miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Kabisa mkuu kuoa ni hatua kubwa katika maisha ni nafasi uliyopewa ya kuchagua Wa kusihi naye kwa maisha yako yaliyobakia. Huwa nasema ni chaguo lako ni bora kuchukua mda kuchagua kuliko kuangukia sehemu isiyo sahihi...japo kujua kama ni sahihi au hapana haina guarantee ya muda ..Salute Mrs. Chagga. Analysis nzuri sana na ndo maana nakupendaga kwa kuwa neutral. Wasiwasi wangu kijana anaweza kushindwa kupata majibu ya hayo maswali uliyompa. Akishindwa namshauri atufute msuchana badala ya single mother. Akiwa na uvumilivu atampata tu japo wengi wameshusha mzigo tayari na wala siyo mara moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute binti alikuwa kwenye joto siku hiyo. Biology ilivyo hata ninyi wanawake kuna wakati mnakua kwenye heat kama inavokua kwa ng'ombe.Tofauti ninyi hamuwezi kupiga kelele kama ilivyo kea wanyama kwa kuogopa kuchekwa. Issue inakuja mwanaume amekutokea uko kwenye hali hiyo , mara nyingi maamuzi ya kumkataa ni magumu. Na hii wakati mwingine ni chanzo cha mimba zilizo nyingi. Kisha baadae hamkawii kulaumu wanaume mkisahau walivyowasaidia kuwatua mzigo mliokuwa nao siku hiyo ya tendo.mapenzi baba mapenzi unampa yote .... kuna ndugu yangu alitiwa mimba na mrombo mmoja purukushani za malezi akamuuliza "NANI ALIKUAMBIA UNIPE CHA MIMBA" hii kauli ilinifanya niwaze kuna sehemu ya kuweka cha mimba na sehemu nyingine siyo ya mimba wanaume ninyi ni nyoko
Well said. Na wengine wameshindwa kuoa kwa kutaka kupata perfect partners. It comes a time inabidi ufanye maamuzi bila kuwa na guarantee.Kabisa mkuu kuoa ni hatua kubwa katika maisha ni nafasi uliyopewa ya kuchagua Wa kusihi naye kwa maisha yako yaliyobakia. Huwa nasema ni chaguo lako ni bora kuchukua mda kuchagua kuliko kuangukia sehemu isiyo sahihi...japo kujua kama ni sahihi au hapana haina guarantee ya muda ..
KabisaWell said. Na wengine wameshindwa kuoa kwa kutaka kupata perfect partners. It comes a time inabidi ufanye maamuzi bila kuwa na guarantee.
Ha ha eti msaada wengine unakuta hata hakutua mzigo ila ndiyo hivyo mimba tayari..Usikute binti alikuwa kwenye joto siku hiyo. Biology ilivyo hata ninyi wanawake kuna wakati mnakua kwenye heat kama inavokua kwa ng'ombe.Tofauti ninyi hamuwezi kupiga kelele kama ilivyo kea wanyama kwa kuogopa kuchekwa. Issue inakuja mwanaume amekutokea uko kwenye hali hiyo , mara nyingi maamuzi ya kumkataa ni magumu. Na hii wakati mwingine ni chanzo cha mimba zilizo nyingi. Kisha baadae hamkawii kulaumu wanaume mkisahau walivyowasaidia kuwatua mzigo mliokuwa nao siku hiyo ya tendo.
[emoji2] [emoji2]Ha ha eti msaada wengine unakuta hata hakutua mzigo ila ndiyo hivyo mimba tayari..
tena stress mbaya ni zile za kuachwa.....Stress zikizidi ni ugonjwa mbaya sana
Yaptena stress mbaya ni zile za kuachwa.....