Na kwenye kufuatilia taarifa za mtu , mtu anaweza akajitungia tuu na wewe ukaona umewin kupata taarifa zake.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli unakubaliana na maneno hayo ?
Hahaha,ndio maana nataka uwe mke wangu wa tatu,muoga sana wewe.Unajua akili za chini Ni zipi!?
Wewe ita majina yote unayoweza..Wala haututishi bwana.
Woyooo[emoji3][emoji3][emoji3]Direct this nonsensical question to where it basically belongs to.
Kwamba mimi natumia akili za chini ?Yepi??
Kwa kujua hilo ndio maana wengine nimewapa miaka kumi na wengine miaka mia na wengine uhai wao wote.Ndio tumekuita kafiri.
Hivi unadhani Nani anakuogopa.
Ukiona wameondoka ujue Ni kwa interest zao tu na ratiba zao ...usije ukadhani watu wanakuogopa.
Nilishakwambia endelea kuota ndoto zako za mchana.Hahaha,ndio maana nataka uwe mke wangu wa tatu,muoga sana wewe.
Huo si ndio msingi wenu.Sasa SI ulijibu na nimekuuliza jingine...mbona umeganda kwenye swali moja.
Shwari tu...haibadili uhalisia kuwa nyie Ni makafiri..na jamaa wenu mnayemsubiri aliyewahi viwanja kuzimu huko.Kwa kujua hilo ndio maana wengine nimewapa miaka kumi na wengine miaka mia na wengine uhai wao wote.
Hapo unasemaje ?
Fungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.Kwani kuna ubaya gani unapojadili effects ukaweka na causes?? Ndiyo maana hata kwenye mitihani unakuta mwalimu anakunyima marks kwa sababu wewe umeulizwa effects na ukaongelea effects tu haujataka hata kuainisha causes za hicho kitu hadi kikaleta hizo effects huo ni uvivu wa kufikiri yaani unafanya vitu kama robot aise watu wengine sijui mlienda shule kukuwa tu??
Huu ndio muda muafaka sasa,kazi na dawa.Nilishakwambia endelea kuota ndoto zako za mchana.
Kwanza tujadili mada...hayo ya mke wa 4 tutamalizana Mimi na wewe
Ndio njia yako ya kuchomoka hapa ulipobananishwa!??Huu ndio muda muafaka sasa,kazi na dawa.
Nacheka sana,kwa jinsi nilivyokuwa mtu mbaya katika haya mambo ya wanawake,wewe utakuwa tu mke wa tatu.Shwari tu...haibadili uhalisia kuwa nyie Ni makafiri..na jamaa wenu mnayemsubiri aliyewahi viwanja kuzimu huko.
Nisipokubali mahubiri yako ninakuwa STUPID, eti? Naona umepanic sasa. Labda tu nikukumbushe kuwa mimi ni mwanaume na sijawahi kutelekeza mtoto, sasa jiulize ulikosea wapi mpaka ukawa singo maza kuliko kuja kutukana watu mitandaoni...unaheeeema!
Mbona unalazimisha afungue Uzi wakati hakuna ulazima wa kufungua maana hayo yote yanaingia kwenye huu uziFungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.
Watu kama nyie mwalimu wangu Panthaleo alikuwaga anawapenda sana maana mlikuwa mnapunguzia kazi ya kusaisha.. Yeye ilikuwa ni kupiga limstari tu.
Hakuna wa kunibananisha hata kwa bahati mbaya,kila mmoja nimempa kazi yake,wakija watakuja na majibu.Ndio njia yako ya kuchomoka hapa ulipobananishwa!??
Hehehehe,pole
Kwa hiyo umeona ukimtahja huyo panthaleo sijui panthakesho utamuogopesha huyu dada!?Fungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.
Watu kama nyie mwalimu wangu Panthaleo alikuwaga anawapenda sana maana mlikuwa mnapunguzia kazi ya kusaisha.. Yeye ilikuwa ni kupiga limstari tu.
53 kwa 7[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji134]Huo si ndio msingi wenu.
Mtume alikuwa na miaka takribani 53 hivi.
Kichwa chako KITUPU sana. Kuna sehemu hapo nimesema kuwa anavyofanya ni sahihi? Sijui umelelewa namna gani! Hapo namaanisha kuwa huyo mtu si mfano mzuri, kwa hiyo ni jukumu lako kumuepuka. Au ulitakaje, nikamchape?
Simshangai aliye kuacha na kitoto. Una shida nyingi sana kichwani