Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Utofauti wa single maza wa miaka ya nyuma na siku hizi Ni handling ya mtoto/watoto wake.
Zamani watoto walikuwa wanaachiwa wajomba hata baba yao atawafuata huko.
Siku hizi unapewa sharti la kumpenda yeye na mtoto wake.
Yaani unaoa mke unapewa na watu wawili.
 
Nje ya mada..
Chato kuna chatu kule mkuu'
If you know you know[emoji38]
 
Sina mda na watookama wewe, wanau walioharibika akili. Mnafiki unayejipendekeza for nothing. Bye
 
Umeguswa kwa namna fulani, naheshimu maamuzi yako. B6e
 
Jamaa ni bwegr tu kujikuta anajua kushauri hapa huku anawatoa kasoro na kuwatukana wadada wa watu...!![emoji23][emoji23][emoji23] Akati kwenye ukoo wake wamejaa kibao hajawai waambia hata kupitia Group la ukoo akwende huko Mtu mnafiki Muogope sana.
Hizi ni mada za wanaume, sio male feminists
 
Kwa hiyo aliyeachika ni mjane? Ngoja nipitie kamusi kwanza
 
Wewe naona ni single mother, Hivi unaona unavyoteseka kiasi unatoka mwanza hadi Dar kutafuta 7,800 tu. Je hiyo pesa inatosha kununua hata maziwa ya mtoto? Ni ujinga mtupu mtu kwa nyakati hizi mwanamke kuzaa na mwanaume ambaye hawezi kumtunza mtoto wakati ndomu zipo kibao. Aidha unakimbilia nini kuzaa wewe binti huna uwezo wa kumtunza hadi unajiingiza katika umalaya ili upate hela ya kumtunza mtoto. Humu JF kuna mabinti kibao ambao wanahaha kutafuta pesa kwa mabwana ili watunze watoto. Aidha wewe si mwanaume hujui faida na uzuri wa under 25 ukilinganisha na over 25. Akiwa alishatotoa ni hatari zaidi. Waswahili husema ukitaka kula nyama ya kitimoto tafuta mnono. Nyumbani nimwache bimkubwa niende kwa single mother? Huo ni uhanisi ila hujui utamu na mapenzi ya under 25 wewe
 
Onyesha wapi nimenena hayo. Soma kamusi uelewe maana ya neno mjane ndio uje upost.
 
Ana shida mahali.
Kila Uzi umejaa kilio kuhusu wanawake.
Ukiona hivo ujue alishashikwa pabaya au ndoa yake haina furaha anakuja kupooza machungu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
No problem, ukweli utasemwa tu. Subiri next episode
 
Siku ukinijua utashangaa. Nina mpango wa kujifunua humu jf wala sihitaji kujificha. Ngoja nimalize mabandiko yangu. Na pia kama mtu amefeli huoni kuna chakujifunza hapo? Shupaza shingo tu, kizazi cha nyoka kilichaharibika.
 
Onyesha wapi nimenena hayo. Soma kamusi uelewe maana ya neno mjane ndio uje upost.
Haya mimi ya Mjane siitaji kuyajua... Kumbe wajane tu ndo wanahaki ya kuolewa??? Ila waliolewa wakaachika hawastahili maana ni masingle mamaa...labda wasubiri wanaume zao wafe wakiwa wajane hapo ndo sahihi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji846][emoji846][emoji846] Bhani yako mbaya sana.
 
Basi farijianeni kwa maneno haya
 
[emoji28] nadhanikuna watu wakikutana na mimi watanimeza. Mwanadamu kiasili hayuko tayari kusikia ukweli
Na wewe tunakupa ukweli wako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tushausikia ukweli wa single mama kwa upande wako. Najua ukweli huu wa UNAFIKI unakuuma ila umeze tu mzee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…