Sasa geto anaanza kwenda mwenyewe bila kuitwaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mazingira, binti anatengeneza mazingira yeye mwenyewe anajipeleka ghetto alafu anajifanya hataki kutiwa. Hapo hakika hatoki salama na akilalamika ni mnafiki. Mazingira ndio kila kitu, tendo la mwisho wala halihesabiki.
Hapa linaongelewa tendo la mimba kuingia kwa watu wawili ambao tayari wameshaamua kutenda dhambi, hivyo sio sawa kuongelea dhambi hapa kwa sababu ipo tayari. Ongelea matokeo yake, sio nani hana dhambi. Kukubali kutoa uchi ni kukiri udhaifu na kutokujitambua kwa mwanamke. Mbona wengine wakiwa chumbani wakiombwa kuingiliwa nyuma wanakataa? Sema tu ukweli kuwa nanyi mnapenda mfanywe na mnaridhia, ila mimba ikitokea mnanyoosha kidole.Kwahiyo anayeomba ngono hana makosa ila anayekubali ngono ndiyo ana makosa??
Maandiko yanasema uzinzi na uasherati ni dhambi kwa jinsia ZOTE MBILI sasa inakuwaje anayeomba uzinzi na uasherati asiwe na makosa ila anayekubali uzinzi na uasherati ndiyo awe na makosa??
Kwa hiyo tuambie ndoa ni nini? Ukiona mwanamke bikra ni ishara kubwa sana kwamba anatambua thamani ya mume. Amemudu kukwepa vihunzi mpaka kufikia ndoa ili afunge agano na mume.Pambana na kutafuta Bikra mkuu wapo wengi lakini NDOA sio lelemamaa...!! Oa bikra alafu mdomoo hautuliii...Oa bikra kichwani kweupee... Ndoa sio suala la Ubikra ni more than that
Mimi sijasema mimba ikiingia alaumiwe mwanaume hivi mbona wewe mgumu sana kuelewa??Hapa linaongelewa tendo la mimba kuingia kwa watu wawili ambao tayari wameshaamua kutenda dhambi, hivyo sio sawa kuongelea dhambi hapa kwa sababu ipo tayari. Ongelea matokeo yake, sio nani hana dhambi. Kukubali kutoa uchi ni kukiri udhaifu na kutokujitambua kwa mwanamke. Mbona wengine wakiwa chumbani wakiombwa kuingiliwa nyuma wanakataa? Sema tu ukweli kuwa nanyi mnapenda mfanywe na mnaridhia, ila mimba ikitokea mnanyoosha kidole.
Mwanamume anamwomba mwanamke ampe nyuma, anakataa. Mwanamume anamwomba mwanamke amnyonye, anagoma kabisa. Mwanamke huyo huyo akiombwa atoe mbele anakubali!! Nini kimebadilika kumshawishi aone kutoa mbele bila ndoa ni halali? Kwani hapo ipi ni dhambi na ipi sio dhambi? Naomba jibu.
Ila wasio na dharau UNAWAPA? 😀 😀 😀Sawa unaweza usianzishe uzi au usijulikane lakini haibadilishi ukweli kuwa na wewe ni mmoja wa wale wanaume ambao unamuomba mwanamke ili akikupa uje kumdharau sasa mimi siwezi kumpa mwanaume ambaye najua atakuja kunidharau kwanza sinaga hata mazoea na wanaume wenye mitazamo hiyo yaani
Ila wasio na dharau UNAWAPA? 😀 😀 😀
Hii sio concept mpya, tangu kale ilikuwa hivyo mpaka pale lilipokuja wimbi ka feminism. Zamani ilikuwa kijana akiacha maadili na kulala na binti, binti huyo aliambatana na wazazi wake kwenda kwa kijana husika. Huko ilipothibitiksa kilichofuata ni majadiliano ya mahari kwani tayari kijana alishajipatia mke.Haya je wanawake wakijitunza wanaume mtaweza kuvumilia kutokufanya ngono hadi mtakapofikia umri wa kuoa na kutaka kuoa??
Angalia members wangapi wana mtazamo wako, but kupishana ni jambo jema ndio kujenga kwenyewe. Taasisi ya ndoa sio sehemu ya kutafutiua huruma, standards ni za juu.Leo umeteleza! Huwa napenda mada zako sana...
