Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Killing, Abortion, Adultery and Fornication are all sins that can take someone to hell or that can be forgiven if repented
An immense burden of evils these serial killers of innocent babies carry in their souls outweigh my evil deeds by million times. We probably won't incur the the same castigation in heaven!
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuaminisha watu kuwa wanawake ndiyo chanzo cha matatizo yote kwenye jamii na wanaume hamna makosa kabisa

Single mothers siyo tatizo la upande mmoja bali jamii nzima inahusika kwa sababu hao hawazalishwi na upepo bali wenzao!!
 
Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa, huwa sipendi kumjudge mtu kwa maisha yake ya nyuma au mapito yake, na huwa napenda sana mtu aliyekosea na akajifunza.
Kuanza kumdhihaki mtu kwa makosa yake ya nyuma si uungwana jamani, kama umempata anafit kwenye circle yako muoe, kama unaona hakufai muache tu kiroho safi ila si maneno mob yasiyokuwa na mpango.
 

Natamani kukufahamu zaidi nahisi una busara sana! Ubarikiwe!!
 
Kwahiyo Lizarazu single mother mmoja akiwa chakaramu na akasema kuwa single mothers wote ni chakaramu basi unadhani na single mothers wengine wote wako hivyo kweli??

Mbona wanaume wengi tu humu kutwa mnasema "hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe na matatizo" lakini kiuhalisia sisi tunajua kuwa wapo wanaume wasio na matatizo yoyote na hawachepuki??

Halafu huu ushuhuda wako haushindwi kuwa wa uongo huu kama uliweza kuzusha kuwa ulishakutana na wanawake 48 wa JF na wote ni wabaya utashindwa kuzusha hili la kujuana na single mothers wanaojiponda??

Halafu hata hivyo hizo mimba hawakujibebesha wenyewe zina kina baba sasa nashangaa mnavyowakalia kimya single fathers hivi hamjui kuwa mnavyowabashia single mothers tu single fathers wanajiona kama hawana hatia kabisa au hamjui hilo??
 
I repeat that's according to your thoughts and not according to the reality considering that your thoughts don't matter to me while the reality does
Coz that's how you are, is it too sourish to chew?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…