miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
We ni bikra?Hoja hapo ni kuwa Mtu aoe Mwanamke Bikra hayo mambo ya single mother huwezi fikiria kabisa.
No Bikra no Ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni bikra?Hoja hapo ni kuwa Mtu aoe Mwanamke Bikra hayo mambo ya single mother huwezi fikiria kabisa.
No Bikra no Ndoa.
mbona unashangaa mkuuAiseeee
Kwa msimamo huo MBONA watakuingiza mkenge haraka.. cku hizi Kuna bikra za kutengeneza kwa dawa za China!Hoja hapo ni kuwa Mtu aoe Mwanamke Bikra...
No Bikra no Ndoa.
😂😂🤣Ukitaka kuoa single mother akikisha baba mtoto amekufa na kaburi lake umeliona
Ndio umeandika nini hiki sasa na wewe? Hivi umesoma hilo bandiko lote ukalimaliza na ukalielewa au umekurupuka tu kujibu kwa mihemko yako ya kitoto?Pambafff kwani huwa wanazini na miti ama na wanaume? Una hakika gani kwamba baba yako alimuoa mama yako akiwa bikra? Muwe na staha basi wakati mwingine maana kuna leo na kesho binti yako anadungwa mimba na utageuka mshenga ili aolewe kulinda heshima ya familia!
Baharia huyoNaunga mkono hoja View attachment 1201550
Lakini anayosema OP tunayashuudia sana tu.Kuna single moms wengi tu wameolewa na kutulia kuliko wadada waliolewa wakiwa
hawana watoto
Acheni hizi stereo types za kishamba
Umenena mkuuSingle mother anapaswa kuolewa na single father au Mgane au mwanaume wa makamo au mzee. Kamwe kijana usijaribu kuchukua single mother, utakuwa unabahatisha mnoo, na huenda ukateseka sana.
Single mother hawana shida, shida ni vijana wanaokimbilia kuwaoa single mother wakati vigezo na masharti hawawezi kuvizingatia.
Mara nyingi watoto waliolelewa na single mothers wanakuwaga ni psychopath.. Watu waliojaa mihemko na stress kama mama zao, na unaweza kuliona hili kupitia reaction zao kwenye mada sensitive kama hizi, sasa wewe mpaka hapa tayari unatuonesha kuna kila dalili umelelewa kwenye singe motherhood na ndio maana huko hivi sio kosa lako.Nina mbwa wangu ambaye umemzidi umri ila ana busara na akili kukuzidi wewe. Rudia bandiko lako mstari kwa mstari kisha mpe mtu unayedhani umemzidi maarifa asipokuambia ulichoandika ni kampeni ya kutaka wanawake ambao wana watoto wasiolewe tena. Imagine mtu ni single mother simply kwa kuwa alibakwa ama mimba za utotoni then akutane na kampeni yako hii mshuuuu...pambaffff
Hahahahha... Yaani hizi ndio sababu za kumshawishi kidume na akili zake akaoe single mother(mke wa mtu)?Kuoa single mother kuna faida kuu mbili, ya kwanza unatambua fika kwamba si tasa na kama ikitokea ukashindwa kupata mtoto basi tatizo lipo kwako,pili ikiwa hutafanikiwa kuzaa naye huyo mwana mlee atakusetiri kwa kuwa kitanda hakizai haramu! Asante!
Ni wajinga hawajui walifanyalo?Alafu single mama kwa Sasa naona wanaongezeka Kila kukichaa yani wanawake wengi kwa sasa wanazalia nyumbani sijajua nini tatizo
Na wale mlio watoa bikra waolewe na Nani!?Hoja hapo ni kuwa Mtu aoe Mwanamke Bikra hayo mambo ya single mother huwezi fikiria kabisa.
No Bikra no Ndoa.
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23]Fine, ni mtazamo wako. Pia waweza kuwa ni ushamba wako, hao wengi umewafanyia assessment lini? Narudia,
FACT: kuoa single mama ni kuoa mke wa mwanaume mwenzio
Na waliowazalisha je!?Ni wajinga hawajui walifanyalo?
Mbona unamshambulia mwenzio kwa kutoa mawazo yake???Mara nyingi watoto waliolelewa na single mothers wanakuwaga ni psychopath.. Watu waliojaa mihemko na stress kama mama zao, na unaweza kuliona hili kupitia reaction zao kwenye mada sensitive kama hizi, sasa wewe mpaka hapa tayari unatuonesha kuna kila dalili umelelewa kwenye singe motherhood na ndio maana huko hivi sio kosa lako.
Ulishuhidia wapi!?Aisee hili bandiko lina ujumbe mzito na muhimu sana.
Binafsi mimi nilikuwa sioni tatizo la kuoa single mom lakini kwa hili bandiko limenibadilisha mitazamo.
Kuna umeviandika hapo ambavyo nimewahi kuvishuudia mimi mwenyewe kwa macho yangu tena zaidi ya mara mbili.
Asante sana mkuu kwa hii ey opening thread
Hajaandika upumbavu, kuna single mama mmoja maeneo ya Dumila ananilazimisha nimuowe alafu anavyo jiamini sasa eti mahari ni kuanzia laki 9Nina mbwa wangu ambaye umemzidi umri ila ana busara na akili kukuzidi wewe. Rudia bandiko lako mstari kwa mstari kisha mpe mtu unayedhani umemzidi maarifa asipokuambia ulichoandika ni kampeni ya kutaka wanawake ambao wana watoto wasiolewe tena. Imagine mtu ni single mother simply kwa kuwa alibakwa ama mimba za utotoni then akutane na kampeni yako hii mshuuuu...pambaffff