Weka andiko bibie,usipate tabuNdoa hufungwa Mara moja tu.
Ukifunga zaidi ya Mara moja ujue mkeo au mumeo amefariki..ndio maana Ya kile kiapo cha kutenganishwa na kifo.
Ukiona ndoa inafungwa Mara 3 au 4 ujue hiyo sio ndoa..Ni uzinzi..
Mkiongozwa na huyu jamaa yenu muhuni wa wahuni