Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

And that's your visual perception about me.. Right?!!
Mdogo wangu acha kuwaza mawazo hasi wakati wote.
Akili yako ukishaijaza woga Basi hutakaa uone mazuri ya single mama.
Wote tuko sawa jamani mtupumzishe[emoji23][emoji23]
 
Vijana wanatuaibisha sana,mtu kuwa mwanaume ni zaidi ya muonekano bali unatakiwa upambane kuondoa matatizo na usiwe sehemu ya tatizo.
Wewe na Kiranga huwa mnayumba kwenye maswala ya imani ila kwenye maswala ya mahusiano huwa mnajielewa sana (no offense though)

Haya endeleeni kuwaelimisha hao wavulana wanaojiita mabaharia halafu na wao wanajiona ni wanaume siyo kosa lao maana hata vichaa nao hawataki kukubali kuwa wao ni vichaa na huwa wanajiona wako timamu
 
Tena wewe hutoamini unavyooa single mama[emoji23][emoji23]
 
Pole sana kwa kuwa na mawazo hayo hapo kwenye red fonts.

Kama una IG acc nenda kwenye hii mada ukajione michango ya single mothers kisha urudi hapa. View attachment 1203489

Ahaaa haaaa ... pole sana pia kama base line yako ni mawazo ya ma single maza. All in all, ujumbe wangu ni kuwa penda na kuwajali watoto wako kwa nguvu na akili zako zote na usijifiche kwenye kichaka cha biological parents, we all judge and be judged.

Na ndio maana ukiacha wazazi we still have others we love dearly and cant trade them with anything, kuna ndugu, jamaa na hata marafiki ambao nafasi zao ni za juu sana na hasa kama you have biological parents who was abusive and irresponsible.
 
Yes exactly dhambi ambayo iko tofauti na dhambi nyingine zote na ambayo haisameheki ni moja tu nayo ni dhambi ya KUMKUFURU MUNGU yaani hiyo haina mjadala ni kifo na ni motoni moja kwa moja ila dhambi nyingine zote zilizobaki zinatubika na zinasameheka hivyo ina maana kwamba hazina tofauti

Sisi wanadamu ndiyo tunalazimisha kuzitofautisha ila kwa Mungu dhambi zote ni sawa na tena haijalishi zimefanywa na mwanaume au mwanamke ila nawashangaa hawa wanaume wanaoona eti wakizini wao ni sawa ila wakizini wanawake ni kosa waache waendelee kujidanganya
 
Mbona suala la wajane nimeema mwishoni? Soma utaliona. Pia maonyo hayatolewi kwa kupima mazuri bali tunaangalia faida vs hasara, kinaachozidi kinaleta maonyo.

Pili kuanza na kuzaa kabla ya ndoa ni kuanza vibaya. Ni conditions mbili tu zinazoweza kueleweka:

1. Mume kufariki
2. Kubakwa na kupata mimba

Sasa suala la mume kufariki ngoja basi niliandikie baadaye maana wengi hawasomi nilichoandika mwishoni. Nawaheshimu sana wajane na Mwenyezi Mungu awape faraja.

Kwa suala la kubakwa ni ukatili mkubwa sana sawa na kuua. Nalo nitaliunganisha baadaye kidogo.
 
Hawa vijana wana matatizo yao na nyinyi pia mna matatizo yenu na sisi pia tuna matatizo yetu,ila tatizo kubwa linakuja pale watu wanapokataa Ukweli wa wazi kabisa.
Umeona eenh?? Na wanaume ndiyo wanaongoza kwa kuukataa ukweli wanataka wanawake ndiyo tukubali kuwa sisi ndiyo chanzo cha matatizo yote kwenye jamii ila wao hawana hatia kabisa!!
 
mkuu una uzoefu nao nini??
Mkuu, mbona tunao ndugu, jamaa na marafiko wanaotuzunguka? Nawashangaa wanaonikasirikia utadhani mimi nimetoka EDENI kuumbwa, yaani sina ndugu wa kike. Nachofanya ni kuongea mambo magumu ambayo jamii inayakwepa kwa kutafuta visingizio.
 
Mfano ingetokea mtu kaanzisha uzi wa kusema kuwa wanaume waache kuzalisha wanawake hovyo bila ndoa ungesema kuwa nao ni ukweli??
 
Unatumia nguvu kubwa sana kujaribu kuaminisha watu kuwa wanawake ndiyo chanzo cha matatizo yote kwenye jamii na wanaume hamna makosa kabisa
Sio kusudio la mada hii. Muhimu tunzeni hadhi yenu. Tangu zamani ilikuwa hivi, ila ninyi dotcom ndio mnaleta ujuvi ambao baadaye unawaumiza ninyi wenyewe.
 
Hahaha mama naona umesahau kuwa hawa watu ni perfect yani kila wanachofanya ni sahihi ila akifanya mwanamke ni kosa kubwa.
 
Huyo zurri ni mwanaume mimi ni mwanamume nina tofauti naye ayseee.
.
Kwetu tulizaliwa wachache nifanyeje sasa unategemea na uwezo wa kutagisha ninao?
Kwahiyo wewe unayewazalisha hao wanawake siyo mjinga ila wao ndiyo wajinga si eti??

Halafu haujui hata unachokiongea kuna tofauti gani kati ya mwanaume na mwanamume??
 
Wewe unayoyaongea ni inversely proportional na yaliyoko kwenye jamii people learn from experiences not stories
Na experience ndio kila kitu, sasa niambie ninyi wanawake wa kileo, what have you to offer from experience? Uzoefu unaonyesha ndoa nyingi zinakufa hovyo kwa sababu ya mila za kisasa za kuigiza, wala sio za kuiga.

Kuiga unaweza kuchukua mazuri, lakini kuigiza ni kujifanya kutekeleza kila kitu kwa kunakili mpaka nukta. Sasa huu ni utumwa na kuwa kaama msukule, kwanihata mashuleni walimu hawakubali kuibia majibu ya mwingine kwa mtindo huu. Maisha ni saw na mtihani wa kujieleza, kila mtu anatoa uelewa wake kwa swali lile lile. Sasa kuigiza mila za kimagharibi kjmetufanya misukule.

So wewe ndio jnaelewa vice versa, experience inaonyesha tumeacha njia na kushadidia utamaduni tusioujua.
 
Sasa mbona hata wanawake tukianzisha nyuzi za hivyo wanaume mnazipinga tena badala ya kuja na hoja mnakuja na matusi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…