Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi anaitwaje??


Hana jina la namna hiyo. Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi haitwi Bikra na hawezi itwa hivyo.

Bikra ni mwanamke asiyewahi kukutana kimwili na Mwanaume. Hiyo ndio maana ya msingi(connotative meaning).

Maana zilizoibuka kutoka kwenye maana ya msingi ni kuwa bikra ni kitu chochote ambacho hakijawahi kutumiwa.

Hii ni kusema mtumiaji hawezi kuwa bikra ila mtumiwaji anaweza kuwa bikra. mfano. Ardhi isiyotukiwa huitwa Virgin land. Yaani ardhi ambayo haijatumiwa. Ardhi haiewezi mtumia mwanadamu. Ila mwanadamu ndiye anaitumia ardhi

Mwanaume kamwe hawezikuwa bikra kwa kuwa yeye ndiye mtumiaji. Mwanamke ni bikra kwa sababu yeye ndiye anatumiwa.

Ndio maana mwanamke akitolewa bikra bila kuolewa tunasema Ameharibiwa. Popote pale duniani. Na adhabu zake zipo na zinafahamika.

Sasa wewe kwa upuuzi wako unaona mwanaume naye anabikra. Huo kama sio wendawazimi ni nini?
 
Swali kwako je hawa wanawake wanaoolewa wote ni mabikira?? Jibu ndiyo au hapana!!

Hata mbugani kuna simba na Fisi.
Ndivyo maisha yalivyo.

Wapo walioumbwa kula Vitu vilivyooza na wapo walioumbwa kula vitu visafi.

Yote ni ile dunia iwe balanced.

Kwa hiyo hata kama wewe Huna bikra Mungu hakakusahau ameweka Fisi na nzi kwa ajili yako.

Nadhani jibu umelipata hapo. Kama hujaelewa sasa nitajua hata akili yako imeghushiwa na Imetolewa bikra.
 
Hana jina la namna hiyo. Mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi haitwi Bikra na hawezi itwa hivyo.

Bikra ni mwanamke asiyewahi kukutana kimwili na Mwanaume. Hiyo ndio maana ya msingi(connotative meaning).

Maana zilizoibuka kutoka kwenye maana ya msingi ni kuwa bikra ni kitu chochote ambacho hakijawahi kutumiwa.

Hii ni kusema mtumiaji hawezi kuwa bikra ila mtumiwaji anaweza kuwa bikra. mfano. Ardhi isiyotukiwa huitwa Virgin land. Yaani ardhi ambayo haijatumiwa. Ardhi haiewezi mtumia mwanadamu. Ila mwanadamu ndiye anaitumia ardhi

Mwanaume kamwe hawezikuwa bikra kwa kuwa yeye ndiye mtumiaji. Mwanamke ni bikra kwa sababu yeye ndiye anatumiwa.

Ndio maana mwanamke akitolewa bikra bila kuolewa tunasema Ameharibiwa. Popote pale duniani. Na adhabu zake zipo na zinafahamika.

Sasa wewe kwa upuuzi wako unaona mwanaume naye anabikra. Huo kama sio wendawazimi ni nini?
Mbona tukisema mnatutumia huwa mnakataa mnadai utamu tunapata wote kwa hiyo tunatumiana
 
Kwanza unajua maana ya bikra?

Unajua maana ya maana?
Unajua aina za Maana?
Kama utajua hayo maswali mawili niliyokuuliza sasa tutakuwa tumemaliza mzizi wa fitina.

Kuna maana ya msingi ya maneno. Kwa mfano neno Kupe.
Kupe ni mdudu anayenyonya damu viumbe wengine. Hiyo ni maana ya msingi ya neno Kupe.

Lakini Mtu huweza itwa kupe ikiwa anabaadhi ya sifa au tabia za kupe. Kwa mfano watu wenye kunyonya wengine kama kula pesa zao huitwa Kupe. Lakini kimsingi wao sio kupe.

