Kisaikolojia,kuna mambo kadhaa yanayoweza kuwa sababu
1. Mama amekuzwa kwa mtindo huo wa matusi na kipigo,the way alivyolelewa ndivyo anavyolea
2. Defensive mechanism, maana ake kuwa maumivu na stress za kuwa single mother zinhamia kwa mtoto.
3. Watoto wengi wamakuwa na makuzi ya kuamini na kuogopa sura ya kiume,so anapokuwa na mama pekee hufanya kudeka na bahati mbaya sasa ukute mama n mwenye huruma sana adhabu zake ni maneno sana au hakuna KABISA (kudekeza)
4. Kukosa uwezo wa malezi (parenting style) mzazi hajui malezi sahihi, wengi wanatumia uzoefu sana kuliko proper strategies
Anyway kuna weza kuwa na sababu nyingine lakini hiyo hali inaweza kutokea hata kwenye familia ya wazazi wote wawili,,issue kubwa kwa wazazi ni NAMNA YA MALEZI BORA NA SIO BORA MALEZI ( PARENTING STYLE SKILLS)