Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ilikuwa noma sana yani...!! Wanaume ndo chanzo cha yotee hao single mama wapo sababu ya Irresponsible fathers ambao walijua kumwaga tu shahawa na kusepa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi mwenyewe mke wangu ningemwacha kipindi kile tumempata Junior angekuwa miongoni mwa Single mothers ambao leo hii ningekuwa mtu wa ajabu kushupaza shingo na kuanza kuwaponda lakini Noo nilikomaa nae kwa tabu na raha mpaka tukaja kutubu mpaka sasa rahaa tupu.
Huo ndio ujasiri unaotakiwa.
Hata Mimi Nina ndugu amefanyiwa Mambo Kama hayo...aisee inasikitisha Sana.
Halafu wanaume hao hao wanaofanya hayo ndio wa kwanza kuwanyooshea Hawa single mama vidole
 
Afu jiulize kwa nini mkuu wa mkoa ameshikilia kuwasaidia wamama waliozalishwa wakatelekezwa na sio wanaume
Halafu kwani mkuu wa mkoa ni nani ni Mungu au?? Hebu njoo na hoja bwana!!
 
Huo ndio ujasiri unaotakiwa.
Hata Mimi Nina ndugu amefanyiwa Mambo Kama hayo...aisee inasikitisha Sana.
Halafu wanaume hao hao wanaofanya hayo ndio wa kwanza kuwanyooshea Hawa single mama vidole
Kwa mtu anaejielewa na kuliangalia hili suala kwa Umakini asilimi 90 ya Single mothers chanzo chake ni Irresponsible men ambao wamewapa mimba... Asilimi 10 inawezekana ndo mambo ya Vifo na tabia ambazo zinafanya watu washindwe kuvumiliana na kuachana. Ila tamaa za wanaume ni asilimia 90
 
Afu jiulize kwa nini mkuu wa mkoa ameshikilia kuwasaidia wamama waliozalishwa wakatelekezwa na sio wanaume
Sasa wanaume ndo hatutaki Kubeba majukumu tunawakimbiaa baada ya kukojolea ndanii..[emoji23][emoji23][emoji23] Ulizani ukimwagia mule yataota mahindi au???? Bashite alikuwa anataka kulazimisha wanaume kutimiza wajibu na majukumu yao as fathers lakini ndo vile wanaume wameamua wadada wa watu wapambane na hali zao
 
Kwahiyo mwanaume asiongee ukweli kisa ataambiwa anajipendekeza kwa wadada sasa kati ya yeye anayejipendekeza kwa wadada na wewe unayewaogopa wanaume wenzio nani ana afadhali?? Halafu this guy haujamfuatilia tu huwa hayuko upande wetu fuatilia mada zake nyingi karibu kila siku huwa anatuponda na hata mimi nilishawahi kubishana naye kuhusu haya maswala lakini hapa kaona aseme tu ukweli kaka wa watu wewe acha unafiki ongea ukweli unawaogopa hadi wanaume wenzio jamani kwani walikufanya nini eti??
Heeh! Kumbe mna makundi kabisa...😀😀😀
 
Kabisa.
Wanaume wanaharibu mwelekeo wa maisha yetu jamani,[emoji24][emoji24][emoji24]

Yaani ukikaa na huyu dada ukaongea nae...inssikitisha jamani.
Haya anapiga moyo konde,anakubali matokeo...lakini bado haishi kunyooshewa vidole
Kwa mtu anaejielewa na kuliangalia hili suala kwa Umakini asilimi 90 ya Single mothers chanzo chake ni Irrespensible men ambao wamewapa mimba... Asilimi 10 inawezekana ndo mambo ya Vifo na tabia ambazo zinafanya watu washindwe kuvumiliana na kuachana. Ila tamaa za wanaume ni asilimia 90
 
Kabisa.
Wanaume wanaharibu mwelekeo wa maisha yetu jamani,[emoji24][emoji24][emoji24]

Yaani ukikaa na huyu dada ukaongea nae...inssikitisha jamani.
Haya anapiga moyo konde,anakubali matokeo...lakini bado haishi kunyooshewa vidole
Ndo hivyo mkuu...!! Kama mtu unaona huwezi kumlea dogo na huyo mwanamke vaa ndomu...ukishindwa Piga nyetooo tujue mojaaa[emoji23][emoji23] Sio kuleta viumbe duniani ambavyo huna mpango navyo[emoji24]
 
Kama Nyenyere kashaelewa basi... He was our target. Ataelimisha wengine.

Nina hakika tumemtoa tongotongo na atakua mtu mwema lakini hasahasa kuheshimu wanawake...kusaidia wasichana walio katika mazingira magumu na kutetea haki zao.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ndio nimeshasema hilo, hoja haikuwa kuzaa nje ya ndoa. Rudia kusoma mada, hoja ni single mothers
Kuna single mothers bila single fathers?? Kuna mtoto asiye na baba?? Usilete hoja za kujilinganisha sijui kushindana hizo ni porojo hebu njoo na hoja zinazoeleweka!!
 
Kuna single mothers bila single fathers?? Kuna mtoto asiye na baba?? Usilete hoja za kujilinganisha sijui kushindana hizo ni porojo hebu njoo na hoja zinazoeleweka!!
Inaelekea Kuna single mothers waliojipa mimba...Alafu kuna single father wanaostahili kuoa na hawana dhambi ya uzinzi.[emoji23][emoji23]
 
Haukutakiwa kusema eti "wanaume wasioe single mothers au wanawake wasiolewe na single fathers"

Ulitakiwa useme "wanaume wajitunze wasiwe single fathers na wanawake wajitunze wasiwe single mothers"
Kwamba na mwanamume naye ni dalili mbaya? Basi sawa, tufanye hivi, wanawake msiolewe na wanaume wenye watoto nje ya ndoa. Hiyo ni mada nyingine kabisa mbali na hii, hapa tunaongelea single mother. Subiri hiyo itakuja, tatizo mmeweka hisia hasi kwa kilichoandikwa bila kujua kusudio.
 
Sasa hivi nimeamua kuwa mpole tuu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] lile jina la mwanzo lilikuwa linanilazimisha kuwa korofi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa Moto Sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kafir mimi au nyinyi ? Ulitakiwa kusema hivi "Hajichanganyi na waislamu".

Ila tamko "Kafir" ni maalumu kwa wasio kuwa Waislamu.

Tuendelee ....
Mmeanza masuala ya Ukafiri tena[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Back
Top Bottom