Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Lizarazu naomba usome hapamarriage is an institution,our past mistakes doesn't necessarily mean that they can define our whole future.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lizarazu naomba usome hapamarriage is an institution,our past mistakes doesn't necessarily mean that they can define our whole future.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vizuri sana nina imani wazazi wako popote walipo watakuwa wanajivunia sana kuwa na mtoto kama wewe!!
Halafu kuna watu ukizaa wanakuona looser
Nyenyere, @Lizarazu mnawahubiria single mama kila siku humu ila tatizo linaendelea sababu ya watu Kama hawaNina watoto wanne sasa hivi alafu yote mabaharia mawili niliyapata wakati niko shule mawili wakati niko mzigoni.
.
Kila mmoja ana mama yake na baharia mkubwa anaishi na mimi wengine watatu kwa bibi yao (mama yangu mimi) yaaaaani na bado nakajaza kaukoo
Bibie,kwani bikra/bikira ukivyofundishwa wewe maana yake nini ?Kwanza unajua maana ya bikra?
Unataka kuniambia Ushirikina ni sawa na kusengenya au ni sawa na zinaa au ni sawa na kuiba ?Kwenye dhambi hakuna tofauti kasome maandiko msilazimishe mambo
NaongezeaSisi walimu huwa tunafundisha hivi there's different btn zoology and botany sasa na kwenye huu uzi kuna tofauti kati ya mwanaume na mwanamke.
.
Mwanamke akikandamizwa hovyohovyo anachuja vibaya sanaaa ila mwanaume hachuji zaidi atakufa ghafla tu [emoji23][emoji23]
.
Mwanamke ukizalishwa thamani yako inashuka ila mwanaume aliyekuzalisha thamani yake inapanda sijui kama unanielewa
Inaonekana UBAHARIA ni tofauti sana na UANAUME.Nina watoto wanne sasa hivi alafu yote mabaharia mawili niliyapata wakati niko shule mawili wakati niko mzigoni.
.
Kila mmoja ana mama yake na baharia mkubwa anaishi na mimi wengine watatu kwa bibi yao (mama yangu mimi) yaaaaani na bado nakajaza kaukoo
Tatzo lao la kutaka kujilinganisha na wanaumeUliona wapi Mwanaume akawa bikra.
Ninachokiona kwa wanawake wa siku hizi hawana bikra sio tuu za kwenye papuchi bali mpaka akilini.
Imagine mtu anasema mwanaume anabikra. Huyo hata mbuzi anaafadhali.
hello guys,this topic I have found it to be so interesting and at the same time very unfortunate.we here in this group have got sisters, cousins,friends who have fallen victim to the predicament of single motherdnes. when the victims passby and read this comments what impact does it bring? It's the nature n nurture of everything human being to be accorded dignity.#singlemothers are people too and the deserve a shoulder to lean onBasi fahamu haya:
Mwanamke aliyezaa huhamishia mapenzi kwa mwanaye. Hali huwa hivyo hata ndani ya ndoa, kiasi kwamba ndoa nyingi hupoteza mvuto pale tu mtoto anapozaliwa. Kwako wewe kijana unayetaka kujitwika mabomu uoe single mother.
Mwanamke anatakiwa aolewe katika ubikira wake ili mwanamume kujisikia kwamba kweli amepata mtu mwaminifu. Lakini kama hata hilo halikutosha kukushawishi, usithubutu kuoa mwanamke ambaye ni single mama, labda kama una uvumilivu usiopimika. Yako mambo kadhaa ambayo yanamfanya single mama asiwe sehemu ya mtarajiwa wa ndoa.
1. Single mama wengi ni matokeo ya uzinzi ama uasherati. Binti anapojiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa kwa kigezo cha kutafuta kuolewa ni dalili mbaya hata kama ataolewa kweli. Hii inaonyesha kuwa ana udhaifu kwenye eneo la ndoa kiasi kwamba yuko tayari kuutumia mwili wake kama rushwa ili kufanikisha ndoa. Hii haitofautiani na mwanamke aliye ndani ama nje ya ndoa kutumia tigo yake kama kishawishi cha kumshika mwanamume. Unapotumia ngono kama sehemu ya ushawishi, ama kama silaha ya kumteka mwanamume ujue kwamba unaondoa thamani yako na kuingia kwenye kundi la makahaba. Ni kweli uchi wa mwanamke ndio silaha yake kwenye mahusiano, lakini si kwa kuigawa hovyo, bali kwa kuwanyima wanaoitamani ili apatikane mwenye nia thabiti ya ndoa.