Sina cha kujishangaa la sivyo tutaanza kubishana,ukweli ni kwamba siyo kila siku utakuwa sahihi!
Kwa sababu hawana malezi bora ama tamaa ya kuolewa upesiHivi unadhani wanawake wanatengeneza mazingira ya kuombwa kwa sababu gani??
Maisha haya ni enzi za Nyerere akiwa Kijanaa...Achaa upuuzi bhasi[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] Unakeraa kinyamaa...Hii sio concept mpya, tangu kale ilikuwa hivyo mpaka pale lilipokuja wimbi ka feminism. Zamani ilikuwa kijana akiacha maadili na kulala na binti, binti huyo aliambatana na wazazi wake kwenda kwa kijana husika. Huko ilipothibitiksa kilichofuata ni majadiliano ya mahari kwani tayari kijana alishajipatia mke.
Kama binti alijulikana kuwa ni mgawaji mzuri basi ilikuwa ni aibu ya familia yake na mara nyingi alifukuzwa nyumbani. Utaweza kusema kufukuzwa ilikuwa ukatili, lakini nakuhakikishia ilikuwa ni hatua sahihi ili kunusuru wadogo zake wasijeiga upuuzi huo. Huwezi kufundisha maadili wakati ndanikuna kahaba. Mabaya huvutia zaidi kuliko mema mpaka pale ubaya unapothibitika.
Binti ndiye anayechungwa, mvulana anaelekezwa tu aishije na aache mabaya. Ni maumbile hata kama hutakiKwahiyo wazazi wanatakiwa wawachunge watoto wao kike tu ila wa kiume wawalee kuja kuwa wahuni kwa sababu tu wao hawapati madhara??
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]So unataka Kunambia Walioolewa Mabikira huwaga hawachepuki..???? Duuh mkuu una mengi sana ya kujifunzaa kuhusu Ndoa... Una data nyingi za nadharia kuliko uhalisia wenyewee... Mpaka hapa nime[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] maana kukubadilisha wewe mpaka kiamaa
Nyenyere
1. Kumrudia muumba ni uhusiano binafsi na Muumba. Yeye anajua mioyo ya wanadamu. Ndoa kudumu ni jambo jema tu na ndicho tunachokitafuta. Sasa kudumu kwa ndoa kuna mambo mengi, labda ufafanue.1. Nimeuliza mwanamke aliyepoteza bikira anapata madhara gani ikiwa alishamrudia muumba wake na ndoa yake ikadumu??
2. Hakuna anayepinga hayo mamlaka ila kwanini unakataa kwamba kuna wanaume wanaotumia hayo mamlaka vibaya kuwaonea wake zao??
Fine, mwanamke ataitwa kahaba, mwanamume je? Mwanamke akitaka kutulia aolewe atasubiri sana, kwa waganga itakuwa kimbilio lake, mwanamume je? Heshima ya mwanamke kwenye jamii itaporomoka mpaka zero, mwanamume je? Think loud!!Sasa mwanaume anayetongoza hovyo na mwanamke anayegawa hovyo wana tofauti gani??
Najua utaniambia wana utofauti kimaumbile na kijamii na mimi nitakwambia mbona magonjwa nayo hayaangalii hizo tofauti yanawafuata wote??
Jitu halielewiii..Unadhani limeelewa likirudi linaharibu kabisaa yani unaona kama hamjadiscuss kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Hapana mchukueni mtu wenu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata hivo umejitahidi tangu Jana?
Narudia tena, wote wamekubali kutenda dhambi, wanalalana. Then what, wamemrudia muumba, mwanamume anatubu anaoa binti wa ndoto yake, mwanamke atafuta mume, bahati mbaya sifa zake ziko vinywani mwa jamii, hawezi kumpata mume wa ndoto yake.Hivi kati ya mimi na wewe nani anahalisha uzinzi na uasherati hapa??
Mimi nasema wote wanawake na wanaume wajitunze Wewe unasema wanawake wajitunze sasa hapo nani anayehalalisha huo uzinzi na uasherati??
Sijui umri wako, lakini nadhani nina umri mkubwa mno kuliko wewe, hivyo mimi nikupe pole wewePole
Hivi tombina ndo vitu gani?[emoji23]Kama umemaanisha mnjanga basi ni umeelewa!!
Tombina mwenyewe muone kule!!