra wasiolewe?. Kiujumla hakuna kanuni maalumu ya maisha hivyo hata ma-single mothers unaowasema sio kuwa wote walizalia nje ya ndoa wengine waliolewa wakazalishwa kisha wakaachika ama kufukuzwa.

Kwa mtazamo wangu mimi naona kinachotakiwa kufanyika siyo kuwashambulia single morthers bali kukemea vitendo vya uasherati vilivyokithiri katika jamii yetu, matatizo haya yatapatiwa ufumbuzi kwa kushirikiana baina yetu na siyo kuwashambulia wao huku wanaowazalisha wakiachwa kuendelea kutamba bila kutoa hata matumizi kwa watoto wao.

NINA MENGI LAKINI NGOJA NIISHIE HAPA KWA SASA.
 
Mwanamke aliyezalia nyumbani bila ndoa na aliyezalia kwenye ndoa na baadae kuachika wote ni single mother na wote ni wazazi wanaojitegemea kinachokuchanganya ni lugha tu. kwa maana:-
Single mother - Mama asiye na ndoa (Mzazi)
Single Parent - Mzazi asiye na ndoa (anaweza kuwa Baba au Mama)

Wote hapo ni wazazi wasio na ndoa.
 
Back
Top Bottom