interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Sina neno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi YESU kwenu nae si Mungu ?
Safi kabisa,unajua kwamba kila neno lina asili yake ?Unadhani neno kafiri halitumiki kwenye biblia? Kwamba unafikiri ninyi waislam ndio kwenye copyright ya neno Kafiri?
Safi kabisa,unajua kwamba kila neno lina asili yake ?
Kutumika katika Biblia sio hoja,kwani wanakuwa wamelitumia kimakosa,manenk mangapi watu wanayatumia kimakosa ?
Asili huwa inahukumu na kusahihisha mambo,rudi katika asili ya tamko "Kafiri" kisha uje kujenga hoja upya,hilo ni tamko Maalumu.
Kwanza unajua tamko "Kanisa" lina asili ya wapi ?
Siwezi kukwepa sababu hilo limeisha na huna hoja ya msingi na huwa sikimbii swali wala hoja.Usichanganye mambo.
Tunaongelea kafiri...mbona unaanza kukwepa mada
Andiko nimeliona.Nilishampa andiko.
Tena kumbe kwa mujibu wa maandiko Yao hawamuabudu Mungu wetu aliye hai...Wana Mungu wao, Mungu wa yule jamaa aliyewaingiza mkenge.
Hili sikulijua mwanzo
Zurri Asante umenijulisha hili
Sina hoja ya msingi kivipi!?Siwezi kukwepa sababu hilo limeisha na huna hoja ya msingi na huwa sikimbii swali wala hoja.
Huu nimetoa ufafanuzi tu wa kuweka bayana katika zile aya nilizo zinukuu,YESU kwanu si mungu ? Mnamuabudu ? Kwetu sisi huyu ni mja na mtume tu.
Achana na Mada zako za Mo tupo kwenye mada pana ambayo hunauwezo nayo. Mambo ya Asili ya maneno yanahusu nini huku. Peleka upumbavu wako kwa hukohuko. Kaa kwenue mada kuwa kuoa single mama ni sawa na kama umeoa mke wa mtu.Safi kabisa,unajua kwamba kila neno lina asili yake ?
Kutumika katika Biblia sio hoja,kwani wanakuwa wamelitumia kimakosa,manenk mangapi watu wanayatumia kimakosa ?
Asili huwa inahukumu na kusahihisha mambo,rudi katika asili ya tamko "Kafiri" kisha uje kujenga hoja upya,hilo ni tamko Maalumu.
Kwanza unajua tamko "Kanisa" lina asili ya wapi ?
Huyo Muhammed SI angewaambia ukweli Kama alilitoa huku kwetu.
Kwani aliwaambia Nini!?
Halafu kumbe walikuwa hawajui Kama Ni makafiri..si unaona hapo anajitutumua mwenyewe eti wao ndio wanapaswa kutuita hivo.Andiko nimeliona.
Na katika biblia mtu yeyote anayepinga YESU SIO MWANA WA MUNGU huyu anatambulika kama Kafiri.
Kwa maana hiyo wanaompinga Yesu/wapinga Kristo ni makafiri.
Sijatetea kila kitu na wala sijasema kwamba wanawake kudanganya kuwa walibakwa ni vizuri ila nimeongea kwa mujibu wa wale wanaume wanaosema kuwa utamjuaje mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi kwa maana kwamba hana alama na mimi sasa imebidi niseme kwamba kama wanadhani ni sifa mwanaume kufanya ngono hovyo kwa kisingizio cha kwamba hawana alama hivyo watadanganyaMdogo wangu, mimi nlishaachana kujibizana na wewe kwa sababu ya hoja zisizo na mashiko kama hizi.
Sawa in a way unajaribu kutetea jinsia yako na kuielimisha jamii juu ya kuwaheshimu na kuwatendea haki wanawake but you overstep na kujikuta unatetea hata upuuzi.
Mbona Nyenyere alishazitoa exceptions zote juu ya hili suala??
Whatever you are doing, nadhani unaishusha hadhi yako kwa mabishano ambayo ukweli wake unajulikana. Mimi nadhani you gotta call black, black and white, white.
Kila la kheri!
Unajua kama "Kafiri" ni neno la kiarabu ?Hakuna neno mbadala..
Ni kafiri hilohilo..mlicopy kwetu
Hivi kumbe na wewe umewahi kubishana!?
Hawezi kuijua.Unadhani Biblia anaijua Sasa!?
Halafu yule jamaa aliwapa hili neno ila hakuwaambia ukweli Kama alilitoa huku kwetu
Sawa.Achana na Mada zako za Mo tupo kwenye mada pana ambayo hunauwezo nayo. Mambo ya Asili ya maneno yanahusu nini huku. Peleka upumbavu wako kwa hukohuko. Kaa kwenue mada kuwa kuoa single mama ni sawa na kama umeoa mke wa mtu.
Si waliona wewe mbishi wakakuacha.Unaweza kunithibitishia ya kuwa wakati wa mtume Muhammad kulikuwa na Biblia,wenzako hili wameshindwa tena wenye elimu ya Biblia kuliko wewe humu ndani nimejadiliana nao sana,mwisho wanatokomea. Sasa wewe nakupa miaka yote uje kunithibitishia kwamba wakati wa mtume kulikuwepo na Biblia,pili unieleze alilitoa vipi huko ?
Nakumbusha tena,tujikite kwenye mada.
Nakupa miaka kumi uje kuthibitisha haya kwa ushahidi wa kielimu,ukishindwa naomba uje kuwaambia wenzako.Hawezi kuijua.
Neno kafiri lipo kwenye biblia kabla hata ya uislam haujajulikana ni nini.
Na ikumbukwe Qur'an imechakachuliwa kutoka kwenye biblia.
Ngoja niende darasani nitarudi baadae.
Angalia Quraan yako imetaja ukristo mara ngapi na Angalia biblia imetaja uislam marangapi utapata jibu. Vitu vingine jizoeshe kujisomea mwenyewe hizi elimu za madrasa ni majanga makubwa sana. Hamfikirii zaidi ya kukaririUnaweza kunithibitishia ya kuwa wakati wa mtume Muhammad kulikuwa na Biblia,wenzako hili wameshindwa tena wenye elimu ya Biblia kuliko wewe humu ndani nimejadiliana nao sana,mwisho wanatokomea. Sasa wewe nakupa miaka yote uje kunithibitishia kwamba wakati wa mtume kulikuwepo na Biblia,pili unieleze alilitoa vipi huko ?
Nakumbusha tena,tujikite kwenye mada.
Hilo unajua wewe na mtume wako.Unajua kama "Kafiri" ni neno la kiarabu ?
Nyinyi kwenye Biblia kuna lugha ya kiarabu kwa asili ?
Ukristo umekuja kitambo...