Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huo ndio ujasiri unaotakiwa.Ilikuwa noma sana yani...!! Wanaume ndo chanzo cha yotee hao single mama wapo sababu ya Irresponsible fathers ambao walijua kumwaga tu shahawa na kusepa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi mwenyewe mke wangu ningemwacha kipindi kile tumempata Junior angekuwa miongoni mwa Single mothers ambao leo hii ningekuwa mtu wa ajabu kushupaza shingo na kuanza kuwaponda lakini Noo nilikomaa nae kwa tabu na raha mpaka tukaja kutubu mpaka sasa rahaa tupu.
Hata Mimi Nina ndugu amefanyiwa Mambo Kama hayo...aisee inasikitisha Sana.
Halafu wanaume hao hao wanaofanya hayo ndio wa kwanza kuwanyooshea Hawa single mama vidole