Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwanini unalazimisha mambo zurri.
Ukitaka iandikwe unavyotaka wewe!?
Kwa taarifa yako Biblia Ni mjumuiko wa vitabu
Tatizo mnaandika mambo ya uongo,sasa mtu anakwambia Yesu alihubiri Biblia kwenye masinagogi wakati Biblia imekuja kuandikwa miaka mingi baada ya Yesu kufa,huyu anakuwa amekusudia kuongopa au hajui anachokiandika.

Nachotaka mimi ni nyinyi kuandika ya kweli na mkubali ukweli na mjibu maswali yangu nayo wauliza.
 
Dah ...
Too sad[emoji25]
Wanawake tunapitia mengi.
Acha tu halafu mtu simply anakwambia eti "usijilinganishe na mwanaume" yaani kuwaambia ukweli ndiyo kujilinganisha nao?? Nonsense

Kwahiyo wanaona ni sifa kuzalisha na kuacha eti kwa sababu wao ni wanaume na hawatakiwi kulinganishwa na wanawake?? Stupid
 
Kwanza umesoma? Au nawewe hukusoma kama Mtume Wenu?

Biblia ya kwanza iliandikwa Kiyunani, kisha kiebrania, Kilatini...then King James version ya kiingereza na lugha zingine.

Tafsiri zingine ndio za Kiswahili cha Tanzania, Kinyakyusa, kiswahili cha Kenya n.k kama ilivyo tu tafsiri za Qur'an

Unajua maana ya TAFSIRI?
Usimuulize maana ya Tafsiri bado hajakaririshwa.
Anavyoongea ni alivyokwisha kariri.
 
Bado na hapo wanajua wakienda mbinguni wanaenda kugegedana na mabikira[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu hapa wanakinzana.
Wengine wanasema wawili wengine wanasema72[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo mnaandika mambo ya uongo,sasa mtu anakwambia Yesu alihubiri Biblia kwenye masinagogi wakati Biblia imekuja kuandikwa miaka mingi baada ya Yesu kufa,huyu anakuwa amekusudia kuongopa au hajui anachokiandika.

Nachotaka mimi ni nyinyi kuandika ya kweli na mkubali ukweli na mjibu maswali yangu nayo wauliza.
Pole
 
Out of topic
Hivi kiarabu ni uislam?
Jee hamna waarabu wakristo.

Wapo mpaka wapagani,nachotaka toka kwenu mjue mnachokiandika,sasa mnaposema mtume amecopy neno la kiarabu hali ya kuwa neno hilo ni lao,huini kama umeamua kuwa muongo ?

Naomba uwe unajibu maswali yangu nayokuuliza.
 
Kama hutaki kuelewa unadhani utajua?
 
Anafikiri kwakuwa ni Muislam basi anajua misamiati yote yeye kuliko Wakristo.
Anataka analotaka yeye liwe hivyo.
Juzi tu tulikuwa tubabishana nae kuhusu mwanzo.
Neno na tumfanye,,yeye anasema ni nafsi ya kwanza umoja.
Mm niliishia hapo kubishana nae
 
Sasa eti kwa mujibu wa Nyenyere mwanaume anatakiwa akatae mtoto yaani akizalisha akimbie akibaki hapo hapo huyo siyo mwanaume ni 'male feminist' pumbavu kabisa such a lame argument
Ilikuwa noma sana yani...!! Wanaume ndo chanzo cha yotee hao single mama wapo sababu ya Irresponsible fathers ambao walijua kumwaga tu shahawa na kusepa...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Mimi mwenyewe mke wangu ningemwacha kipindi kile tumempata Junior angekuwa miongoni mwa Single mothers ambao leo hii ningekuwa mtu wa ajabu kushupaza shingo na kuanza kuwaponda lakini Noo nilikomaa nae kwa tabu na raha mpaka tukaja kutubu mpaka sasa rahaa tupu.
 
Usimuulize maana ya Tafsiri bado hajakaririshwa.
Anavyoongea ni alivyokwisha kariri.
Nakufundisha sasa,tamko TAFSIRI ni tamko lenye asili ya kiarabu,lenye maana ya kufafanua jambo kwa undani katika lugha husika,mfank wa maneno yenye maana sawa na Tafsiri ni "SHEREHE" na "HAASHIYA".

Tamko hili waswahili humaanisha ni kutoa neno lugha moja kwenda lugha nyingine,na imetuijia au kutufikia ya kuwa Tarjama kwa Kiswahili ndio kutoa maana ya neno kutoka lugha moja kwenda nyingine.
 
Nilijua huna hoja,sasa nakuuliza swali je wapi katika Uislamu umekataza kumuoa binti wa miaka 9 ?

Na kama lingekuwa kosa,Allah angemkemea sasa ni wapi katika Qur'aan alikemewa juu ya Kumuoa mama Aisha ?

Kubaka maana ake nini ? Je wanandoa wanabakana ? Je kwa mujibu wa sheria zenu wanandoa wakibakana wanapewa adhabu gani ?

Unatakiwa uwe serious na uache utoto,hapa tunajadili mambo ya kielimu.
Unajadili vipi Elimu ilihali mlishaikataa Elimu kuanzia na Mtume wenu?

Muhammad kumbaka mtoto wa miaka 9 kisha kumuoa ni sahihi?

Aliruhusiwa katika sura ipi?
 
Back
Top Bottom