Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Hapo mwisho umeua kabisa.Ukioa Single mother kuna wakati atahitaji umpe nafasi ya kukutana na mzazi mwenzie(mume mwenzio) atakwambia agenda ni kujadili maswala yanayohusu maendeleo ya huyo mtoto uliyemkuta naye.so usije ukaanza kujaa upepo.maamuzi sahihi ni sasa.
Halafu pia kuna wakati utakuwa unalinganishwa na mume mwenzio kwa baadhi ya mambo kwa mfano ...."naona nawewe umeanza kuniboa kama kama ya baba Zulfa".
Duuu!!! Ila kweliKulea bao la mtu mwingine inabidi uwe na roho ya chuma haswa pale inapofika j2 unamuona mtoto kapendeza unaambiwa anakuja kuchukuliwa na baba yake.
Kama huna moyo mgumu achana na wamama mdogo wangu
Aiseeoa tu single mother ni wazuri unajitumikishia unavotaka hawanaga option hao.
Wanawake wamejaaa kibaoHabari wakuu,
Umri wangu ni miaka 27 na bado sijaoa wala sijafikiria kuoa nataka nianze kutafuta mwenza nikifika 30years, lakini hapa kilichonishtua ni wimbi kubwa la kina single mothers wadada kwa wamama wengi sana mitaani wana watoto na hawakai na wazazi wenza, asilimia 75 niliokutana nao hadi sasa ni single mothers, unakuta binti mrembo kafungasha rangi nzuri sura nzuri kidini mnaendana lakini kazalishwa na hana mume.
Mbaya zaidi hata ex wangu aliyenipaga kibuti alivyofika chuo kikuu sahivi na yeye ni single mother, yaani nimechanganyikiwa sijui pa kushika yaani naogopa sana kuoa single mother nahisi sitakuwa huru.
Mnishauri jamani namna ya kuishi na single mother ikitokea nimeangukia huko.
sikuachwa bali mimi nilimuacha niliamua kusepa nikalee mimba yangu na kulea mwanangu.
nilikuwaga na single father kabla hajanimake me a songle mom...na yule mwanamke alozaa naye alinisumbua sana mpaka nikaamuam kumuachia huyo mwanaume ili namie aniachie uhai wanguwe kwa upande wako likoje
oa ambaye hajazaa lakini hakikisha haumsababishii kuwa single motherHabari wakuu,
Umri wangu ni miaka 27 na bado sijaoa wala sijafikiria kuoa nataka nianze kutafuta mwenza nikifika 30years, lakini hapa kilichonishtua ni wimbi kubwa la kina single mothers wadada kwa wamama wengi sana mitaani wana watoto na hawakai na wazazi wenza, asilimia 75 niliokutana nao hadi sasa ni single mothers, unakuta binti mrembo kafungasha rangi nzuri sura nzuri kidini mnaendana lakini kazalishwa na hana mume.
Mbaya zaidi hata ex wangu aliyenipaga kibuti alivyofika chuo kikuu sahivi na yeye ni single mother, yaani nimechanganyikiwa sijui pa kushika yaani naogopa sana kuoa single mother nahisi sitakuwa huru.
Mnishauri jamani namna ya kuishi na single mother ikitokea nimeangukia huko.
Utoto ni up? mkuu,au kwa kuonesha hisia yake kwa masingle mother,usiwe mwepes kudharau mawazo ya mwenzio ,hili ni jukwaa huru,tulitendee haki na siyo lazima kumshaur mleta thread kama hauna cha kumshaurKuna kautoto flan kanakusumbua subiri kwanza ukue!
Mkuu siku hiz waojaj hawapo, ni kupga kaz kwenda mbele,muhimu aonekane naye ana Mtoto bas maisha yanasonga,maana majukumu wengi wao wanayakimbia pia na ujuaji wa Wanawake umezid,wanakuja kushtuka waishazalishwa,hivyo wanakosa soko,hivyo kujikuta soko la kuolewa linazid kudodora,hivyo kuwalazim kila mmoja kupambana na hali yakenashukuru brother lakin unadhani kwanini kuna wimbi kubwa la single mother
Ndiyo hapo mkuu,au Wanawake wameisha kwa Dunia,inakujaje? Mwanaume rijal akaoa single mother,yeye hana wivu wa kizazi chake,kwetu ni aibu kubwa sana tena utachekwaYa nini kupoteza muda kufanya research wakati wanawake wasio na watoto wapo dahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas mkuu, una nyota ya masingle mothersuala ni kwamba hata nikisema nitafute mwingine bado nakutana na single mother
Ni aibu kubwa mkuuWanawake wa humu watakushauri kuvutia kwao lakini mtaani hawa hawa Ndio dada zetu. Ukioa single parent watakusema mpaka uchanganyikiwe hata Kama wao wamezalia watoto home.
Yote Kwa yote, kwangu ni bora kulea mtoto wa dada yangu Kuliko wa mwanaume mwenzangu.
Hata watoto wa Kaka yangu huwa siamini kama ni ndugu zangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuaji wenuKinanani wanawafanya wanawake wawe single parent si ninyi ?anyway ukikua utajua mengi you still young
IRON LADY!!!!
Labda kwako hilo linawezekana ila kwa wengine kupenda kuna mipaka yake,hauwez Ukawa na Mtu muongo au mnafik kisa umependaKupenda huwa hakuchagui unaweza kuzama kwa single mothers. Tatizo si wanawake tatizo ni nani umempenda...