Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Mbona nilikuuliza Ni yapi hukuniontesha Tena.
Ukasingizia tu post hazina namba...nikakwambia tafuta unionyeshe,,haukunionesha..
Unadhani Mimi nitaota na kukisia maswali uliyoyauliza !??
Ntakujibu vipi maswali bila kuyaona hayo maswali!?
Sasa ulirudi ukaitafuta hiyo post ? Kisha ukawa hujaiona ?

Nilikwambia kwamba sioni namba ya post PM,kumaanisha kwamba ukitakiwa hujiongeze uitafute kisha ujibu maswali,lakini hujafanha hivyo.
 
Alimuoa kwa ndoa ya halali kabisa.

Ndio maana hakuna anaeweza kuonyesha mtume alibaka,nawapa miaka mia mlete ushahidi kwamba mtime alibaka.
Mbona unaongea mengine ambayo sijakuuliza Zurri.
Mtume yeye alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho?
 
Kwahiyo Diamond kuwa vile alivyo ni sawa ila hao wanawake kuwa vile walivyo ndiyo siyo sawa?? Yaani unachojaribu kusema ni kwamba wanaume kukataa watoto wao ni haki yao na hawatakiwi kukemewa ila wanawake kuachwa na watoto ndiyo wanakosea wanatakiwa kukemewa??
Kichwa chako KITUPU sana. Kuna sehemu hapo nimesema kuwa anavyofanya ni sahihi? Sijui umelelewa namna gani! Hapo namaanisha kuwa huyo mtu si mfano mzuri, kwa hiyo ni jukumu lako kumuepuka. Au ulitakaje, nikamchape?

Simshangai aliye kuacha na kitoto. Una shida nyingi sana kichwani
 
Umeona eenh?? Kuna muda unamuona kabisa kaelewa ulichomuambia ila baadaye anarudia kile kile ulichotoka kumkataza yaani mtu anayekuja kuanza kuusoma huu uzi leo akisoma comment moja baada ya nyingine ataona comments nyingi zinaongelea kitu kile kile na ataona kama tulikuwa tunapoteza muda tu kwa sababu ya huyu jamaa yaani anaturudisha nyuma sana!!
Nimekumbuka ile thread ya kipindi kile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu mfano si mahala pake,sababu hauonyeshi hadhi au kujiweka juu,hiyo unatoa taarifa tu,kwahiyo lazima muwepo wengi.

Uwasilishaji ule ni maalumj,na unanyesha hadhi na ukubwa,ndio ule mfano wa andiko lenu ambalo huwa mnalinukuu sana "na tumfanye mtu kwa mfano wetu".

Kauli hiyo nyinyi ndio mnaona ni ushahidi wa kuonyesha kuna mungu watatu katika nafsi moja au kama mnavyodai. Ila ukweli hapo kauli hiyo imeonyesha hadhi na ukubwa wa Mola muumba.

Kauli hiyo kwetu imeonesha utatu mtakatifu. Na HUO NDIO UKWELI.
Mungu baba.
Mungu mwana= Yesu
Mungu roho mtakatifu.
Hapo Mungu alikuwa anapanga plan zake na roho zake.
Sasa na huko kwenye uislam hiyo " sisi" ni wakina nani? Ni utatu mtakatifu ambao hamtaki kuuamini au?
 
Hoja ya kijinga kabisa hii. Kuwa na mtoto anayetumia madawa ya kulevya sio sababu ya kukaa kimya kulinda staha. Ni ujinga uliopitiloza. Habari ya baba yangu kuiingiza humu ni dalili ya wewe kuwa uliyeharibika akili, hufai hata kuwa baba wa familia.

Hapa hatupaki mafuta kwa mgongo wa chupa, ni ukweli mtimilifu, no matter what! Kama umeumia kaa kimya, nina uhakika wako vijana wawili ama watatu watajifunza neno hapa.
Umenitukania umetuliza.
Maana ni mpambano wa kupigania maadili huu.
Makahaba na maasherati yanatetea na kuubariki ubazazi wao waziwazi, shetwani ana wafuasi wengi sana kuliko tunaowafahamu!

Ujingaujinga 'kabila hiyo' ndiyo chanzo cha watoto wa mitaani wenye baba zao wasio na baba kuongezeka kila uchao!

