Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Haya
Huyu kanitukana matusi. Kuna watu hoja hii imewavuruga mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kanitukana matusi. Kuna watu hoja hii imewavuruga mno
Basi sawa njoo pm tuelewaneHawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana
Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela
Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa
Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu
Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama
Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela
NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio
Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana
Acheni maisha ya risk
Utapeli waa mapenzi, ngoja basi nikuambie. Mwnamume anayeoa kikweli atafuatilia background ya mchumba mtarajiwa. Hata kama amehama toka sehemu moja kwenda nyingine. Hiyo ndio ndoa, sio zoazoa tu. Kwa hiyo ni rahisi sana kuyajua hayo kuliko unavyofikiri
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Eeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Anasema huwa anamwaga maji ya sabuni kwenye tiles halafu anapiga msamba inatoka yenyewe
Dah ...Mimi kuna mtoto wa mama Mkubwa wangu alidanganywa na mwanaume kuwa anataka Kumuoaa yule dada akasema bhasi tufunge ndoa kabla ya yote mwanaume akasema Nahitaji kukujua kwanza kiti ambacho kimekuwa common sana kwenye Jamii ya sasa hakuna mtu anataka aoe alafu baadae story za mtoto iwe vita... Duuh cster akabeba mimba huku mipango ya Sendoff na ndoa ishaanza na michango pia aisee Kuja kujuaa yule mzee ana Familia yake ya Watoto watatu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Can you imagine jambo kama hili limkute dada yako???? Yani yule dada isingekuwa kumuwahi tusingekuwa nae duniani aliona bora afe...lakini wazazi wakamtuliza mwisho wa siku akabaki kuwa Single mama wakati alikuwa dada mwenye maadili mazuri sana na msomi. So mwanaume asipoleta zengwe na kumkataa mwanamke hakuna SINGLE MAMA duniani tatizo wanaume minyege ikituzidi huwaga tunasahau kabisa kuwa kuna mimba kifatacho sasa ndo Single mama na watoto wa mtaani.
Kwahiyo mwanaume kuzalisha bila ndoa siyo dhambi?? Na kama ni dhambi kwanini hauikemei wakati umesema wewe unakemea dhambi??Hujanielewa wewe, mimi siongelei dhambi hapa. Hii sio thread ya kikristo ni ya wote. Sasa ninyi mmekazania dhambi, kwa mtazamo wenu. Anahehukumu dhambi ni Mungu tu, ila kukemea dhambi ni kazi ya mwanadamu. Kwa mantiki hiyo nitaendelea kukemea dhambi. Kuzaa nje ya ndoa ni dhambi, ukitubu utasamehewa lakini utaendelea kuwa na mtoto wa nje ya ndoa. Sasa chagua mwenyewe, uzae halafu uishi kwa mateso ama ujizuie uutunze usafi wako. Ukweli utabako palepale, mwanamke aliyenzaa kabla ya ndoa ni dalili mbaya kuhusu kujizuia.
Achaa upuuzi wewe Biblia yenyewe Imekiri juu ya Dhambi ya uasherati kwamba unataka kusema Mwanamke tu akiwa mzinzi ndo anaweza kuachwa ila Mwanamke hawezi kumuacha mwanaume muasherati???[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona jamaa kaongea vizuri tu sema wewe unauchukulia personal usingle mother wako. Jamaa alisema wale waliofiwa na wame Tao wanaweza kuolewa kwasababu kiapo cha ndoa kinakuwa hakipo tena. Sasa ukiachika na kuolewa wewe ni mzinifu tu na hakuna namna nyingine. Tukubali maonyo yanapotujia.
Duuh aisee waalimu wana kazi jamaniNimekujibu ulichoandika, au hukijui? Unasema tuache kuwatahadharisha wanaoibiwa bali tujikite kuwapigia kelele wezi.
Woiii. Leta hizo episode maana ni sehemu yako ya kupunguza maumivu uliyonayo.No problem, ukweli utasemwa tu. Subiri next episode
Nimeshasema, wote waache zinaa, chastity ndio muhimu. Nimeliongelea uko nyuma
Woiii. Leta hizo episode maana ni sehemu yako ya kupunguza maumivu uliyonayo.
Kama umeoa na ndoa yako ina furaha nitatembea uchi Tz nzima.Siku ukinijua utashangaa. Nina mpango wa kujifunua humu jf wala sihitaji kujificha. Ngoja nimalize mabandiko yangu. Na pia kama mtu amefeli huoni kuna chakujifunza hapo? Shupaza shingo tu, kizazi cha nyoka kilichaharibika.
Leta Andiko ndugu maana unaonekana unayajua ili tuchambue wote.Achaa upuuzi wewe Biblia yenyewe Imekiri juu ya Dhambi ya uasherati kwamba unataka kusema Mwanamke tu akiwa mzinzi ndo anaweza kuachwa ila Mwanamke hawezi kumuacha mwanaume muasherati???[emoji23][emoji23][emoji23]
Ilikuwa noma sana yani...!! Wanaume ndo chanzo cha yotee hao single mama wapo sababu ya Irresponsible fathers ambao walijua kumwaga tu shahawa na kusepa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi mwenyewe mke wangu ningemwacha kipindi kile tumempata Junior angekuwa miongoni mwa Single mothers ambao leo hii ningekuwa mtu wa ajabu kushupaza shingo na kuanza kuwaponda lakini Noo nilikomaa nae kwa tabu na raha mpaka tukaja kutubu mpaka sasa rahaa tupu.Dah ...
Too sad[emoji25]
Wanawake tunapitia mengi.
Hivi kwani huyo mkuu wa mkoa kaingiaje hapa maana naona umemkazania sana hata huyo naye ni mnafiki kama wewe tu hamna tofautiMakosa ni ya wote,lakini mwanmke ana disadvantage kubwa, kubali ama kataa huo ndio ukweli. Inachukua juhudi za mkuu wa mkoa kujaribu kuwafariji wamama wakati waliowazalia wannadunda mitaani. Tatizo ndio liko hapo usipofanya chastity
Hii ni mathayo 19:9Leta Andiko ndugu maana unaonekana unayajua ili tuchambue wote.
Nimekwambia huyo naye ni mnafiki kama wanafiki wengine tu ukiwemo na wewe na hata kama na mimi ningekuwa single mother nisingeenda kuandamana kwenye huo ujinga na wewe kwa akili yako unadhani yule anafanya vile ili kuwasaidia wale wanawake?? Pole!!Afu jiulize kwa nini mkuu wa mkoa ameshikilia kuwasaidia wamama waliozalishwa wakatelekezwa na sio wanaume
Pozi la nini Singo Maza!Pambafff kwani huwa wanazini na miti ama na wanaume? Una hakika gani kwamba baba yako alimuoa mama yako akiwa bikra? Muwe na staha basi wakati mwingine maana kuna leo na kesho binti yako anadungwa mimba na utageuka mshenga ili aolewe kulinda heshima ya familia!