Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Naongezea

Funguo malaya husifiwa na hudhaminiwa kwa kufungua makufuli mengi lakn makufuli yanayoruhusu funguo malaya hudhalauliwa na kutupwa mbali
 
Inaonekana UBAHARIA ni tofauti sana na UANAUME.

Sisi wanaume tunasema hivi "KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" na hatusemi hivi "KWENYE WANAUME KUNA MABAHARIA".

Hivi hakuna Mabaharia wa kike ?
 
hello guys,this topic I have found it to be so interesting and at the same time very unfortunate.we here in this group have got sisters, cousins,friends who have fallen victim to the predicament of single motherdnes. when the victims passby and read this comments what impact does it bring? It's the nature n nurture of everything human being to be accorded dignity.#singlemothers are people too and the deserve a shoulder to lean on
 
Kaka mimi napenda masuala ya lugha hasa Kiswahili,sasa haya uliyoyaandika ni mapya na unipe mfano wa kila kipengele ili niweze kuelewa vizuri.

Na utakuwa umenisaidia sana ukinipa maana ya "Maana".

Kwenye lugha kuna kitu kinaitwa Sarufi.
Kwenye Sarufi yapo mambo yafuatayo
1. Pragmatiki
2. Sintaksia
3. Semantiki
4. Mofolojia.

Semantiki ni sarufi inayohusiana na Maana ya maneno.
Hapa kuna nadharia mbalimbali kuhusiana na maana ya maneno.

Pia kuna aina za maana.
Wapo wataalamu wengi waliojadili aina za maana.
Kama nitakavyoeleza hapo baadae.

Kila neno linamaana yake ya msingi. Yaani maana asilia.

Kwa mfano. Neno tunda. Tuna ni sehemu za zao la mti. lakini tunda pia huhusishwa na sehemu za siri za Mwanamke.

lakini maana ya msingi ya neno tunda ni zao la mti.

Sasa hao ndugu zangu hapo juu wanachanganya madesa. Siwalaumu hata hivyo kwa maana huenda madarasa ni madogo. Na kama wanaelimu kubwa basi siyo ya lugha na Sheria ambapo maana ya maneno hupewa nafasi kubwa.
 
Single mothers wamekuwa jalala la matusi ya kila aina nowadays. Mbona hawazungumzii single fathers au wanawake wanazaa na wakina nani? Leo wanasema watoto wa watu baadae watoto wao watasemwa vile vile.

Hivi ukiachana na wale wajane ambao waume zao wamefariki au hawa walio achika,je kuna sababu gani ya msingi na ya maana inayowafanya watoto wa kike wawe single mothers zaidi ya ujinga,uzembe,tamaa na ujuaji mwingi ?

Pili,hakuna mwanaume kamili,mwenye kujivunia juu ya kuzalisha wanawake bila ndoa na yeye akajiita mwanaume,mwanaume ni sifa anuai ya kimaumbile,ambayo sifa hiyo huenda sanjari na sifa zingine. Kwahiyo wote wapo makosani.

Mathalani mimi,nilishajiapiza kwamba sitakuja kuwa na mtoto nje ya ndoa wala sitakuja kumzlisha binti wa watu bila ndoa,sababu najua mtoto wa nje ya ndoa anakosa haki zangu na ninakuwa namdhulumu pia.

Nitakuja kuendelea hapa nilipoishia .....
 
Inaonekana UBAHARIA ni tofauti sana na UANAUME.

Sisi wanaume tunasema hivi "KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" na hatusemi hivi "KWENYE WANAUME KUNA MABAHARIA".

Hivi hakuna Mabaharia wa kike ?
Mabaharia wakike ni mamaharia. Nyinyi wanaume mnasema
" KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" hii ni sentensi tata sijui nyie ni wanaume wa aina gani msiojua kiswahili.
.
Mimi kama Baharia nasemaje ni marufuku kwa Baharia yeyote kuowa mwanamke aliyezalia kwao (Single mama) hata mjane marufuku.
 
Nimekuwepo kwa hii dunia karibu milongo mitatu na nimeishi na jamii karibu zote za hapa nchini. Hivyo nafahamu ninachokiongea dogo.
Kwa hiyo unanitisha kwa kuwa Kwenye dunia karibia milongo mitatu!??
Bado upo muongo wa pili ambao na mimi nipo[emoji3526]
 
lakini tunda pia huhusishwa na sehemu za siri za Mwanamke.
Hapa linahusishwa na wataalamu wa lugha au vijana wa mtaani ? Ipi mipaka yake ?
Sasa hao ndugu zangu hapo juu wanachanganya madesa. Siwalaumu hata hivyo kwa maana huenda madarasa ni madogo. Na kama wanaelimu kubwa basi siyo ya lugha na Sheria ambapo maana ya maneno hupewa nafasi kubwa.
Sasa nataka kujua nini maana ya maana ?
 
Gonga meza mkuu wangu
 
Bila kuegemea upande wowote naunga mkono mada point zote kasoro no 5 &7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…