Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Hapo mwisho umeua kabisa.Ukioa Single mother kuna wakati atahitaji umpe nafasi ya kukutana na mzazi mwenzie(mume mwenzio) atakwambia agenda ni kujadili maswala yanayohusu maendeleo ya huyo mtoto uliyemkuta naye.so usije ukaanza kujaa upepo.maamuzi sahihi ni sasa.
Halafu pia kuna wakati utakuwa unalinganishwa na mume mwenzio kwa baadhi ya mambo kwa mfano ...."naona nawewe umeanza kuniboa kama kama ya baba Zulfa".
Sent using Jamii Forums mobile app