Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Kwahiyo huyo mwanaume kumtia huyo mwanamke kwa sababu ya hayo 'mazingira' ndiyo hana makosa??
Sihukumu dhambi, naongelea matokeo na madhara yake kijamii, nimesema sana hili. Jaribu hoja mpya
 
Sihukumu dhambi, naongea na jamii yote kwa
ujumla. Wewe ndio kwa sehemu yako hutaki kuelewa. Unajua mfumo was maisha haupishani sana na mambo ya kiimani.

Hapo nilitaka tu uone kuwa mwanamke anahiari mwenyewe, anakataa kimoja anakubali kingine. Why
 
Exception cases zipo, mimi nimesema ni dalili. Hivyo dalili hizo zaweza kuwa tofauti pia lakini kwa ujumla wake iko hivyo toka mwanzo, hata kwenye biblia
 
Maisha haya ni enzi za Nyerere akiwa Kijanaa...Achaa upuuzi bhasi[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48] Unakeraa kinyamaa...
Wewe ndio mpuuzi was kiwsango cha lami, kwa wanaoelewa maana wameona kweli. Acha uasherati sio sifa njema, tulia upate mke bora. Unatetea uzinzi na uasherati kwa kigezo cha dunia ya sasa? Tena unakera kuliko, hujui hata unachokiongea.

Kwa hiyo kwa sababu ya dunia ya sasa tuache kukemea upuuzi? Basi tuambie unasema nini kuhusu ushoga na usagaji!! Maana hili nalo halikuwapo wakati wa dunia ya Nyerere
 
Jitu halielewiii..Unadhani limeelewa likirudi linaharibu kabisaa yani unaona kama hamjadiscuss kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Hapana mchukueni mtu wenu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mkuu usichoke endelea .
 
Jitu halielewiii..Unadhani limeelewa likirudi linaharibu kabisaa yani unaona kama hamjadiscuss kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Hapana mchukueni mtu wenu
Kwa mawazo yako nani atakuelewa? Effeminate kwangu hakuna nafasi. Kimsingi huna hoja zenye mashiko zaidi ya kutaka nikubali kuwa uzinzi kabla ya ndoa ni sawa. Siko hivyo ndugu
 
anayeruhusu ni nani??? mwanamke akikataa yasingetokea hayo yote
 
ukweli unaouma
 
Sasa hili uliloliongea ndiyo lilitakiwa lifanyike hata kwenye jamii ya sasa kwamba hata ikitokea mwanaume kampa mimba mwanamke basi amuoe huyo huyo na siyo kukataa mtoto na kumtupia lawama zote mwanamke
 
Kwahiyo taasisi ya ndoa siyo ya nani kumuonea nani huruma??
 
Binti ndiye anayechungwa, mvulana anaelekezwa tu aishije na aache mabaya. Ni maumbile hata kama hutaki
Mbona magonjwa nayo yanaua wote hayachagui maumbile??

Siyo sitaki ila huo ndiyo uhalisia acheni kuwa na akili za kushikiwa na mitazamo ya jamii fikirieni nje ya box!!
 
1. Ndoa kudumu kama unavyojua wewe kwani haujui maana ya ndoa kudumu??

2. Ndiyo maana nikakwambia nipe andiko linalomruhusu mwanaume kuwa mkorofi kwa mkewe au mwanaume kumpiga mkewe!!
 
Fine, mwanamke ataitwa kahaba, mwanamume je? Mwanamke akitaka kutulia aolewe atasubiri sana, kwa waganga itakuwa kimbilio lake, mwanamume je? Heshima ya mwanamke kwenye jamii itaporomoka mpaka zero, mwanamume je? Think loud!!
Again unaongelea JAMII kwani what is JAMII kwani Jamii ndiyo Mungu??

Hii jamii imejaa maovu na mitazamo yake mingi inakinzana na maandiko sasa wewe unafuata mitazamo au unafuata maandiko chagua moja yaani kweli mtu anaogopa kuhukumiwa na jamii ambayo nayo imejaa maovu??

Badala ya kuogopa kuhukumiwa na Mungu mtu anaogopa kuhukumiwa na Jamii basi ndiyo maana wanaume wanafanya uzinzi na uasherati wanavyojisikia kwa sababu tu Jamii haiwahukumu na imewadanganya kuwa wao hawapati madhara lakini wanasahau kwamba ni dhambi kwa Mungu na anachukizwa na hayo matendo kwa jinsia zote!!

Jamii na Mungu ni vitu viwili tofauti na tena vipo kwenye ulimwengu wa aina mbili tofauti na mitazamo na maandiko pia ni vitu viwili tofauti na siku zote vinakinzana kwahiyo ni mtu kuchagua moja anafuata mitazamo ya Jamii au maandiko ya Mungu lakini eti hauwezi kusema unafuata mitazamo ya Jamii na maandiko ya Mungu kwa wakati mmoja utakuwa muongo!!
 
Sasa hili uliloliongea ndiyo lilitakiwa lifanyike hata kwenye jamii ya sasa kwamba hata ikitokea mwanaume kampa mimba mwanamke basi amuoe huyo huyo na siyo kukataa mtoto na kumtupia lawama zote mwanamke
Tatizo anakuwa na wengi. Inatakiwa aliyemtoa bikra, sio aliyempa mimba. Kuna tofauti kubwa hapo
 
Mbona single mothers wengi tu wanaolewa na ndoa zao zinadumu kwa amani??

Ndiyo maana nikakuuliza wewe mwenzetu unaishi kwenye dunia gani??
Narudia tena, wote wamekubali kutenda dhambi, wanalalana. Then what, wamemrudia muumba, mwanamume anatubu anaoa binti wa ndoto yake, mwanamke atafuta mume, bahati mbaya sifa zake ziko vinywani mwa jamii, hawezi kumpata mume wa ndoto yake.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hata hivo umejitahidi tangu Jana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe hii mada bado inatembea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…