Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Achaa upuuzi wewe Biblia yenyewe Imekiri juu ya Dhambi ya uasherati kwamba unataka kusema Mwanamke tu akiwa mzinzi ndo anaweza kuachwa ila Mwanamke hawezi kumuacha mwanaume muasherati???[emoji23][emoji23][emoji23]
Onyesha wapi imeandikwa hivyo, hayo ni mawazo ya feminism, sio uhalisia
 
Sasa wewe unasema Diamond ambae Tabia yake ya Umalaya inajulikana kila Pande ya dunia...Ingekuwa tunafahamiana tabia kama unavyofahamu tabia ya diamond hakika maisha yangekuwa poa sana.. Nimetoa mfano wa Dada yangu alidanganywa na mwanaume kuwa anatala kumuoa na mipango ya harusi ikapangwa kimsingi Alidanganya familia nzimaa kama sio Ukoo... Sasa wewe hizo story zako za Kusema wanawake wanajitakia Ni ufwalaaa hivi unajua mateso ya Kuwa single Mother??? Wewe mwanaume tu umeshindwa kumlea dogo umemzalisha mwanamke umemkimbia unakuja na excuse za kifala eti ni uzembe wa mwanamke serious????[emoji15][emoji15][emoji15] Alishika dyudyu yako akajiingizia au???[emoji23][emoji23] Acha kuzingua mzee baba... acheni kurubuni watoto wa watu kumbe mnataka kumwaga na kusepa.
Mwana Mtoka Pabaya
Akili za kina Zurri zinasema mwanamke mzembe.
Hawa sijui wanatumia akili za wapi [emoji3]
 
Hivo nikiongea kiswahili nikatamka neno lililotoholewa kwenye uarabu sijaongea kiarabu hapo nimeongea kiswahili.
Sijasema umeongea kiarabu,mimi nazungumzia asili ya neno,hata katika kutohoa maneno ya lugha ya kigeni msingi wao huwa wanaangalia maana na umbile la maneno husika.

Mfano,tamko dukani,njaa,maisha yote ni ya asili ya kiarabu na maana zake ni sawa na zile maana za lugha ya Kiarabu. Ajabu ni pale mwenye neno lake unamwambia amecopy ? Swali amecopy vipi ?
Na nimesema church kwa sababu hauwezi kusema eti tunatumia kanisa neno ambalo ni la kiarabu ikiwa biblia original haina neno Kanisa.
Hivo hata tukitumia kanisa bado haikupi uhalali kuona ni neno la kiarabu na wakati lugha ya kiswahili inatambua kwamba kanisa ndio church kwa kingereza.
Hilo Kanisa asili yake ni koarabu,ukweli huu haubadiliki,ndio maana tunahimizwa kujua ajili ya maneno,na inakuwa hivi "Asili ya Kanisa ni kiarabu ila Kiswahili imechukua neno hili na kuwa la Kiswahili"
Kasome chimbuko la lugha utaacha kuwaza kiswahili ni kiarabu.

Kiarabu najifunza karibu kila siku,Kiswahili sio Kiarabu,ila hii haibadilishi ya kuwa asili ya maneno mengi ya Kiswahili ni ya Kiarabu.

Jambo la Kiswahili kuwa si Kiarabu nalijua miaka na mikaka iliyopita,sababu najifunza kiarabu karibu kila siku. Natilia mkazo tu.
 
Onyesha wapi imeandikwa hivyo, hayo ni mawazo ya feminism, sio uhalisia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee leo kuna nabii anaoa wake watano eti anafata manabii wa biblia..!! Hana tofauti na wewe kuamini mwanamke hana haki kabisa ila mwanaume ana haki ya Kukojoa na kusepa mwanamke alee mtoto mwenyewe japo Biblia haijaandika.

SIO KILA KITU KIANDIKWE KWENYE BIBLIA HATUISHI HIVYO CHALII...
 
Bibie naongelea Kanisa,siongelei Church jifunze kutofautisha maneno,na uwe makini.

Ndio maana nawashangaa,inakuwake jambo hamlijui lakini mnalizingumzia ?

Mlianza kusema ya kuwa mtume wetu amecopy,nikawa nawaonyesha ya kuwa haja copy,ndio nikawaleta katika asili ya maneno. Biblia yenu ya Kiswahili imechukua maneno mengi ya Kiarabu,na hili ni kwa sababu imetumia Kiswahili.

Sasa mnaposema amecopy wakati maneno mnayotumia ni maneno ya kiarabu,hapa mnaonyesha ni kwa namna gani mnakuruuka na hamjui nini mnachokiandika.
Kwanza umesoma? Au nawewe hukusoma kama Mtume Wenu?

