Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnyanzi mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnyanzi mungu.
Aahh wangetolewa kitambo sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa wangekuwa wacheza mpira wangekuwa walishalimwa redcard..
Maana ingekuwa ukiwachenga tu kidogo wanakutia magumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bibie acha sasa utoto,hapa hatupigi stori za vijiweni,tunazungumzia mambo ambayo yameshaandikwa na yapo.Amecopy akapata kitu cha kuandika kwenye Qur'an yenu.
Asingeliona kwenye biblia huko kwenye Qur'an yenu asingekumbuka kuliweka.
Hakuna swali ambalo sijajibu.Suala la kubalehe unalileta wewe, Mimi sijaliongelea....!
Unakuwa kama Maimuna tak*o lakini wa magomeni....kuutwa kutuvalia hijab mchana lakini usiku atuuzia kitumbua cha ndani.
Unaleta visivyokuwepo.
Unaacha kujibu maswali ninayokuuliza sheikh
Kwasasa Mudy anakunywa wine kule Peponi?
Hii haifunguki.URL unfurl="true"]https://r.tapatalk.com/shareLink/topic?url=https://www.jamiiforums.com/threads...share_tid=1621601&share_fid=8678&share_type=t[/URL]
Safi.Mnyaaaazi mungu anachekesha sana.
Hivi hii ni ya kweli ustadh zurri?Binti wa miaka tisa hawezi kuwa amebaleghe ?
Naona umeishiwa hoja sasa,unaleta lugha za kihuni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti waliona hauelewi wakakuacha what a stressfree reply
Huu ni ufasaha tu wa lugha,na hutumika mtindo huu wa lugha kuweka hadhi na kutofautisha yule anayezungumza,mfano huu upo hata katika Kiswahili."Sisi" ni mtu zaidi ya mmoja.
Na MUNGU ni mmoja.
Kama ilishushwa na akina "sisi" maana yake si MUNGU na haijatoka mbinguni pia.
Sijakuelewa.Hivi hii ni ya kweli ustadh zurri?
Sijakuelewa.
Ukiona kuna swali au hoja yako sijakujibu nistue,maana napata Notifications nyingi.
Nilikuwa nasubiria hili jibu.
Reliable source za jf ni hatari.
Nimetolea mfano na kama mada yako hailengi kukemea maovu kwenye jamii basi unapoteza mudaHapa umeona nahubiri? Soma mada halafu urudi tena
Nikisema nguo hii huwa wanavaa watu kama "sisi" ninamaanisha kwamba "mmoja wapo" wa wanaovaa nguo kama hii ni "Mimi" lakini sipo pekee yangu ..kuna wengine wenye hadhi kama niliyonayo mimi.Huu ni ufasaha tu wa lugha,na hutumika mtindo huu wa lugha kuweka hadhi na kutofautisha yule anayezungumza,mfano huu upo hata katika Kiswahili.
Mfano nikisema "Nguo hii huvaa watu kama sisi tu". Hapa anae zungumza ni mmoja na anajikusudia yeye ili kuonyesha ya kuwa kile alichokivaa kina hadhi kubwa sana ya kuvaa yeye peke yake.
Mtindo huu wa lugha au uwasilishaji upo sana pia katika lugha ya Kiarabu,kwahiyo hiyo sio hoja bali ni wasi wasi tu.
Pole sana mkuu kwa kisa hiki cha kuumiza. Lakini naomba niruhusu nikutupie lawama wazazi na ndugu wa karibu wa binti huyu. Inakuwaje mtunakuja kuleta posa mpaka mnaandaa send off hamjajua tabia yake? Mbona ndoa ni mchakato unaohusisha wadau wengi sana?
Eeeh swali zuri sanaaa...WANAUME mpaka mtu umemjua tabia yake halisi hasa kwa wanawake jua ameshakutafunaa...!! Huwaga hutuwi really mpaka pale umeshapata unachokitaka hapo ndo makucha yanaanza ndo maana single mother hawaishi na kujua tabia ya mtu hakukufanyi wewe ujue Maovu yake kabisaa maana watu tunabehave tokana na mazingira so wadada wengi mpaka waje kujua tabia halisi na maisha halisi ya wanaume wanaodate nao ni TOO LATE SANA. Kuijua tabia halisi ya Mtu sio Jambo la mwezi never ukute hata wazazi wako hawajui tabia yako halisii hadi leo[emoji23][emoji23] wanakuja kusikia tu umetia mimba mtoto wa watu huko ukamtelekeza.Pole sana mkuu kwa kisa hiki cha kuumiza. Lakini naomba niruhusu nikutupie lawama wazazi na ndugu wa karibu wa binti huyu. Inakuwaje mtunakuja kuleta posa mpaka mnaandaa send off hamjajua tabia yake? Mbona ndoa ni mchakato unaohusisha wadau wengi sana?
Wao ni mazwazwa ila wewe utakae ombwa na kutoa ndio utaonekana zwazwa zaidi kwa kukubali kwako.Kwahiyo wanaume wanaoomba siyo mazwazwa?? Yaani maandiko yanakataza uzinzi na uasherati kwa jinsia zote lakini eti mwanaume akiomba kwa lengo hilo ni sawa ila mwanamke akikubali kwa lengo hilo hilo ni kosa si ndiyo??
Hakubaka,ndio maana huyo nimemuomba ushahidi aniletee,najua hana ila si unajua mtu anapokosa hoja huwa anazusha tu,kuna maswali nimemuuliza hajajibu.Mtume Muhammad alimbaka mtoto was miaka 9?
Ndio utuonyeshe sasa hao wengine wako wapi.Nikisema nguo hii huwa wanavaa watu kama "sisi" ninamaanisha kwamba "mmoja wapo" wa wanaovaa nguo kama hii ni "Mimi" lakini sipo pekee yangu ..kuna wengine wenye hadhi kama niliyonayo mimi.