Inapotokea binti kajiingiza kwenye mapenzi mpaka kupata mimba, tayari keshapata muunganiko mwingine na mwanamume aliyempa mimba hiyo, tayari wameunganishwa na mtoto huyo, ingawa bado mwanamume aliona huyu mwanamke hafai kuwa mke, alikiwa anamtumia tu kukidhi kiu yake mpaka pale atakapompata mtu sahihi. Sasa wewe ni nani hata ukajiingize kuoa mwanamke wa aina hii?
2. Single mama hawezi kukupenda kwa jinsi ulivyo, bali kutakuwa na sharti la mtoto. Kwamba iwapo utamtunza mtoto kama single mama atakavyo basi utapewa mapenzi matamu. Ni ukweli usiopingika kuwa mwanamke apatapo mtoto mapenzi yote huhamia huko, hivyo wewe jiandae kuwa chaguo la pili kwake. Haya sio mapenzi na ujue tu kuwa huwezi kuwa na amani kamwe.
3. Mtoto si wako. Hata kama utampenda na kumhudumia kwa namna yoyote ile, ukweli utabaki kuwa huyo si mwanao, sio damu yako. Ni kwamba umejitwika jukumu la kumhudumia mtoto wa mwanaume mwenzako ambaye ndiye ataendelea kutambulika kama baba mzazi. Siku akikua ataanza kumtafuta aliyechangia mbegu mpaka akaja dunuani, sio aliyechangia ugali. Ikitokea mmeachana na single mama, ujue ndio mwisho wa kuonana na mwanao mpenzi uliyekuwa ukimtunza kwa nguvu zako zote.
4. Utatumia nguvu kubwa kulilinda penzi. Ili ujihakikishie kuwa single mama anatulizana na wewe, utahitaji kuishi maisha ya kumfurahisha yeye, kumpa atakacho ili asije akamkumbuka mume wake wa kwanza. Namna pekee ya kumfurahisha ni kuhakikisha mtoto wa mwanamume mwenzako anapata maatunzo mazuri, nguo nzuri, elimu nzuri n.k. Utalazimika kuwa karibu naye kuliko hata baba mzazi anavyokuwa, yote haya ni kutafuta kumfurahisha single mama. Utaishi maisha ya kujipendekeza, yenye stress nyingi.
5. Huna sauti juu ya mtoto. Hata kama utataka umchujue mtoto huyu kuwa mwanao kamili, umpe malezi halisi ya mzazi, kuna mahali utakwama tu. Huwezi kumwadabisha kwa mikono miwili, lazima mmoja utakuwa nyuma na mwingine utakuwa mbele. Mara zote utakaa ukijiuliza, labda nikimfanya hivi mama yake atadhani namchukia, jamii nayo itanifikiria vingine. Utajikuta wewe mwenyewe unajiwekea mipaka hata kabla pilato hajakuhukumu kwa kuvuka mstari!! Pigo kubwa zaidi ni pale single mama atakapokutamkia kuwa unamtendea hivyo kwa sababu mtoto sio wako. Hapo utabaki kama mjinga fulani aliyepigwa bumbuwazi asijue aukabili vipi ukweli huu mchungu.
6. Chanzo cha vurugu kwenye familia. Hata ikitokea mmezaa watoto wengine, bado mapenzi hayawezi kuwa sawa. Single mama wana kawaida ya kuwaandalia mazingira watoto wa baba wengine tofauti hao wa baba waliye naye wakati huo. Hufanya hivyo kwa hofu kuwa watoto hawa mara nyingi hawana urrithi kwa baba aliyewalea. Hii huleta mgawanyiko mkubwa kwenye familia kiasi cha watoto wenyewe kuchukiana. Hata ndugu wa mwanamume hawawezi kamwe kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya familia kwa sabubu sio damu yao na anao ukoo mwingine kabisa. Hawezi kujitambulisha kwa jina la baba wa kambo kwa sabubu hana muunganiko wowote naye. Hata ikitokea baba mlezi amekufa, ukoo wake hauwezi kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya urithi. Tunajifunza kwa wanyama wengine pia kama simba, ambapo anapoinuka dume mwingine kuongoza majike, huua watoto wote àliowakuta kisha huanza upya kusaka watoto wake. Sasa sisi hatuwezi kuua, bali tunaweza kuepuka taabu hii kwa kutokuoa mwanamke mwenye watoto.
