Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Killing, Abortion, Adultery and Fornication are all sins that can take someone to hell or that can be forgiven if repented
An immense burden of evils these serial killers of innocent babies carry in their souls outweigh my evil deeds by million times. We probably won't incur the the same castigation in heaven!
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuaminisha watu kuwa wanawake ndiyo chanzo cha matatizo yote kwenye jamii na wanaume hamna makosa kabisa

Single mothers siyo tatizo la upande mmoja bali jamii nzima inahusika kwa sababu hao hawazalishwi na upepo bali wenzao!!
 
Killing, Abortion, Adultery and Fornication are all sins that can take someone to hell or that can be forgiven if repented
Preach...
 

Attachments

  • IMG_20190901_215152.jpg
    IMG_20190901_215152.jpg
    27.8 KB · Views: 15
Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa, huwa sipendi kumjudge mtu kwa maisha yake ya nyuma au mapito yake, na huwa napenda sana mtu aliyekosea na akajifunza.
Kuanza kumdhihaki mtu kwa makosa yake ya nyuma si uungwana jamani, kama umempata anafit kwenye circle yako muoe, kama unaona hakufai muache tu kiroho safi ila si maneno mob yasiyokuwa na mpango.
 
Hakuna jinsia inayoruhusiwa kufanya uzinzi wala uasherati hivyo imewapasa wote wanaume na wanawake kuingia kwenye ndoa wakiwa hawajawahi kufanya ngono na hapa siyo swala la kusema eti utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi bali ni swala la kila mtu kujitunza mwenyewe maana siku hizi hata bikira za wanawake nazo zinarudishwa sasa sijui utamjuaje mwanamke ambaye bikira yake imerudishwa

Natamani kukufahamu zaidi nahisi una busara sana! Ubarikiwe!!
 
Pamoja na kwamba wabongo hawapendi tuwaongelee hawa watu kwa sababu zao ambazo hazina kichwa wala miguu, lakini kamwe hatuwezi kuacha kuwaongelea maana ni sehemu ya jamii yetu.

"At your own risk" mkuu nina dada zangu ambao ni masingle maza lakini wao wenyewe kwa midomo yao wamewahi kunitamkia kuwa siku nikiamua kuoa single mother basi nijipange na nijiandae kwa mengi. Imagine mtu ambaye yeye mwenyewe ni single mother na ana ndoto za kuja kuolewa siku moja anakutamkia maneno hayo!!! [emoji848][emoji848] Hakika kauli kama hiyo ina maana nzito sana maana inatoka kwa mlengwa moja moja na wanajifahamu kabisa wao wakoje.

Mama zetu wenyewe tukiwapelekea wachumba nyumbani tukishawaambia tu kwamba mchumba huyu tayari ni mzazi, ghafla utamuona mama anaishiwa pozi na kuwaza vitu vingi sana.. Sababu yeye kama mwanamke anafahamu vizuri sana kiza kinene unachotaka kuingia.

Sasa kuna wazamburi huwa wanajifanya wao wanaakili sana wanatembea na logic kila mahali.. Ndio hawa pro-single mothers!! Ngoja nisiwaseme kwa lolote.
Kwahiyo Lizarazu single mother mmoja akiwa chakaramu na akasema kuwa single mothers wote ni chakaramu basi unadhani na single mothers wengine wote wako hivyo kweli??

Mbona wanaume wengi tu humu kutwa mnasema "hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe na matatizo" lakini kiuhalisia sisi tunajua kuwa wapo wanaume wasio na matatizo yoyote na hawachepuki??

Halafu huu ushuhuda wako haushindwi kuwa wa uongo huu kama uliweza kuzusha kuwa ulishakutana na wanawake 48 wa JF na wote ni wabaya utashindwa kuzusha hili la kujuana na single mothers wanaojiponda??

Halafu hata hivyo hizo mimba hawakujibebesha wenyewe zina kina baba sasa nashangaa mnavyowakalia kimya single fathers hivi hamjui kuwa mnavyowabashia single mothers tu single fathers wanajiona kama hawana hatia kabisa au hamjui hilo??
 
Back
Top Bottom