Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wasiwasi wako tuuu tena kuna baadhi ya wanawake wakisha zaa ndo wanakua na akili zaidiaana anajua nikizingua naachwa na ntaachwa hadi Lini na watoto anatulia maisha enyewe ya utawala huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu akishapata tu pa kupumzikia huyo mzazi mwenza anaanza kula mzigo tena taratiiiiiiiiib. Me mama yangu aligoma kabisa nisiwe na mahusiano na singo maza japo huyo binti alikuwa njema mpaka kwenye dini yuko poa. tatizo tu ni singo maza
 
Yani wewe mwanamke wewe! hapo tu, namnukuu miss chagga "kama unapesa utapata unayemataka"
Mleta uzi, wewe bado ni mdogo achana na mawazo yoooooote na ushauri wote uliopewa fuata huu wa mwisho wa miss chagga. Tafuta mawe mkuu utapata unaemtaka.
 
Yaani mkuu wewe ndio jinias. Hizi ndio akili za ukubwani sasa
 
aise nikishajua umezalishwa hata nyege hazipandi kwa kweli..kabisaa yaan alikojolea huko mtu na mtoto juu nikuoe??never happen
Aiseee!!!!!!!! Duuuu noma sanaa mkuu kwani wewe umeshakojolea wangapi???
 
tatizo wamejaa viburi
dharau na ujinga wacha waendelee lea jamii itayozidisha ujinga mitaani
 
Tatizo lao hao linakuja pale atakapoanza mikutano isiyoisha na mzazi mwenzie ya kujadili mustakabali wa mtoto wao!
Tena ukiingilia kati hiyo mikutano yao wewe utakuwa mbaya na utaitwa baba wa kambo mbaya sana huyu. utaambiwa wewe rafiki tu, huyu mwanangu damu yangu. kudaaaadeki. usijiroge mtoa mada
 
Single mather wengi wanajielewa sana kwahiyo akipata nafasi huitumia vzur xna hutojuta, mm mwnywe nimeoa single mother nahisi kama nlichelewa hv yan n full burudani mtoto anajua ku handle ndoa hatariiii, so sina tatizo nae na namsomeshea kid wake sina shida.
 
Nakuusia mdogo wangu sijui mwanangu (nakuzidi miaka 20), usiingie chaka la single mother, waepuke kama ndui!
 
Halafu akishapata tu pa kupumzikia huyo mzazi mwenza anaanza kula mzigo tena taratiiiiiiiiib. Me mama yangu aligoma kabisa nisiwe na mahusiano na singo maza japo huyo binti alikuwa njema mpaka kwenye dini yuko poa. tatizo tu ni singo maza
Huyo demu ni mlokole au swala tano
 
Salute Mrs. Chagga. Analysis nzuri sana na ndo maana nakupendaga kwa kuwa neutral. Wasiwasi wangu kijana anaweza kushindwa kupata majibu ya hayo maswali uliyompa. Akishindwa namshauri atufute msuchana badala ya single mother. Akiwa na uvumilivu atampata tu japo wengi wameshusha mzigo tayari na wala siyo mara moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi unamruhusu akaonanane na mzazi mwenzake
 
Well said mkuu but these people are crazy. atakubaliana na masharti yote hayo lakini atayakiuka yote hay. na kumbuka kipindi hicho na wewe ushazaa nae, kumuacha unashindwa unawaza mwanao halafu anakuletea manyago ya kutosha. simple, wanawake wapo kibao huko why ukahangaike na magandaeka?
 
Single mother hapana hapana hapana! Sisemi wasiolewe, wapo wa kuwaoa wenye uzoefu kama wao. Single mother akikutana na single father au mwanaume aliyejithibitisha ni mgumba hapo swadakta kabisa! Lakini si kwa mume mpya kijana ambaye hajawahi kuoa au kuzaa, ni kuharibiana maisha tu.
 
suala ni kwamba hata nikisema nitafute mwingine bado nakutana na single mother
Mtafutaji hachoki na badi umri wako mdogo. Bado una miaka 3 ya kutafuta. Ukiweza oa wa kwako achana na single mother. Kuwa na nia hiyo utafanikiwa. Kuoa mke mwenye mtoto ni shida. Unaweza usione hilo mapenzi yakiwa siku za mwanzoni lakini kadiri siku zinavyokwenda ndo utakuja kigunfua ulifanya makosa. Mi nakushauri jitahidi kadiri unavyoweza hutakosa mwanamke ambaye hana mtoto.
 
Wasiwasi wako tuuu tena kuna baadhi ya wanawake wakisha zaa ndo wanakua na akili zaidiaana anajua nikizingua naachwa na ntaachwa hadi Lini na watoto anatulia maisha enyewe ya utawala huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kufikiri single mother no wife material. Ukichunguza kwa ndani wengi hufanya hivyo kama njia ya kuwakonga nyoyo walioachana nao. Kwahiyo mwanaume ambaye umeamua kuwa na single mother waweza kuwa unatumiwa bila kujijua lengo likiwa ni kulipiza kisasi kwa mzazi mwenzie. Wengi nimewaina wa namna hiyo. Wakishazalishwa akili huwa haitoki kabusa kwa ex. wao.
 
Kinanani wanawafanya wanawake wawe single parent si ninyi ?anyway ukikua utajua mengi you still young

IRON LADY!!!!
Wengi hufikiri kuna maisha ya asali na maziwa na hivyo kuleta vituko vya kutoolewa. Wakikaa wakatulia akili huwarudia na kuona walifanya makosa ila mara nyingi huwa wamechelewa tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…