Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Naona watu wanamwaga mapovu aise yaani mtu anataka alinganishe maisha yangu ya uwanjani na maisha yangu ya nyumbani yaani eti kwa sababu imetokea wakati tunacheza mpira bahati mbaya nimempiga mtama basi anadhani mimi ndivyo nilivyoNiko makini timu isishindwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mmekusanya nguvu vema..mmeanza kwa Kasi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba nina roho mbaya na ninapenda kuonea watu ungekuwa unawajua wacheza mpira kwa sura na majina ningekutajia list ya wacheza mpira wanaochukiwa kwa vitendo vyao vya uwanjani wakidhaniwa kuwa ndivyo walivyo hata nyumbani kumbe sivyo