Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,461
uzi gani huo niiteni namie wakuu nije nijipatie maarifaMuite. Ila sasa uzuri ile mada inataka uwe mjuzi wa lugha na maandiko,ukiwa mjuzi wa lugha tu lazima utachemka.
uzi gani huo niiteni namie wakuu nije nijipatie maarifa
Uliuliza hivi kuna wanawake mabaharia? Hilo ndilo jibu ulilostahili.Hili tamko "Mamaharia" umelipata wapi ?
Kujua kwingi mbele giza.Kiswahili gani hapa kina hitajika ? Mpaka useme hatujui Kiswahili,hapa kilicho fanyika ni kutoa visivyohitajika na kubaki vinavyo hitajika.
Hii ni kwa mujibu wa Quran naona. Mwanaume ni nani?Kuna mwanaume kihali mpaka kitabia na kuna mwanaume kihali ila kitabia ni mwanamke,ndio maana tunasema hivi "Katika Wanaume kuna Wanaume". Mfano wa wanaume wenye sifa za kike,wanaume wenye kuimba hawa wana sifa za kike na mfano wao.
Haswaaa! Mimi sio mwanaume ila ni mwanamume.Bila shaka,wewe ni mwanaume jina,huingii katika ule uana ume wa tabia.
Umeanza kuleta uostadhi maandazi hapa, huu sio mjadala wa kidini aisee.Mwanaume kamili hawezi kujiita Baharia. Nakukumbusha tu kila jambo linataka elimu,na jambo la kielimu linatakiwa lijadiliwe kielimu,sio unaandika mambo kwa hisia,na tangu mitume wanatumwa wameelezea sifa anuai ya mwanamke ni kulalamika sana na kukithirisha mashitaka sana,na kutumia hisia sana imekuwa ni sifa ya kike,na wewe uko nayo. Sasa tumia akili sana unapoandika kuliko hisia.
Nakuja kuendelea hapa nilipoishia ....
Wewe ni single mama? Sisi mabaharia tunaponeaga kwenuUnawaaibisha wenzio.
Pia wewe Ni chanzo Cha tatizo kukua.
Uache..hiyo tabia sio nzuri.
Huyo zurri ni mwanaume mimi ni mwanamume nina tofauti naye ayseee.Khaligraph Jordan mbona yupo!?
Anajivunia kuzalisha bila ndoa.
Wanaume mna safari ndefu Sana.
Na watu Kama Hawa ndio chanzo cha mahubiri yote haya humu ndani.
Kwanza nashukuru ujumbe nilioukusudia ukufikie umefika.Uliuliza hivi kuna wanawake mabaharia? Hilo ndilo jibu ulilostahili.
.
Sisi wazee wa kale tunajua hakuna baharia wakike ila kuna mchundo wa kike.
Kujua kwingi mbele giza.
Hii ni kwa mujibu wa Quran naona. Mwanaume ni nani?
Kwanza kwanza unatakiwa ujuwe kutofautisha kati ya mwanamume na mvulana.
.
Sentensi yako ya kusema " Katika wanaume kuna wanaume" bado ni tata itakubidi uitolee ufafanuzi zaidi.
.
Wanaume wanaoimba hawa wana sifa za kike.
Utakuwa unaumwa malaria ya kichwani wewe, scientifically ili mwanamume au mvulana aambiwe ana tabia za kike ni lazima hormone za jinsia hiyo (ya kike) ziwe zimezidi.
Mfano mzuri ni Alli Remtula huyu ni mwanamume/ mvulana (sifahamu kama ana familia) kimuonekano ila ana tabia za kike na mwenzake Mustapha Asanali huyu ni mwanamume mwenye tabia za kike.
Na hii haimaanishi wao ni wanawake au wasichana.
Haswaaa! Mimi sio mwanaume ila ni mwanamume.
Umeanza kuleta uostadhi maandazi hapa, huu sio mjadala wa kidini aisee.
Ni kweli mimi siwezi kujiita mwanaume ila mimi ni mwanamume.
.
