Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Hili tamko "Mamaharia" umelipata wapi ?
Uliuliza hivi kuna wanawake mabaharia? Hilo ndilo jibu ulilostahili.
.
Sisi wazee wa kale tunajua hakuna baharia wakike ila kuna mchundo wa kike.
Kiswahili gani hapa kina hitajika ? Mpaka useme hatujui Kiswahili,hapa kilicho fanyika ni kutoa visivyohitajika na kubaki vinavyo hitajika.
Kujua kwingi mbele giza.

Kuna mwanaume kihali mpaka kitabia na kuna mwanaume kihali ila kitabia ni mwanamke,ndio maana tunasema hivi "Katika Wanaume kuna Wanaume". Mfano wa wanaume wenye sifa za kike,wanaume wenye kuimba hawa wana sifa za kike na mfano wao.
Hii ni kwa mujibu wa Quran naona. Mwanaume ni nani?
Kwanza kwanza unatakiwa ujuwe kutofautisha kati ya mwanamume na mvulana.
.
Sentensi yako ya kusema " Katika wanaume kuna wanaume" bado ni tata itakubidi uitolee ufafanuzi zaidi.
.
Wanaume wanaoimba hawa wana sifa za kike.

Utakuwa unaumwa malaria ya kichwani wewe, scientifically ili mwanamume au mvulana aambiwe ana tabia za kike ni lazima hormone za jinsia hiyo (ya kike) ziwe zimezidi.
Mfano mzuri ni Alli Remtula huyu ni mwanamume/ mvulana (sifahamu kama ana familia) kimuonekano ila ana tabia za kike na mwenzake Mustapha Asanali huyu ni mwanamume mwenye tabia za kike.
Na hii haimaanishi wao ni wanawake au wasichana.

Bila shaka,wewe ni mwanaume jina,huingii katika ule uana ume wa tabia.
Haswaaa! Mimi sio mwanaume ila ni mwanamume.

Mwanaume kamili hawezi kujiita Baharia. Nakukumbusha tu kila jambo linataka elimu,na jambo la kielimu linatakiwa lijadiliwe kielimu,sio unaandika mambo kwa hisia,na tangu mitume wanatumwa wameelezea sifa anuai ya mwanamke ni kulalamika sana na kukithirisha mashitaka sana,na kutumia hisia sana imekuwa ni sifa ya kike,na wewe uko nayo. Sasa tumia akili sana unapoandika kuliko hisia.

Nakuja kuendelea hapa nilipoishia ....
Umeanza kuleta uostadhi maandazi hapa, huu sio mjadala wa kidini aisee.
Ni kweli mimi siwezi kujiita mwanaume ila mimi ni mwanamume.
.
Mambo ya mitume peleka hukooo sio hapa au jadili na wengine habari za mitume wako
 
Khaligraph Jordan mbona yupo!?
Anajivunia kuzalisha bila ndoa.
Wanaume mna safari ndefu Sana.
Na watu Kama Hawa ndio chanzo cha mahubiri yote haya humu ndani.
Huyo zurri ni mwanaume mimi ni mwanamume nina tofauti naye ayseee.
.
Kwetu tulizaliwa wachache nifanyeje sasa unategemea na uwezo wa kutagisha ninao?
 
Uliuliza hivi kuna wanawake mabaharia? Hilo ndilo jibu ulilostahili.
.
Sisi wazee wa kale tunajua hakuna baharia wakike ila kuna mchundo wa kike.

Kujua kwingi mbele giza.

Hii ni kwa mujibu wa Quran naona. Mwanaume ni nani?
Kwanza kwanza unatakiwa ujuwe kutofautisha kati ya mwanamume na mvulana.
.
Sentensi yako ya kusema " Katika wanaume kuna wanaume" bado ni tata itakubidi uitolee ufafanuzi zaidi.
.
Wanaume wanaoimba hawa wana sifa za kike.

Utakuwa unaumwa malaria ya kichwani wewe, scientifically ili mwanamume au mvulana aambiwe ana tabia za kike ni lazima hormone za jinsia hiyo (ya kike) ziwe zimezidi.
Mfano mzuri ni Alli Remtula huyu ni mwanamume/ mvulana (sifahamu kama ana familia) kimuonekano ila ana tabia za kike na mwenzake Mustapha Asanali huyu ni mwanamume mwenye tabia za kike.
Na hii haimaanishi wao ni wanawake au wasichana.

Haswaaa! Mimi sio mwanaume ila ni mwanamume.

Umeanza kuleta uostadhi maandazi hapa, huu sio mjadala wa kidini aisee.
Ni kweli mimi siwezi kujiita mwanaume ila mimi ni mwanamume.
.
Mambo ya mitume peleka hukooo sio hapa au jadili na wengine habari za mitume wako
Kwanza nashukuru ujumbe nilioukusudia ukufikie umefika.

Bado unaranda randa kwenye matumizi ya hisia badala ya elimu na akili. Rejea maelezo yangu huko juu kisha ukae unapotakiwa.

