Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Mimi nimempata singo maza bikra
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo Diamond kuwa vile alivyo ni sawa ila hao wanawake kuwa vile walivyo ndiyo siyo sawa?? Yaani unachojaribu kusema ni kwamba wanaume kukataa watoto wao ni haki yao na hawatakiwi kukemewa ila wanawake kuachwa na watoto ndiyo wanakosea wanatakiwa kukemewa??Kama wewe ni wa kiume, mama yako akiona maoni yako haya atafurahi sana, lakini baba yako akiona hiki kitu umeandika, atangiwa simanzi. Irresponsible individuals wapo kila kona, ulimwengu mzima, je ni jukumu la nani kuwaepuka?
Little Boy Riki, hawa wanaokufanya uwe emotional leo kiasi unalose focus kama mwanaume zamani kabla hawajaitwa Single Mothers waliitwa MASISTA DUU na hao waliowazalisha na kuwatelekeza au wakashindwana si wanaume, ni MABROO YOO and the likes. Irresponsible is a girl who despite seeing other older girls suffering from fantasy will opt to fall under the same ditch expecting the community to feel sorry for her.
Nitakupa mfano, japo sipendi kuyajadili maisha ya watu wengine lkn kama wanaishi na sisi, hatuwezi kusema hatuwaoni. Unamuona mwanamuziki Diamond na namna ya tabia zake za kimahusiano, leo yupo na mwanamke huyu, kesho kamuacha, kesho kampa mimba huyu, kesho kutwa kamuacha. Nijibu kama mtu mwenye akili timamu, yupi anakushangaza zaidi kati ya Diamond na wanawake wanaoanza naye mahusiano hali wakijua hivyo ndivyo alivyo?
Ndio zao hizo.. .!Yule jamaa mjanja Sana.
Aliona hapa ili wasijue ukweli ngoja niwaambie Yesu hakufa...maana angewaambia ukweli kwamba alikufa akafufuka ndio akapaa mbinguni aliona watakuja kumdharau akifa,maana hawezi kufufuka.
Akaona ili asawazishe Mambo,aonekane ametoka ngoma droo na Yesu...akawaambia Yesu hakufa[emoji3].
Kwahiyo anayemuomba huyo mwanamke avue chupi ndiyo hana makosa??Kwani huwa mnalazimishwa kuvua chupi ?
Embu Leo muache apambane na wababe wenzie.Mmeanza eti??
Uzinzi na uasherati ni misamiati isiyo na dini. Ni kiswahili sanifu hichoSingle mama wengi ni matokeo ya uzinzi ama uasherati. Kwani hii verse ulikuwa unamaanisha nini??? Uzinzi sio dhambi ni biskuti eti???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mzee tulishamalizana tukaelewana nini tena unaanza kushupaza shingo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Yule jamaa mjanja Sana.
Aliona hapa ili wasijue ukweli ngoja niwaambie Yesu hakufa...maana angewaambia ukweli kwamba alikufa akafufuka ndio akapaa mbinguni aliona watakuja kumdharau akifa,maana hawezi kufufuka.
Akaona ili asawazishe Mambo,aonekane ametoka ngoma droo na Yesu...akawaambia Yesu hakufa[emoji3].
Hebu kwanza nipe ushahidi kwamba Qur'an ilishushwa kutoka mbinguni.
Mada ni single mother sio nje ya hap9Sasa uliona wapi mchungaji anakemea uzinzi na uasherati kwa wanawake tu na kuwaacha wanaume?? Huyo mchungaji si atakuwa mnafiki biblia inakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote haijasema sijui nani anapata madhara nani hapati madhara hapana imesema tu kwamba uzinzi na uasherati ni dhambi
Na hicho ndicho kinachotakiwa kihubiriwe kwa watu wote wa mataifa tofauti na hapo huo ni unafiki na hata biblia hiyo hiyo imemuita mnafiki mtu ambaye anatoa boriti kwenye jicho la mwingine kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho lake mwenyewe sasa wewe tukikuita mnafiki unasema sijui sindano zinauma mara hatupendi ukweli sasa kati ya sisi na wewe nani hapendi ukweli??
Hizo sababu ndio nazizungumzia mimi,kwani zikiwepo sababu ndio mvue ?
Kuweni wajanja na akili timamu,tatizo huwa mnapeleka mbele mapenzi pasi na elimu,kuliko elimu kwanza.
Hahahaha...hilo swali si la kitoto SheikhMola alivyoumba miti na milima,na viumbe wengine ulijiuliza kulikuwa na viwanda ?
Mola wetu ni mjuzi wa kuumba na akitaka jambo liwe basi linakuwa.
Kuhus pombe kukatazwa duniani na kuruhusiwa peponi,hizi ni nyakati mbili tofauti na hii ni sheria na utaratibu anao uweka yeye,kwamba hili kwa duniani liwe haramu ila kwa peponi liwe haramu.
Ila una maswali ya kitoto sana,unahoji viwanda peponi wakati yupo mjuzi wa kuumba,akitaka jambo liwe linakuwa tu.
Dada ukikaukwa na koo pm no yako ya simu nikutumie muamala mambo yakae sawa, hawa viumbe wagumu sana kuwaeleza.
Kwahiyo sasahv Mudy anagonga zake Wine huko Peponi.Mola alivyoumba miti na milima,na viumbe wengine ulijiuliza kulikuwa na viwanda ?
Mola wetu ni mjuzi wa kuumba na akitaka jambo liwe basi linakuwa.
Kuhus pombe kukatazwa duniani na kuruhusiwa peponi,hizi ni nyakati mbili tofauti na hii ni sheria na utaratibu anao uweka yeye,kwamba hili kwa duniani liwe haramu ila kwa peponi liwe haramu.
Ila una maswali ya kitoto sana,unahoji viwanda peponi wakati yupo mjuzi wa kuumba,akitaka jambo liwe linakuwa tu.
Hiyo inawahusu wamama pia?Nyuzi zako zote nishazisoma karibia zote
Hiuyo hapoo somaUlete na zenu mnaojiuna "miungu watu".
Sio unaegemea upande mmoja.
Anasema Allah aliye juu :
1. Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu.
2. Na nini kitacho kujuulisha nini Laylatul Qadri?
3. Laylatul Qadri ni bora kuliko miezi elfu.
4. Huteremka Malaika na Roho katika usiku huo kwa idhini ya Mola wao Mlezi kwa kila jambo.
5. Amani usiku huo mpaka mapambazuko ya alfajiri. (al Qadr : 1 - 5)
Ndio hivyo,kuwapo sio kwamba wao wanatumia,ndio maana nimekwambia hili ni tamko maalumu na ni tamko la kisheria.Wewe ulitubishia mwanzo kwamba kafiri linatumika na waislam kwa watu wasioamini. Hivo sisi wakristo hatupaswi kutumia hilo neno tutafute letu.
Nikawauliza lilitumika wapi ? Ukasema mtume amecopy kutoka kwenye Biblia,nikauliza amecopy vipi ? Mpaka muda huu hamjajibu swali hilo.Ndio tukakwambia kabla ya uislam neno kafiri lilishatumika na kama unavyojua Qur'an imechakachuliwa kutoka kwenye biblia usichoelewa ni kipi?
Kwani kuombwa maana yake ni KUPEWA ?
Tatizo nyinyi ni wa Mazwazwa isipokuwa wanawake wachache sana wenye kujitambua.