Then your reality about me not my reality, your presuppositions about me not my thoughts! You are bit dim who's tryna so hard to know me. Keep yo ass in gear one day you wil
Hakuna jinsia inayoruhusiwa kufanya uzinzi wala uasherati hivyo imewapasa wote wanaume na wanawake kuingia kwenye ndoa wakiwa hawajawahi kufanya ngono na hapa siyo swala la kusema eti utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi bali ni swala la kila mtu kujitunza mwenyewe maana siku hizi hata bikira za wanawake nazo zinarudishwa sasa sijui utamjuaje mwanamke ambaye bikira yake imerudishwa
I'm sorry for that spear in your heartIf ain't matters why are you even all over me then? Btw the whole of your explanatory commentary is totally bulshiit.
Wasitutishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].We nawe. Kwahiyo mtu akishahusiana akiingia ajiue au?
Emb nitagSoma kule juu nimeshasema
Wote hawatakuwa na heshima kama binti bikira. Kwani hakuna masingle mother waliochoropoa mimba? Think loud!! Kwa akili yako unataka kusema ni heriya single mother, unashangaza aisee. Basi ngoja waendelee kuzalishwa ili mpate wa kuoa.Siku mkiona mabinti wadogo wanavyotoa mimba zaidi ya moja au mbili, pengine Single mothers watapata heshima yao
Mengine sijui na sitaki kujua
Kazi yangu nimeimaliza.
Hii mada ilishaisha kitambo ..huyu ameongea vema.MJADALA ULITAKIWA UISHIE HAPA
Wooi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Yule siyo mjuzi wa maandiko mtapoteza muda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh msamba??Mayai hayaishi kirahisi sema bwana mimba za kwenye ndoa zinakuaga na mbwembwe kweli.
Anaweza akafika muda anataka kuzaa sasa kila akijaribu waapi.
Nishamwambia azae kabla kizazi hakijalegea maana amefikia hatua anatoa mimba kwa msamba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu wanaishi kwa kukariri mambo mfano ni wewe mleta mada.
Sijui nijaribu[emoji3526][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kijana ndioa anatakiwa alijue hili.
Mtu akitaka nimfanye kitu kibaya aniite BAHARIA.
Kama ya huyu dadaUkitaka nitoeje maoni?
Sidhani Kama tutaelewana maana tulishapishana lugha hapo mwanzo.Tutalimaliza PM au unasemaje ?
Single mothers siyo dhambi kuwaoa lakini tatizo Mama zetu huwa hawana misimamo kabisa ndiyomaana Mke wa Ruthu aligeuka nyuma kuangalia Sodoma na Ghomora walipotoka hatimaye aligeuka kuwa nguzo ya chumvi papo hapo sababu Mungu alishawakataza lkn hata hakusikia.
Kanumba alisema "akili za Mama zetu hazitofautiani na za kuku" ambao ukiwafukuza kwa mawe wasile mahindi baada ya dakika 2 tu watarudi pale pale tena kula mahindi.
Mama zetu wenyewe ukiwapalekea mkamwana ambaye tayari ni mzazi kutoka kwa mwanaume mwingine wanaghafika, hawataki kuskia kabisa. Halafu sasa hapo hapo yeye mwenyewe ana mabinti zake ambo tayari ni masingle maza na anatamani kuona siku moja na wao wakiolewa.
Hii inakumbusha kuna mahali niliwahi kusoma feminist anamuhasa mtoto wake wa kiume asiingie kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ni feminist.
Kuna mambo huwa sisi wanaume tukiyafanya hata wanawake wenyewe wanatuonea huruma na kama anakupenda anajitahidi kukuepusha..
Nakuambia hata hapa JF hawa wote wanaojifanya ni pro-single mothers nje ya hapa hawamaanishi wanachokiandika.
Never in my entire life i will ever play that substitute role unconditionally.Tena wewe hutoamini unavyooa single mama[emoji23][emoji23]
Mm yoote hayo sijali, ila naogopa tu kuja kupashiwa kiporo, hio ndio point kubwa na hio ndio asilimia kubwa kutokea