Vijana hamuishiwi vituko,nakuuliza swali hili tamko "Mwanamume" ni kwa mujibu wa Kiswahili gani na nani alikwambia kwamba "Mwanamume ni tamko sahihi la Kiswahili sanifu ?" Tamko mwanamume halina tofauti na tamko kidume,au mshkaji kiasili yote yanaingia katika lugha za kihuni ambazo huketwa na msukumo wa kihisia.

Kila jambo linahitaji elimu,usipende kupayuka kwa kila jambo pasi a elimu.

Nasema hivi "KWENYE WANAUME KUNA WANAUME".

Kuhusu "Mamaharia" sikujibu sababu umeongea jambo la kijinga ambalo hata mtoto hawezi kulitamka.
 
Kama Irene Uwoya ni single mother sijui unajaribu kutuambia nini???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sema kuoa single Mother kiukweli ni Changamoto kweli Tanzania yote hii umekosa katoto kabichi ukaoee mpaka Ukabebe wake na watoto wa wenzio uoe??? UBAYA jamaa ake alienzaa naa yupo hai aisee yani jamaa akitaka kipochi siku yoyote anakipataa...
 
Hivi ukiachana na wale wajane ambao waume zao wamefariki au hawa walio achika,je kuna sababu gani ya msingi na ya maana inayowafanya watoto wa kike wawe single mothers zaidi ya ujinga,uzembe,tamaa na ujuaji mwingi ?

Pili,hakuna mwanaume kamili,mwenye kujivunia juu ya kuzalisha wanawake bila ndoa na yeye akajiita mwanaume,mwanaume ni sifa anuai ya kimaumbile,ambayo sifa hiyo huenda sanjari na sifa zingine. Kwahiyo wote wapo makosani.

Mathalani mimi,nilishajiapiza kwamba sitakuja kuwa na mtoto nje ya ndoa wala sitakuja kumzlisha binti wa watu bila ndoa,sababu najua mtoto wa nje ya ndoa anakosa haki zangu na ninakuwa namdhulumu pia.

Nitakuja kuendelea hapa nilipoishia .....
Ni wachache sana wenye upeo kama wako. Congrats [emoji1490]
 
Uliuliza hivi kuna wanawake mabaharia? Hilo ndilo jibu ulilostahili.
.
Sisi wazee wa kale tunajua hakuna baharia wakike ila kuna mchundo wa kike.

Kujua kwingi mbele giza.

Hii ni kwa mujibu wa Quran naona. Mwanaume ni nani?
Kwanza kwanza unatakiwa ujuwe kutofautisha kati ya mwanamume na mvulana.
.
Sentensi yako ya kusema " Katika wanaume kuna wanaume" bado ni tata itakubidi uitolee ufafanuzi zaidi.
.
Wanaume wanaoimba hawa wana sifa za kike.

Utakuwa unaumwa malaria ya kichwani wewe, scientifically ili mwanamume au mvulana aambiwe ana tabia za kike ni lazima hormone za jinsia hiyo (ya kike) ziwe zimezidi.
Mfano mzuri ni Alli Remtula huyu ni mwanamume/ mvulana (sifahamu kama ana familia) kimuonekano ila ana tabia za kike na mwenzake Mustapha Asanali huyu ni mwanamume mwenye tabia za kike.
Na hii haimaanishi wao ni wanawake au wasichana.

Haswaaa! Mimi sio mwanaume ila ni mwanamume.

Umeanza kuleta uostadhi maandazi hapa, huu sio mjadala wa kidini aisee.
Ni kweli mimi siwezi kujiita mwanaume ila mimi ni mwanamume.
.
Mambo ya mitume peleka hukooo sio hapa au jadili na wengine habari za mitume wako
wanataka waingizwe kwenye chama
 
Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana

Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela

Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa

Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu

Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama

Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela

NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio

Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk
 
Kwahiyo Lizarazu single mother mmoja akiwa chakaramu na akasema kuwa single mothers wote ni chakaramu basi unadhani na single mothers wengine wote wako hivyo kweli??
jibu langu ni ndio, una lingine?
Mbona wanaume wengi tu humu kutwa mnasema "hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe na matatizo" lakini kiuhalisia sisi tunajua kuwa wapo wanaume wasio na matatizo yoyote na hawachepuki??
hao ni wao na wewe hivyo usiniweke kwenye kapu sawa na nyie
Halafu huu ushuhuda wako haushindwi kuwa wa uongo huu kama uliweza kuzusha kuwa ulishakutana na wanawake 48 wa JF na wote ni wabaya utashindwa kuzusha hili la kujuana na single mothers wanaojiponda??
Sasa kama ni hivi acha ku reply comments za muongo
Halafu hata hivyo hizo mimba hawakujibebesha wenyewe zina kina baba sasa nashangaa mnavyowakalia kimya single fathers hivi hamjui kuwa mnavyowabashia single mothers tu single fathers wanajiona kama hawana hatia kabisa au hamjui hilo??
Hujazuiliwa kufungua nyuzi za kuwaongelea hao akina baba. Hapo tunajibu kulingana na mantiki iliyopo kwenye mada. Kwanini niende out of context?
 
Back
Top Bottom