Biblia ya kwanza iliandikwa Kiyunani, kisha kiebrania, Kilatini...then King James version ya kiingereza na lugha zingine.

Tafsiri zingine ndio za Kiswahili cha Tanzania, Kinyakyusa, kiswahili cha Kenya n.k kama ilivyo tu tafsiri za Qur'an

Unajua maana ya TAFSIRI?
 
Unaliongelea kwenye comments?? Kama kweli una lengo wa kukemea na maovu ya wanaume kwanini usiyaanzishe nyuzi kula siku unaanzishia maovu ya wanawake unataka watu wakuelewaje??
Mbona nishaandika sana tu, ngoja nikutafutie uzi mmojawapo. Tatizo lako unadhani mimi niko biased, utaratibu wangu naongea na kundi moja kisha jingine kwa kubadilishana mawazo. Tatizo ukigusa wanawake tu, moto unawaka. Mmelewa maisha ya maigizo kiasi kwamba hamkubali maonyo
 
Huyo Mtume aliyekiri mwenyewe hajui kusoma wala kuandika alikuwa ni mfanyabiashara wa mecca akadanganya eti amedondoshewa Aya za Qur'an kutoka juu.

Na hiyo Qur'an inashangaza kwa yaliyoandikwa humo...!

Mfano inakataza kabisa kula Nguruwe, lakini inasema tena ikiwa umezidiwa na njaa na upo mahali pasipo na chakula basi ni ruksa kula nguruwe ili usife. Hahahaha

Mara inakataza kabisa unywaji pombe kwakuwa ni Haram lakini inaahidi kuwa watakaoingia Peponi watakuta Mvinyo safi itiririkao.

Quran inachekeshaga sana, Mudy na Allah ndio kabisaaa full comedy.
Mtume wao alikuwa mnafiki tu Kama wao.
Nina mashaka kama kweli alidondoshewa hayo maneno sijui aya.. hata Kama alidondoshewa Basi na mungu mwingine ila sio huyu Mungu wetu...
Naona hata mwenyewe amekiri kwenye maandiko hapo juu Kama mola wao sio mola wetu.
 
Akili za kina Zurri zinasema mwanamke mzembe.
Hawa sijui wanatumia akili za wapi [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wadada wanaonewa sana ila ndo jamii yetu... Mtu mwingine anashupaza shingo hapa ukute hata mama ake aliolewa akiwa single mother.
 
Labda hauijui biblia.
Mjumuiko wa vitabu vyote kwa pamoja ndio inaitwa biblia.
Nikisema nimesoma "kitabu cha mwanzo au kutoka au torati" inamaanisha nimesoma kitabu kilichopo ndani ya biblia nacho ni mwanzo.
Ndani ya biblia kuna vitabu vya Musa hivi vimeandikwa na musa.
Vitabu vya Daniel , isaya nk vimeandikwa na danieli na isaya.
Kitabu cha zaburi , mithali wapo waandishi wake.
Na vitabu vya injili nk.
Unadhani ataijuaje kama haiamini?
 
Mimi sijui asili ya hilo neno na sihitaji kujua.

Ninachojua ni maana ya neno hilo

Na pia ninajua kuwa KAFIR wa kwanza duniani ni Mtume Muhammad mwenyewe.

Ukitaka ushahidi wa UKAFIR WAKE nitakuwekea hapa.

Sema suu
[emoji23][emoji23][emoji23]akifuatiwa na
Zurri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisije umwa kwa kicheko Mimi Aki ya Nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Nyenyere kashaelewa basi... He was our target. Ataelimisha wengine.

Nina hakika tumemtoa tongotongo na atakua mtu mwema lakini hasahasa kuheshimu wanawake...kusaidia wasichana walio katika mazingira magumu na kutetea haki zao.
Approach yangu ni tofauti sana na yako mkuu, wewe unasubiri waharibike uwatetee, mimi napambana nao kwenye mzizi wa tatizo. So, good luck kuwatetea wakishapatwa na majanga
 
Tulichotafsiri ndicho ulichomaanisha ila baada ya kuona umekabwa sana umeamua kubadili gia angani na kuwageuka hata wale wenzio mliokuwa mnasapotiana kule juu

My friend I've been following up and reading each and every comment in this thread so nimeona jinsi gani usivyo na muelekeo wala msimamo wa hoja zako toka umeanzisha mada hadi sasa umeshaandika hoja na umeshajipinga mwenyewe sana tu
Watu wametafsiri vibaya mkuu
 
Back
Top Bottom