Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Nimekuwepo kwa hii dunia karibu milongo mitatu na nimeishi na jamii karibu zote za hapa nchini. Hivyo nafahamu ninachokiongea dogo.Ulishuhidia wapi!?
Acha kudanganya wenzio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuwepo kwa hii dunia karibu milongo mitatu na nimeishi na jamii karibu zote za hapa nchini. Hivyo nafahamu ninachokiongea dogo.Ulishuhidia wapi!?
Acha kudanganya wenzio.
Si ni mtu(mwanamke) ambaye hajawahi kutiwa ama?Kwanza unajua maana ya bikra?
Madomo zege hawatakuelewa...watakimbilia mteremko
Kwanini unaona nimemshambulia na sio kwamba nimeenda na stylistic figure ya uchangiaji wake wa mada hii tangu mwanzo?Mbona unamshambulia mwenzio kwa kutoa mawazo yake???
Nao pia ni wajinga vile vileNa waliowazalisha je!?
We naeMara nyingi watoto waliolelewa na single mothers wanakuwaga ni psychopath.. Watu waliojaa mihemko na stress kama mama zao, na unaweza kuliona hili kupitia reaction zao kwenye mada sensitive kama hizi, sasa wewe mpaka hapa tayari unatuonesha kuna kila dalili umelelewa kwenye singe motherhood na ndio maana huko hivi sio kosa lako.
Mambo my beautiful Ladyred?We nae
Ndo mana mabinti hawaachi kushusha enginemmhh!!! wanawake jitunzeni msizae kabla ya ndoa,mnaona comments za mabaharia hizi
Unajiona keki mwenyeweMambo my beautiful Ladyred?
ha ha ha ha itafanyiwa marekebisho mkuuUmeniibia logo yangu
Mnawashambulia single mothers eti ni wengi mtaani, kwani wanazalishwa na nani kwa nini hamuwasemi wanaume wanaofanya ngono zembe na hawataki kuoa, BTW Tatizo la wanawake kuzalia nje ya ndoa si la wao tu bali ni tatizo la jamii nzima kwa hiyo hata tunapowasema tuhakikishe tuna akiba ya maneno maana hata sisi tunao watoto wa kike/ndugu wa kike na hatujui majaliwa yao.Alafu single mama kwa Sasa naona wanaongezeka Kila kukichaa yani wanawake wengi kwa sasa wanazalia nyumbani sijajua nini tatizo
Kivipi tena mama?Unajiona keki mwenyewe
Lawama kwa watu kwa kupitia maisha waliyochaguliwa na wazazi wao...tuweke akiba ya maneno jmnKivipi tena mama?
Kweli mimi nnajiona!? 🤔
Wanafanyaje yaani? hebu weka clear hapa wote tupate kujuaNdo mana mabinti hawaachi kushusha engine
Ssshhhh enough from you, Best idiot ya mean.😏It's a shame kubishana na wewe.
Wanatoa mimbaWanafanyaje yaani? hebu weka clear hapa wote tupate kujua