Mambo ya mitume peleka hukooo sio hapa au jadili na wengine habari za mitume wako
Ni wachache sana wenye upeo kama wako. Congrats [emoji1490]Hivi ukiachana na wale wajane ambao waume zao wamefariki au hawa walio achika,je kuna sababu gani ya msingi na ya maana inayowafanya watoto wa kike wawe single mothers zaidi ya ujinga,uzembe,tamaa na ujuaji mwingi ?
Pili,hakuna mwanaume kamili,mwenye kujivunia juu ya kuzalisha wanawake bila ndoa na yeye akajiita mwanaume,mwanaume ni sifa anuai ya kimaumbile,ambayo sifa hiyo huenda sanjari na sifa zingine. Kwahiyo wote wapo makosani.
Mathalani mimi,nilishajiapiza kwamba sitakuja kuwa na mtoto nje ya ndoa wala sitakuja kumzlisha binti wa watu bila ndoa,sababu najua mtoto wa nje ya ndoa anakosa haki zangu na ninakuwa namdhulumu pia.
Nitakuja kuendelea hapa nilipoishia .....
wanataka waingizwe kwenye chamaUliuliza hivi kuna wanawake mabaharia? Hilo ndilo jibu ulilostahili.
.
Sisi wazee wa kale tunajua hakuna baharia wakike ila kuna mchundo wa kike.
Kujua kwingi mbele giza.
Hii ni kwa mujibu wa Quran naona. Mwanaume ni nani?
Kwanza kwanza unatakiwa ujuwe kutofautisha kati ya mwanamume na mvulana.
.
Sentensi yako ya kusema " Katika wanaume kuna wanaume" bado ni tata itakubidi uitolee ufafanuzi zaidi.
.
Wanaume wanaoimba hawa wana sifa za kike.
Utakuwa unaumwa malaria ya kichwani wewe, scientifically ili mwanamume au mvulana aambiwe ana tabia za kike ni lazima hormone za jinsia hiyo (ya kike) ziwe zimezidi.
Mfano mzuri ni Alli Remtula huyu ni mwanamume/ mvulana (sifahamu kama ana familia) kimuonekano ila ana tabia za kike na mwenzake Mustapha Asanali huyu ni mwanamume mwenye tabia za kike.
Na hii haimaanishi wao ni wanawake au wasichana.
Haswaaa! Mimi sio mwanaume ila ni mwanamume.
Umeanza kuleta uostadhi maandazi hapa, huu sio mjadala wa kidini aisee.
Ni kweli mimi siwezi kujiita mwanaume ila mimi ni mwanamume.
.
Mambo ya mitume peleka hukooo sio hapa au jadili na wengine habari za mitume wako
PoleWewe ni single mama? Sisi mabaharia tunaponeaga kwenu
jibu langu ni ndio, una lingine?Kwahiyo Lizarazu single mother mmoja akiwa chakaramu na akasema kuwa single mothers wote ni chakaramu basi unadhani na single mothers wengine wote wako hivyo kweli??
hao ni wao na wewe hivyo usiniweke kwenye kapu sawa na nyieMbona wanaume wengi tu humu kutwa mnasema "hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe na matatizo" lakini kiuhalisia sisi tunajua kuwa wapo wanaume wasio na matatizo yoyote na hawachepuki??
Sasa kama ni hivi acha ku reply comments za muongoHalafu huu ushuhuda wako haushindwi kuwa wa uongo huu kama uliweza kuzusha kuwa ulishakutana na wanawake 48 wa JF na wote ni wabaya utashindwa kuzusha hili la kujuana na single mothers wanaojiponda??
Hujazuiliwa kufungua nyuzi za kuwaongelea hao akina baba. Hapo tunajibu kulingana na mantiki iliyopo kwenye mada. Kwanini niende out of context?Halafu hata hivyo hizo mimba hawakujibebesha wenyewe zina kina baba sasa nashangaa mnavyowakalia kimya single fathers hivi hamjui kuwa mnavyowabashia single mothers tu single fathers wanajiona kama hawana hatia kabisa au hamjui hilo??
Umeflow vizuri with a wonderful closing remark....madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana. Acheni maisha ya risk.
Hahaha karibucute love nitalea watoto wako unasemaje ?