Mfano mwingine ni neno Kifaru. Kifaru ni myama wa mbugani. Hiyo ni maana ya msingi. Lakini kipo kifaru ambacho ni dhana ya kivita ambapo kimeitwa hivyo kulingana na umbo lake.

Tukirudi kwenye Mada.
Bikra ni alama alizonazo mwanamke ambaye hajawahi kukutana na mwanamke. Ni mwanamke ambaye hajawahi kukutana na Mwanaume. Hiyo ndio maana ya msingi ya neno bikra.

Bikra huwa kwa kitu kinachotumiwa. Mtu anayetumia kitu hicho kamwe hawezi itwa bikra. Ndio maana utasikia ardhi isiyowahi tumika huitwa Virgin land, msitu ambao haujawahi kutumika huitwa Virgin forest.

Lakini kama mtumiaji ambaye ni mwanadamu ambaye hajawahi kutumia hiyo ardhi hawezi itwa ni bikra. Bikra hukaa kwa anayetumiwa.

Mwanamke ni bikra kwa sababu yeye ndiye anayetumiwa. Ndio maana hata siku ya kwanza lazima alete shida anapotumiwa.

Sasa sijui wapi mnakwama
 
Kama hujaelewa hio figure of speech niliyotumia my dear you should go check your brain.

Hapo hakuna cha Figure of Speech wala nini. Sijajua kama unaelewa unalolizungumzia.

Kinachozungumziwa hapo ni Meaning Types and Types of Words.

Sijajua unauelewa gani na masuala ya lugha. Kwa mtu aliyesoma Law na masomo ya lugha hawezi shindwa elewa mada hii.

Yaani usijue bikra ni nini? Na maana yake ya msingi ni ipi? Huwezi kuwa sirius Mkuu
 
Kwanza unajua maana ya bikra?

Embu soma SEMANTIKI ili siku nyingine usijetia aibu humu ndani.
Siajabu nawe unakadigrii kako. Kweli elimu imeharibika.

Aina za Maana
Wataalam wengi mathalan Leech (1981) wanakubaliana kuwa kuna maana saba (7) kama ifuatavyo;

i. Maana ya Msingi
ii. Maana Dokezi
iii. Maana Mtindo
iv. Maana Hisia
v. Maana Tangamani
vi. Maana Mwangwi
vii. Maana Dhamira
MAANA YA MSINGI (DENOTATIVE MEANING)

Hii ndiyo maana kuu ya neno ambayo haibadiliki kutokana na mazingira.
Maana nyingine zote za ziada ambazo zinahusiana hutokana na maana hii ya msingi.aina hii ya maana huangaliwa na kufafanuliwa kwa kigezo cha kuwapo au kutokuwapo kwa sifa bainifu (distinction features) zinazokibainisha kitu hicho.

Sifa hizo baininifu katika taaluma ya semantiki huitwa vijenzi semantiki
Kwa mfano maana ya neno mwanamke linasheheni sifa bainifu zifuatazo::
+mtu
+mtu mzima
+ke
-me
Neno mwanamume nalo linasheheni sifa hizi bainifu:
+mtu
+mtu mzima
+me
-ke

MAANA DOKEZI (CONNOTATIVE MEANING)
Hii ni maana ambayo hudokezwa na kile kisemwacho na kuwakilishwa na kinachorejelewa na lugha.
Maana hii inapatikana kwa njia ya kitu fulani kuwakilisha au kudokeza kitu fulani kingine au hali nyingine.
Maana dokezi hutokana au huibuliwa.
 
Kwanza unajua maana ya bikra?

kama bado utakuwa mbishi nitaona unamatatizo ya akili.

Hivi kwa mfano Mwanaume akiitwa Mwanamke kwa mambo yake au tabia zake. Hiyo inamfanya kweli awe mwanamke. Jibu ni hapana.

Ataitwa vile lakini kimsingi sio mwanamke. Bali yeye ni Mwanaume. Hivi Diamond akiijiita simba yeye ni simba? Jibu ni hapana.

