Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sasa kafir mimi au nyinyi ? Ulitakiwa kusema hivi "Hajichanganyi na waislamu".

Ila tamko "Kafir" ni maalumu kwa wasio kuwa Waislamu.

Tuendelee ....
Unajua kafir Ni Nani!?
Ngoja nikupe maandiko
 
Daah naona unatafuta likes za kina dada na kukubalika sjui ni chakula hicho [emoji848]
Mkuu Nyerere ametoa Mada kwa hyo kile alichoandika mtu mara nyingi ndo kimemkuta? Alikwambia amenyooshwa na single mother?

Kama hajasema hvyo mwenyewe naona Mada imekushinda unatumia defense mechanism kwa mkuu nyerere
Sasa mbona wanaume wengi humu ndiyo tabia yenu pale tunapowapinga mnayoyasema mnaanza kutuita malaya sijui makahaba mara femimists na activists na maneno mengine kibao kumbe mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu enh??
 
Kabisa.
Wanaume wanaharibu mwelekeo wa maisha yetu jamani,
emoji24.png
emoji24.png
emoji24.png
Acheni kutia huruma,haya mnajitakia wenyewe,tatizo kila jambk huwa mnachukulia poa. Shwain !
 
Kwa mtu anaejielewa na kuliangalia hili suala kwa Umakini asilimi 90 ya Single mothers chanzo chake ni Irresponsible men ambao wamewapa mimba... Asilimi 10 inawezekana ndo mambo ya Vifo na tabia ambazo zinafanya watu washindwe kuvumiliana na kuachana. Ila tamaa za wanaume ni asilimia 90
Kama wewe ni wa kiume, mama yako akiona maoni yako haya atafurahi sana, lakini baba yako akiona hiki kitu umeandika, atangiwa simanzi. Irresponsible individuals wapo kila kona, ulimwengu mzima, je ni jukumu la nani kuwaepuka?

Little Boy Riki, hawa wanaokufanya uwe emotional leo kiasi unalose focus kama mwanaume zamani kabla hawajaitwa Single Mothers waliitwa MASISTA DUU na hao waliowazalisha na kuwatelekeza au wakashindwana si wanaume, ni MABROO YOO and the likes. Irresponsible is a girl who despite seeing other older girls suffering from fantasy will opt to fall under the same ditch expecting the community to feel sorry for her.

Nitakupa mfano, japo sipendi kuyajadili maisha ya watu wengine lkn kama wanaishi na sisi, hatuwezi kusema hatuwaoni. Unamuona mwanamuziki Diamond na namna ya tabia zake za kimahusiano, leo yupo na mwanamke huyu, kesho kamuacha, kesho kampa mimba huyu, kesho kutwa kamuacha. Nijibu kama mtu mwenye akili timamu, yupi anakushangaza zaidi kati ya Diamond na wanawake wanaoanza naye mahusiano hali wakijua hivyo ndivyo alivyo?
 
Basi kila jinsia ibadilike kwa nafasi yake wanaume waache kutongoza wanawake kama hawana malengo ya kuoa na vile vile wanawake waache kukubalia wanaume kama hawana malengo ya kuolewa kila jinsia ina uwezo wa kujitunza kwa nafasi yake

Wewe nimegundua kuna kitu unataka kukisema ila sijui unaogopa utashambuliwa wewe kiseme tu sema tu kwamba kwa wanaume itakuwa ni ngumu kuacha kutongoza (kwa sababu wao ni binadamu) ila kwa wanawake itakuwa ni rahisi kukataa vishawishi (kwa sababu wao ni malaika)
[/URL]

Soma hiyo, kila mtu anapewa kwa nafasi yake. Kuweka huruma kwa kukwepa ukweli ni kuangamiza kizazi, mimi siko hivyo. Ukweli utatuweka huru, sio kudanganyana kwa kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Ni ngumu kusema wanaume na wanawake wacheze sawa, mwanamke ni mwanamke na mwanamume ni mwanamume
 
Nipe andiko linalosema nyie sio makafir

Soma hapa,kisha tujikite kwenye mada.

Anasema Allah aliye juu :

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. (al Kafiruun : 1 - 6 )

Tusinajisi uzi wa watu.
 
Back
Top Bottom