Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Sasa kujifunza kwako kiarabu usituchanganyie hapa kwenye mada yetu.
Tulishakupa maana kibiblia bado unaruka ruka tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me tunakubaliana akitoka akirudi ananiquote tena anagomaa... Sijui akitoka anaenda kupigwa shule hukoo asikubalii anarudi tena...Nahisi bhangi inahusika pia
 
Yule jamaa alishawavuruga Hawa wote.
Wasomi na wasio wasomi walishaingizwa uongo..
 
Labda hauijui biblia.
Mjumuiko wa vitabu vyote kwa pamoja ndio inaitwa biblia.
Kwa maana kikiwa kitabu kimoja mathalani kitabu cha Isaya kitaitwa Biblia ? Kwa maelezo yako kikiwa kimoja hakiitwi Biblia si ndio ? Sasa kwahiyo pale nilipokuomba ushahidi wa kunionyesha kwamba Yesu alitumia Biblia ukaniwekea andiko la 4 : 16 - 18 kwamba ulikuwa hujui nini maana ya Biblia au ulitaka kunidanganya ?

Na kwanini katika andiko "4 : 16 - 18" hawakusema Biblia wakasema kitabu cha nabii Isaya ? Ina maana wewe unajua zaidi kuliko wao ?
Nikisema nimesoma "kitabu cha mwanzo au kutoka au torati" inamaanisha nimesoma kitabu kilichopo ndani ya biblia nacho ni mwanzo.
Hili unasema wewe,sasa turudi kwa Yesu maana andiko liko wazi kwamba akapewa kitabu cha nabii Isaya,ina maana ya ni kitabu kilikuwa pweke.

Sasa nataka unionyeshe hivyo vitabu vingine vilikuwepo kipindi cha Yesu mathalani Injili ya Yohana,Luka na wengine ?
Kitabu cha zaburi , mithali wapo waandishi wake.
Na vitabu vya injili nk.
Safi kabisa,sasa ndio ndio unionyeshe hivi kama vile vya Injili Yesu alivisoma katika masinagogi ? Kama Injili ya Marko,Yohana na wengine ?
 
WEKA HAPA.
Ukafir ni kutokuamini na kuufuata Uislam ama kumuamini Allah

Sawa, UKAFIR wa Muhammad S.A.W ni ule wa kumbaka mtoto mdogo (9) yaani Bi Aisha....kisha kuamua kumuoa.

Kama angemuamini Allah na maandiko yake asingebaka
 
Kwanini unalazimisha mambo zurri.
Ukitaka iandikwe unavyotaka wewe!?
Kwa taarifa yako Biblia Ni mjumuiko wa vitabu
 
Biblia ya kwanza iliandikwa Kiyunani, kisha kiebrania, Kilatini...then King James version ya kiingereza na lugha zingine.
Haya majibu unatakiwa umjibu mrembo fulani hapa,anasema Yesu alisoma Biblia katika Masinagogi na kuihubiri Biblia humo.

Kwa maana hiyo Biblia ilikuja kuwepo baada ya Yesu kuja,sasa kwanini mnamnasibisha Yesu na Biblia ?
Unajua maana ya TAFSIRI?
Sio unaniuliza,yaani mimi ndio natakiwa nikufundishe wewe TAFSIRI ni nini.

Ndio najua maana ya Tafsiri.
 
Allah ni mungu mwezi...hana uhusiano na JEHOVA
 
Wapo watu wengi tu wanaanzisha mada kama hizi na kwa jinsi wanavyoelezea unaona kama hawajabase upande wowote ule bali wameongea uhalisia ila wewe kwanza kabisa mada zako nyingi zinahusu wanawake tu

Pili maelezo yanaonyesha kabisa umejikita kwenye maovu ya wanawake tu as if ya wanaume hauyaoni au hayapo eti unasingizia kwamba mwanamke ndiye anayeumia zaidi so what kwani kukemea maovu tunaangalia nani anayepoteza zaidi au tunakemea tu maovu yote?? That's HYPOCRISY at its best!!
Tatizo lililopo mkuu ni kuwa watu hawa wamejenga mtazamo fulani vichwani, hivyo wanauleta humu wakidhani ndicho kilichoandikwa
 
Jibu swali kisha uulize swali.

That's a good principle of dialogue.

It worth more n more...!

Umeelewa Ukafiri wa Mudy kwanza?
 
Bado na hapo wanajua wakienda mbinguni wanaenda kugegedana na mabikira[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ukafir ni kutokuamini na kuufuata Uislam ama kumuamini Allah

Sawa, UKAFIR wa Muhammad S.A.W ni ule wa kumbaka mtoto mdogo (9) yaani Bi Aisha....kisha kuamua kumuoa.

Kama angemuamini Allah na maandiko yake asingebaka
Nilijua huna hoja,sasa nakuuliza swali je wapi katika Uislamu umekataza kumuoa binti wa miaka 9 ?

Na kama lingekuwa kosa,Allah angemkemea sasa ni wapi katika Qur'aan alikemewa juu ya Kumuoa mama Aisha ?

Kubaka maana ake nini ? Je wanandoa wanabakana ? Je kwa mujibu wa sheria zenu wanandoa wakibakana wanapewa adhabu gani ?

Unatakiwa uwe serious na uache utoto,hapa tunajadili mambo ya kielimu.
 
Kichwa chake kikivyokaa kinakandamiza single mama..
Hili Ni kweli kabisa .
Contents Sina shida nazo
Nyenyere
 
Out of topic
Hivi kiarabu ni uislam?
Jee hamna waarabu wakristo.
 
Wewe una ukilaza wa kimadrasa

Unasema amekuambia Yesu alitumia Biblia akiwa katika Sinagogi halafu tena umeandika:-

''Kwa maana hiyo Biblia ilikuja baada ya Yesu''


Unaelewa ulichokiandika wewe mwenyewe?

Hebu kisome tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…