Bibie naongelea Kanisa,siongelei Church jifunze kutofautisha maneno,na uwe makini.
Ndio maana nawashangaa,inakuwake jambo hamlijui lakini mnalizingumzia ?
Mlianza kusema ya kuwa mtume wetu amecopy,nikawa nawaonyesha ya kuwa haja copy,ndio nikawaleta katika asili ya maneno. Biblia yenu ya Kiswahili imechukua maneno mengi ya Kiarabu,na hili ni kwa sababu imetumia Kiswahili.
Sasa mnaposema amecopy wakati maneno mnayotumia ni maneno ya kiarabu,hapa mnaonyesha ni kwa namna gani mnakuruuka na hamjui nini mnachokiandika.