Tena mada yako inafaa sana kuwa shamba darasa kwa vijana wanaotegemea kuanza maisha ya ndoa ili wasirukie magumegume kwa hadaa ya penzi motomoto. Hizo ni ghilba na wizi wa mapenzi wasiouelewa wengi.

Hakuna kosa kubwa kwa mwanaume kujenga msingi mbovu wa ndoa yako, maana waweza kujuta maisha yako yote hadi kufa na huku umevaa tai shingoni.

Hivi kijina shababi unajisahauje hadi ndoa yako ya kwanza unaanza na single mom!

Yote uliyoeleza mkuu, kijana akiyafuata akaanza nayo, dunia hii ataishi kama yupo ahera kwa ndoa yenye heri na heshima, ingawa vikwazo havikosi.

Nakuomba usikatishwe tamaa na majibu ya watu waliokwisha kukosa maadili tangu wakiwa tumboni mwa mama zao.
 
Sasa ulirudi ukaitafuta hiyo post ? Kisha ukawa hujaiona ?

Nilikwambia kwamba sioni namba ya post PM,kumaanisha kwamba ukitakiwa hujiongeze uitafute kisha ujibu maswali,lakini hujafanha hivyo.
Yaani Mimi ndio nitafute maswali uliyouliza!?.
Zurri uko serious kweli!??
Uliona wapi hiyo???
Hata shuleni huwa mwalimu anatunga maswali anatuletea darasani tufanye...ulishawahi ona wapi mtihani unaenda kufwatwa na mwanafunzi ili aufanye!???
 
Kauli hiyo kwetu imeonesha utatu mtakatifu. Na HUO NDIO UKWELI.
Mungu baba.
Mungu mwana= Yesu
Mungu roho mtakatifu.
Hapo Mungu alikuwa anapanga plan zake na roho zake.
Sasa na huko kwenye uislam hiyo " sisi" ni wakina nani? Ni utatu mtakatifu ambao hamtaki kuuamini au?
Yeye anasema 'sisi' Ni" Mimi".
Hiki kiswahili walisom na mtume wao Muhammad's [emoji3]
 
Mbona unaongea mengine ambayo sijakuuliza Zurri.
Mtume yeye alikuwa na miaka mingapi kipindi hicho?
Sikumbuki alikuwa na miaka mingapi ila alikuwa na miaka mingi kumzidi mama Aisha.

Chukulia,kwamna alikuwa labda ana miaka 60 au 70, vipi ndio hitwa kubakwa huko ?

Kwanza tafuta maana ya tamko "Kubakwa" kisha uje kuajdili jambo ukiwa unalijua.

Lipi,hapo nimeandika ambalo hujaniuliza ? Jayo nimekuoa maelezo kwa mujibu wa swali lako.
 
Kauli hiyo kwetu imeonesha utatu mtakatifu. Na HUO NDIO UKWELI.
Nani wa kwanza kusema mambo ya utatu mtakatifu ?
Yaani Mimi ndio nitafute maswali uliyouliza!?.
Zurri uko serious kweli!??
Uliona wapi hiyo???
Hata shuleni huwa mwalimu anatunga maswali anatuletea darasani tufanye...ulishawahi ona wapi mtihani unaenda kufwatwa na mwanafunzi ili aufanye!???
Ule ulikuwa ni mjadala,na wewe ulikuwa hadhiri kwahiyo ulitakiwa uwe makini na mjadala. Huo ni uzembe wako,na hukutakiwa kuja kulalamika hapa.
 
Sasa na huko kwenye uislam hiyo " sisi" ni wakina nani? Ni utatu mtakatifu ambao hamtaki kuuamini au?
Nataka unipe maelezo hayo kutoka kwa Yesu kwamba Yesu amesema hivyo kwamba kuna mungu mwana,kuna mungu roho.

Weka andiko fasta tuokoe muda.
 
Nani wa kwanza kusema mambo ya utatu mtakatifu ?

Ule ulikuwa ni mjadala,na wewe ulikuwa hadhiri kwahiyo ulitakiwa uwe makini na mjadala. Huo ni uzembe wako,na hukutakiwa kuja kulalamika hapa.
Aliyelalamika Nani Kama sio wewe.
Wewe si ndio umesema Nina Deni..
Hivi Zurri ,umeanza lini kupoteza kumbukumbu hivyo!?
Marianah huyu benten wako Nina wasiwasi atakuwa na wenge la usingizi
 
Back
Top Bottom