Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Lawama kwa watu kwa kupitia maisha waliyochaguliwa na wazazi wao...tuweke akiba ya maneno jmn
Ahahaha!! Unajua bhana kwenye mijadala huru kama huu emotions huwa hazikosekani, sasa ukiona mtu anavuka mstari unampa tu ukweli unaohisi umemfanya mpaka akavuka huo mstari.

Hiyo akiba ya maneno haituzui kumwaga hisia zetu humu.
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuaminisha watu kuwa wanawake ndiyo chanzo cha matatizo yote kwenye jamii na wanaume hamna makosa kabisa
 
Je ndoa zote zilizodumu ni zile ambazo wanawake waliolewa wakiwa mabikira?? Jibu ndiyo au hapana!!
 
Wewe unayoyaongea ni inversely proportional na yaliyoko kwenye jamii people learn from experiences not stories
 
Hakuna jinsia inayoruhusiwa kufanya uzinzi wala uasherati hivyo imewapasa wote wanaume na wanawake kuingia kwenye ndoa wakiwa hawajawahi kufanya ngono na hapa siyo swala la kusema eti utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi bali ni swala la kila mtu kujitunza mwenyewe maana siku hizi hata bikira za wanawake nazo zinarudishwa sasa sijui utamjuaje mwanamke ambaye bikira yake imerudishwa
 
Siku mkiona mabinti wadogo wanavyotoa mimba zaidi ya moja au mbili, pengine Single mothers watapata heshima yao

Mengine sijui na sitaki kujua
Watu wanashusha engine mara 8 mchezo
Dunia tambara bovu san
 
Hey is a mother not a parent and can a parent not be a mother?? The most lame argument I've come across today single parent is general which means it can either be a mother or a father but single mother is specific which means it is only a mother and not a father!!
 
Una uhakika gani u wont rot in hell pia
Uzinzi tu utakupeleka
An immense burden of evils these serial killers of innocent babies carry in their souls outweigh my evil deeds by million times. We probably won't incur the the same castigation in heaven!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…