Siku zote kinachoangaliwa ni maana ya msingi ya neno. Sasa wewe kama hujui mambo madogo kama hayo unataka ujadili nini na mimi.

Mtu kama huelewi maana ya msingi ya neno Bikra unataka ujadili nini humu.
 
Kwanza unajua maana ya bikra?

Bikira ni mwanamke yeyote asiyewahi kuingiliwa kijinsia na mwanamume . Kwa sababu hiyo kizinda kinacholinda
tumbo la uzazi hakijaondolewa, bali kinabaki kama ushahidi wa hali hiyo.
Katika utamaduni wa makabila mbalimbali, kufikia ndoa katika hali hiyo ni jambo linalothibitisha msimamo wa mwanamwali unaotumainisha atakuwa mwaminifu kwa mume wake.

Hiyo ni Wikipedia.

Subiri nikuletee Kulingana na TUKI.
Ili uache kujizalilisha humu ndani kwa ujinga
 
Kwanza unajua maana ya bikra?

bikira
NOMINO ( plural bikira)
Mwanamke ambaye kizinda chake hakijaondolewa na mwanaume

Matamshi
bikira /bikira/

Ufafanuzi msingi wa bikira katika Kiswahili: bikira bikira
bikira

KIVUMISHI
Ambao haijatumika.

Hao ni Oxford living Dictionary.

Ndio maana kule juu nikakueleza kuwa kuna mtumiaji na mtumiwaji.

Bado hujaelewa tuu
 
Sasa na wewe unawazalishaje wajinga wajinga? Huoni huo ni ujinga zaidi maana kuruhusu tupu yakeoiungane na ya mjinga mpaka kuacha mbegu yako kwa mjinga huoni huo ni zaidi ya ujinga?Baharia hapa umechemka mwanamke uliyezaa nae regardless of your separation misunderstanding n. k unapaswa kumuheshimu sana maana leo unaweza anguka hao watoro wakalelewa na hao wajinga unaowasema.
Mimi ni baharia kazi yangu ni kuzalisha wajinga wajinga kuowa baharia ni marufuku
 
1.Je huo uzinzi/uasherati alifanya peke ake?
2. Je kwa uelewa wako single mama ni mwanamke gani? Seems like hutambui single mama ni yupi (na wengi mnaoleta mada za single mamas humu jf)
3. Sasa utapendaje mwanaume ambae hampendi mwanao? Mtoto of course should be the key, au hujasikia matukio ya unyanyasaji kwa watoto wa kambo?
4. Kwahiyo mtoto kuwa wako ni lazima awe ametoka kwenye kiuno chako? Wewe unaeza kweli kusaidia mtoto wa ndugu yako, achilia mbali watoto wanaoishi kwenye mazibgira magumu?
5. Kwa akili yako wewe ndio wale unawaza kuwa ukioa binti kutoka kanisani au kijijini ndio atatulia. Pole sana.
6. Kwahiyo unataka kusema ukioa mwanamke ambae hana mtoto/watoto ndio hutaki kumwonyesha mapenzi yako yote?

Utoto wenu utawaponza. Ndoa sio harusi. Yani siku hizi inasikitisha hadi wanaume wanatamani harusi na hawawazi ndoa.
Ndoa inawezekana kwa mtu yoyote alietayari kuolewa. Haijalishi yuko katika hali gani.
 
Aina za Maana
Wataalam wengi mathalan Leech (1981) wanakubaliana kuwa kuna maana saba (7) kama ifuatavyo;

i. Maana ya Msingi
ii. Maana Dokezi
iii. Maana Mtindo
iv. Maana Hisia
v. Maana Tangamani
vi. Maana Mwangwi
vii. Maana Dhamira
MAANA YA MSINGI (DENOTATIVE MEANING)

Kaka mimi napenda masuala ya lugha hasa Kiswahili,sasa haya uliyoyaandika ni mapya na unipe mfano wa kila kipengele ili niweze kuelewa vizuri.

Na utakuwa umenisaidia sana ukinipa maana ya "Maana".
 
Back
Top Bottom