If ain't matters why are you even all over me then? Btw the whole of your explanatory commentary is totally bulshiit.I repeat that's according to your thoughts and not according to the reality considering that your thoughts don't matter to me while the reality does
Nimesisitizwa sana nioe under 20, eti vina heshima, nikikioa kitakuwa kinanisikiliza sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hoja hapo ni kuwa Mtu aoe Mwanamke Bikra hayo mambo ya single mother huwezi fikiria kabisa.
No Bikra no Ndoa.
Hata weweNaongezea
Funguo malaya husifiwa na hudhaminiwa kwa kufungua makufuli mengi lakn makufuli yanayoruhusu funguo malaya hudhalauliwa na kutupwa mbali
Comment yake ipo kawaida ila wewe ndio umeipokea tofauti chief.Umeona lugha aliyotumia? Mstaarabu mjibu kistaarabu. Sasa huyu kaja na hasira zake, kasome comment yake
Miaka 16 tayari kameshazaa.Alafu single mama kwa Sasa naona wanaongezeka Kila kukichaa yani wanawake wengi kwa sasa wanazalia nyumbani sijajua nini tatizo
Daah umenibamba best[emoji85]Hata wewe
Hatari.Kuna mmoja mpaka sasa katoa mimba 17 na mara ya mwisho anasema haya alikua anaogopa labda kabeba mimba ya 18.
Tatizo vitoto vya sikuhizi vinapenda Sana ngono na sijui hua havinaga akili ya kufikiria..huyo wa miaka 16 mbona mkubwa kabisa Kuna katoto mtaani kwetu kana 13 kana mimba nakaoneaga huruma alafu baba hajulikaniMiaka 16 tayari kameshazaa.
Na hakana mume . tabu tupu.
[emoji23][emoji23][emoji23] nimekubamba Tena na ushahidi kabisa bestDaah umenibamba best[emoji85]
ila usiyatilie maanani sana hayo ni maneno tu hayana uhalisia wowote
Kazi yangu nimeimaliza.Shit nenda kabishane na wenzio huko
Mpeleke kule.Huyu jamaa anaonekana anajua maandiko na lugha pia.