Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

OMG, me wanting to know you?? Between me and you who wants to know the other?? Even most of your comments show that you are into people's real lives!
Then your reality about me not my reality, your presuppositions about me not my thoughts! You are bit dim who's tryna so hard to know me. Keep yo ass in gear one day you wil
 
Hakuna jinsia inayoruhusiwa kufanya uzinzi wala uasherati hivyo imewapasa wote wanaume na wanawake kuingia kwenye ndoa wakiwa hawajawahi kufanya ngono na hapa siyo swala la kusema eti utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi bali ni swala la kila mtu kujitunza mwenyewe maana siku hizi hata bikira za wanawake nazo zinarudishwa sasa sijui utamjuaje mwanamke ambaye bikira yake imerudishwa

Ungetamani iwe hivyo, lakini ukweli hauko hivyo. Sipendi niigeuze hii mada, ila suala la uzinzi ni la kiimani zaidi kuliko haja ya huu uzi. Mwanamume haruhusiwi kuzini, ni dhambi. Dhambi inaweza kupata msahama akitubu kwa moyo na kuamua kuiacha. Mwanamke ana kitu cha ziada, akizini atatolewa bikra, akitubu kwa dhati atasamehewa, aila bikra hairudi.

Pia kuna suala zima la kuyaamsha mapenzo, mwanamke akishakuyaamsha mapenzi, ni vigumu kuyazuia. Atakachofanya ni kujaribu kuwa na wapenzi wachache kwa wakati mmoja akidhani hatahesabika kahaba. Leo atakuwa na huyu, wakiachana ana huyu, wakiachana ana yule.

Hivyo mwanamke ukijifanya wa kisasa unijimaliza mwenyewe.

Kwa habari ya utamjuaje mwanamume ambaye hajafanya mapenzi ni injili ya wanawake, haijatoka kwa Mungu. Hakuna concept hiyo isipokuwa naona mambo ya haki sawa yakiingizwa kwenye imani.
 
Siku mkiona mabinti wadogo wanavyotoa mimba zaidi ya moja au mbili, pengine Single mothers watapata heshima yao

Mengine sijui na sitaki kujua
Wote hawatakuwa na heshima kama binti bikira. Kwani hakuna masingle mother waliochoropoa mimba? Think loud!! Kwa akili yako unataka kusema ni heriya single mother, unashangaza aisee. Basi ngoja waendelee kuzalishwa ili mpate wa kuoa.

Ila elewa tu hawa mabinti ambao leo unawaona hawafai kwa jinsi wanavyotoa mimba ndio ma single mother wa kesho.
 
Mayai hayaishi kirahisi sema bwana mimba za kwenye ndoa zinakuaga na mbwembwe kweli.
Anaweza akafika muda anataka kuzaa sasa kila akijaribu waapi.
Nishamwambia azae kabla kizazi hakijalegea maana amefikia hatua anatoa mimba kwa msamba [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh msamba??
 
Na akili za wanaume je zikoje??
Single mothers siyo dhambi kuwaoa lakini tatizo Mama zetu huwa hawana misimamo kabisa ndiyomaana Mke wa Ruthu aligeuka nyuma kuangalia Sodoma na Ghomora walipotoka hatimaye aligeuka kuwa nguzo ya chumvi papo hapo sababu Mungu alishawakataza lkn hata hakusikia.

Kanumba alisema "akili za Mama zetu hazitofautiani na za kuku" ambao ukiwafukuza kwa mawe wasile mahindi baada ya dakika 2 tu watarudi pale pale tena kula mahindi.
 
Kwahiyo na single fathers nao hawatakiwi kuoa single mothers??
Mama zetu wenyewe ukiwapalekea mkamwana ambaye tayari ni mzazi kutoka kwa mwanaume mwingine wanaghafika, hawataki kuskia kabisa. Halafu sasa hapo hapo yeye mwenyewe ana mabinti zake ambo tayari ni masingle maza na anatamani kuona siku moja na wao wakiolewa.

Hii inakumbusha kuna mahali niliwahi kusoma feminist anamuhasa mtoto wake wa kiume asiingie kwenye mahusiano na mwanamke ambaye ni feminist.

Kuna mambo huwa sisi wanaume tukiyafanya hata wanawake wenyewe wanatuonea huruma na kama anakupenda anajitahidi kukuepusha..

Nakuambia hata hapa JF hawa wote wanaojifanya ni pro-single mothers nje ya hapa hawamaanishi wanachokiandika.
 
Lakini pia wapo ambao wanataka kuzaa tu mtoto wake tena na mtu fulani aliye mchaguu na hataki kuolewa.... hawa wapo!

Lakini pia wapo single mothers ambao wanaume wanawalilia kuwaoa kwa udi na uvumba.....hawa nao wapo!

Suala hili kwamba single mother hawaoleki linahitaji mjadala mpana sana na halichukui mtizamo mmoja tu. katika haya yote mtu mmoja mmoja kakutana na experience yake kwenye aina ya mahusiano na wanawake waliokwisha zaa watoto na kama tukichukua exprience ya mtu mmoja katika yale aliyokutana nayo tunaweza kumiss point kwenye mjadala huu adhimu!

Na mjadala huu naomba usiwe biased kulenga upande wa wanawake tu....tuuweke na upande wapili maana na sisi wanaume tunapopata watoto kabla ya kuoa nn mustakabali wetu baadae tunapohitaji kuoa wanawake ambao hawajazaa? kama tukikubaliana na hili kuwa single father nae hasitahili kuoa mwanamke ambae hajapata mtoto hapo tutaelewana. Na hivyo basi lazima tittle ya uzi huu tukaibadili na uwe... KWA HIYO UNATAKA KUOA AU KUOLEWA NA SINGLE PARENT?.
 
Back
Top Bottom