Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndoa hufungwa Mara moja tu.
Ukifunga zaidi ya Mara moja ujue mkeo au mumeo amefariki..ndio maana Ya kile kiapo cha kutenganishwa na kifo.
Ukiona ndoa inafungwa Mara 3 au 4 ujue hiyo sio ndoa..Ni uzinzi..
Mkiongozwa na huyu jamaa yenu muhuni wa wahuni
Weka andiko bibie,usipate tabu
 
Sasa bibie mbona jambo liko wazi sana,kitabu cha nabii Isaya ndio Biblia ?

Je ilianza Biblia au Kitabu cha Isaya ?

Pili,Luka aliwahi kumuona Yesu ?

Nataka ushahidi wa kwamba Yesu alisoma BIBLIA,usiniletee habari za vitabu vingine.
Unajua maana ya biblia maana unamaswali ya kitoto sana. Sasa katafute maana ya biblia alafu uje na maswali yako.
 
Rejea ndoa za mitume waliopita.

Ibrahim alikuwa na wake wangapi ? Yokuub alikuwa na wake wangapi ?
Hehehe...Sasa huku ndio kwenyewe Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na nilijua tu utakimbilia huku wewe kafiri.
Ngoja nikufundishe na ulishike hili...
Hatufwati Nini mitume walifanya...tunafwata Mungu anasema nini!...
Mtume nae Ni binadamu Kama wewe....Neno la Mungu ndilo litakalosimama.

Usiniletee habari za Suleiman maana huku umechemka vibaya.
Na kwa msisitizo agano jipya linaongelea Mke na mume...sio wake na mume...
Kiswahili kidogo hiki nacho kinakupiga chenga!?? Sasa wewe unaweza kipi?
 
Kama hutaki acha..kwani nimekulazimisha kusoma Mimi??
Wewe vipi Bwana..
SI umekuja hapa kwa hiari yako mwenyewe!???kwani Kuna mtu amekulazimisha kuniomba hayo maandiko?
Ubanichosha sasa,unataka kila muda niende google ?

Tusaidiane hapa,uwe unapiga hata picha andiko,ili tuokoe muda,mimi unakuwa unanipa kazi mara mbili.


Nilishakwambia situmii soft copy..Nina hardcopy iko nyumbani..unataka nipige picha gani!??au unazitaka picha zangu nijipige??
 
Safi kabisa,kweli yawezekana mitume wa Mola wafanye jambo baya halafu Mola akalikalia kimya ?

Vipi alipoongeza mke wa pili mtume Ibrahimu,alipata maelekezo yale toka kwa nani ?

Nakufundisha sasa,kama mnafata maneno wapi Mola alisema wao ni nafsi tatu ? Au wapi Yesu alisema yeye ni mungu ?
 
Ubanichosha sasa,unataka kila muda niende google ?

Tusaidiane hapa,uwe unapiga hata picha andiko,ili tuokoe muda,mimi unakuwa unanipa kazi mara mbili.
Huku ni kisoma sio kukariri. Unafikiri quraan hii unatamka maneno ila maana hujui.
 
Kasome kitabu cha ufunua utaona mahali Yesu anajitambulisha kuwa yeye ni Mungu.
 
Nilishakwambia situmii soft copy..Nina hardcopy iko nyumbani..unataka nipige picha gani!??au unazitaka picha zangu nijipige??
Tuliza akili,nataka upige picha andiko yaani matini yake.
SI umekuja hapa kwa hiari yako mwenyewe!???kwani Kuna mtu amekulazimisha kuniomba hayo maandiko?
Inaonekana unapenda sana kupoteza muda.
 
Ngoja nikwambie Zurri...
Usije muiga mtu aliyefanya uzinzi...na wewe ukaenda unafanya eti kwa sababu yeye alifanya na hakukamatwa...
Unaweza kwenda kufanya wewe na ukakamatwa
Yote kwa you naye Ni mwanadamu ..ataenda kujibu kwa muumba wake.
Sasa wewe mfwate...unadhani kule mbinguni Kuna kufwata fwata mikumbo!!??
Utasimama mwenyewe pekeyako
Unapotea Sana...

Ni sawa na Leo ukamfwate sheikh sijui kipozeo anachofanya ..hata Kama Ni uchizi wewe unafwata tu..
Ameenda kupiga Dua bombardier ziachiwe na wewe huyo unaenda....heheeh utakuwa bendera fuata upepo.

Fuata misingi ya Mungu baba.
Achana na porojo zako za ajabu..

Na Biblia imeweka msisitizo kabisa kuhusu ndoa..ikaspecify ..mke na mume.

Tatizo aliyewaroga alishakufwa kitambo
 
Tuliza akili,nataka upige picha andiko yaani matini yake.

Inaonekana unapenda sana kupoteza muda.
anayepoteza muda Ni wewe.
Mbona nimekueleza vizuri Kama Sina nakala laini Mimi ya Biblia...Nina nakala ngumu na ipo nyumbani

Una matatizo gani mbona huelewi!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…