7. Mume wa kwanza ana nafasi ya kuendelea kumtafuna single mama atakavyo. Kwa kawaida mwanamke akishazaa na mwanamume, ule muunganiko huwa haufi. Tayari ni mzazi mwenza na hana cha khmficha tena, hivyo kupasha kiporo ni jambo la kawaida tu. Pia mama atataka mtoto amjue baba yake halisi kwa ajili ya siku zijazo, hivyo hawezi kujiweka mbali na mzazi mwenzake. Sasa mzazi mwenza ni juu yake kuamua kuendelea kumla ama la, kwani hakuna kutongozana tena, ni kupanga miadi tu na kukutana kuserebuka. Kidume wewe utageuzwa baba mlishi huku haki nyingine zote zikielekezwa kwa mwenye mwanaye.
Ukweli ni kuwa single mama anapopata mume, focus yake sio ndoa bali ni malezi ya mwanaye. Anataka uhakika tu kuwa mwanae ataishi na atapata matunzo bora ili siku za usoni aje kumsaidia yeye.
Ewe kijana, usijiingize kwenye mtego utakaoharibu maisha yako. Tafuta bikira atakayefunga kiapo nawe, achana na wanawake waliozaa hovyo kwa kukosa mwelekeo.
Hapa sijazungumza juu ya walioolewa kisha waume zao kufariki, kwani kwao hawa yako mambo mengi pia nyuma ya pazia ya kuchunguza.
Lizarazu baba Cha ubishi[emoji23][emoji23]Ms.Misinterpreter mambo?
Kaka mimi napenda masuala ya lugha hasa Kiswahili,sasa haya uliyoyaandika ni mapya na unipe mfano wa kila kipengele ili niweze kuelewa vizuri.
Na utakuwa umenisaidia sana ukinipa maana ya "Maana".
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]hao ni wanaume wajinga kama wale wanawake wajinga wanaosema mwanaume anabikra.
Kwa sababu Hujashambulia hoja,umemshambulia yeye.Kwanini unaona nimemshambulia na sio kwamba nimeenda na stylistic figure ya uchangiaji wake wa mada hii tangu mwanzo?
Single mothers wamekuwa jalala la matusi ya kila aina nowadays. Mbona hawazungumzii single fathers au wanawake wanazaa na wakina nani? Leo wanasema watoto wa watu baadae watoto wao watasemwa vile vile.
Mabaharia wakike ni mamaharia. Nyinyi wanaume mnasemaInaonekana UBAHARIA ni tofauti sana na UANAUME.
Sisi wanaume tunasema hivi "KWENYE WANAUME KUNA WANAUME" na hatusemi hivi "KWENYE WANAUME KUNA MABAHARIA".
Hivi hakuna Mabaharia wa kike ?
Kwa hiyo unanitisha kwa kuwa Kwenye dunia karibia milongo mitatu!??Nimekuwepo kwa hii dunia karibu milongo mitatu na nimeishi na jamii karibu zote za hapa nchini. Hivyo nafahamu ninachokiongea dogo.
Hapa linahusishwa na wataalamu wa lugha au vijana wa mtaani ? Ipi mipaka yake ?lakini tunda pia huhusishwa na sehemu za siri za Mwanamke.
Sasa nataka kujua nini maana ya maana ?Sasa hao ndugu zangu hapo juu wanachanganya madesa. Siwalaumu hata hivyo kwa maana huenda madarasa ni madogo. Na kama wanaelimu kubwa basi siyo ya lugha na Sheria ambapo maana ya maneno hupewa nafasi kubwa.
Gonga meza mkuu wangubikira
NOMINO ( plural bikira)
Mwanamke ambaye kizinda chake hakijaondolewa na mwanaume
Matamshi
bikira /bikira/
Ufafanuzi msingi wa bikira katika Kiswahili: bikira bikira
bikira
KIVUMISHI
Ambao haijatumika.
Hao ni Oxford living Dictionary.
Ndio maana kule juu nikakueleza kuwa kuna mtumiaji na mtumiwaji.
Bado hujaelewa tuu
Bila kuegemea upande wowote naunga mkono mada point zote kasoro no 5 &7Basi fahamu haya: